Pole January Makamba

Pole January Makamba

Hiyo yote imesababishwa na kikwete,kama kikwete na udhaifu wake anaelekea kumaliza kila mmoja anajiona anafaa kuwa rais wa Tanzania hata mimi naweza
 
1. Edward Lowassa
2. Bernad Membe
3. January Makamba
4. Asha-Rose Migiro
5. Samwel Sita
6. Fredrick Sumaye
7.
8.
9.

Patachimbika...

7. Ngeleja
8. Mwigulu Lameck Madelu Mkumbo
9. Steven Wassira
 
Jf' ni sehemu nzuri sana yakuwajua watu wenye sura mbili. Wewe pia alhamdulilah nilishakujua kitambo sana. Hiyo itikadi uisemayo najua pia wewe ndio inayokuendesha ndio maana tofauti na ilivyokawaida yako ya kuhoji credibility ya taarifa ziletwazo humu kuhusu shemeji Mbowe na uwapendao leo ile akili umeitia mfukoni na kugeukia na kushupalia haya majungu.[/QUOTE
It takes one to know one.
 
wauza sura wanakazi sana, kwanini ukumuuliza ndani ya muda wa kikao hicho alichowaitisha? wewe si mchungaji bali ni ibilisi:lock1:
 
wanaccm wakifanya haya si wadini! Tusubiri tutashuhudia mengi,
 
Kweli mwenye dhambi hana raha. Viongozi wa dini jihadharini msiwe uchochoro wa watu wanaomezea mate uraisi, wakati hata uongozi hawauwezi
 
Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu.

Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima.

Maswali ya Wanatoyo hawa yamekuwa mengi na wameonekana kuwa na jazba sana wanauliza Bima kwa utaratibu upi na kwa kutumia mfuko gani na swala la usalama wanasema Polisi wanatosha.

"Bwana we jamaa sisis tupatie posho na hela ya mafuta kutoka huko tulikotoka mpaka kufika hapa............. we huna jipya umekuja hapa kutuongezea umaskini tu.........." walisikika baadhi ya wanatoyo.

Ila hivi kweli January Makamba tunajua your too ambitious ila hivi kweli umeshindwa kuwa Mbunifu kabisa mpaka kuamua kushindia uji wa matanga???

DSM wiki jana Lowassa alifanya jambo hili hili tena kwa mafanikio makubwa mno. Leo iweje nawe uje na wazo lile lile tena tshirt umeiga za huyo Bwana?? Kijana gani usiyechemsha ubongo wako??

Sasa leo kama una copy na kupaste huo Urais ukiupata itakuwa je?? Very disappointing Kijana wa namna yako ni buree. Ruvuma walikuuliza iweje Rais anayetoka madarakani awe Muislamna wewe unayetaka kuingia uwe Muislam ukaishi kujibu kuwa mkeo ni Mkristo sasa anayeongoza Nchi ni Mke au Mume??

Urais ni taasisi comrade na hauji kwa uzoefu wa kuwa proof reader..........

And Mind you this guy is a Deputy Minister and he is directly accoutable to the prevailing government but its Very unbecoming anajitahidi kuwa popular kwenye kugombea Uraisi badala ya kwenye kutimiza wajibu wake kama ambavyo Mhe. Raisi Dkt. Jakaya Mrisho alipoona anafaa kumsaidia katika nafasi hiyo. Kwa kweli type ya kina Makamba inatupa taabu na hata kufanya Vijana tuonekane mongers ama wa madara au vitu vingine.......

Ni kwa nini huyu naye asiwe Waziri MZIGO??

JITATHMINI
 
mm nmeshasema kuwa hawa wanasiasa njaaaa aka uchwara hawatufai hata kidogo!
 
kijana tangu JF imepata kizunguzungu kikali sana , sidhani kama itadumu hii .
 
Huyu mtoto wa Makamba hana Akili na Dada yake Mwamvita, wanapigiana kampeni twitter kila uchao
 
jk tutamlaumu kwa kuufanya uraisi uwe kitu chepesi kiasi kwamba hata machizi wanawaza kuwa maraisi
 
Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu.

Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima.
Haya ndio madhala ya nchi ya kitu kidogo...! Elimu upewe bure na udai posho juu?
 
Huyo anatamani ving'ora na kupigiwa mizinga 21 na uwezekano wa kuweka lisura lake kwe noti ya 50,000/=tu, hana jipya.
 
Mimi nimeshasema mgombea yoyote wa CCM asijeakajipitisha kwangu kuomba kura anapoteza muda wake! Hawa ni matapeli wazoefu wa kisiasa, wana uzoefu wa mika 52 wa kudanganya watanzania.
 
Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu.

Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima.

Maswali ya Wanatoyo hawa yamekuwa mengi na wameonekana kuwa na jazba sana wanauliza Bima kwa utaratibu upi na kwa kutumia mfuko gani na swala la usalama wanasema Polisi wanatosha.

"Bwana we jamaa sisis tupatie posho na hela ya mafuta kutoka huko tulikotoka mpaka kufika hapa............. we huna jipya umekuja hapa kutuongezea umaskini tu.........." walisikika baadhi ya wanatoyo.

Ila hivi kweli January Makamba tunajua your too ambitious ila hivi kweli umeshindwa kuwa Mbunifu kabisa mpaka kuamua kushindia uji wa matanga???

DSM wiki jana Lowassa alifanya jambo hili hili tena kwa mafanikio makubwa mno. Leo iweje nawe uje na wazo lile lile tena tshirt umeiga za huyo Bwana?? Kijana gani usiyechemsha ubongo wako??

Sasa leo kama una copy na kupaste huo Urais ukiupata itakuwa je?? Very disappointing Kijana wa namna yako ni buree. Ruvuma walikuuliza iweje Rais anayetoka madarakani awe Muislamna wewe unayetaka kuingia uwe Muislam ukaishi kujibu kuwa mkeo ni Mkristo sasa anayeongoza Nchi ni Mke au Mume??

Urais ni taasisi comrade na hauji kwa uzoefu wa kuwa proof reader..........

JITATHMINI
Kama kweli Makamba aliwajibu hivyo wana ruvuma, alichemka. jibu lilikuwa rahisi tu kuwa Katiba haisemi akitoka Muislamu , basi muislamu mwingine asigombee, full stop. kwa mujibu wa Katiba ya Jamahuri ya muungano wa Tanzania, J.Makamba ana haki ya kugombea urais.
 
Hapa Uwanjani Vijana wa toyo wameamua kuwa wakali hasa baada ya January kuwaita wakiamini kuna jambo la msingi kwa ajili kumbe ni Siasa tu.

Vijana hawa wamekomalia kudai posho pamoja na hela ya wese. January alichowajibu eti yeye alikuja kuwapa Semina kwa ajli ya usalama wao na juu ya Bima.

Maswali ya Wanatoyo hawa yamekuwa mengi na wameonekana kuwa na jazba sana wanauliza Bima kwa utaratibu upi na kwa kutumia mfuko gani na swala la usalama wanasema Polisi wanatosha.

"Bwana we jamaa sisis tupatie posho na hela ya mafuta kutoka huko tulikotoka mpaka kufika hapa............. we huna jipya umekuja hapa kutuongezea umaskini tu.........." walisikika baadhi ya wanatoyo.

Ila hivi kweli January Makamba tunajua your too ambitious ila hivi kweli umeshindwa kuwa Mbunifu kabisa mpaka kuamua kushindia uji wa matanga???

DSM wiki jana Lowassa alifanya jambo hili hili tena kwa mafanikio makubwa mno. Leo iweje nawe uje na wazo lile lile tena tshirt umeiga za huyo Bwana?? Kijana gani usiyechemsha ubongo wako??

Sasa leo kama una copy na kupaste huo Urais ukiupata itakuwa je?? Very disappointing Kijana wa namna yako ni buree. Ruvuma walikuuliza iweje Rais anayetoka madarakani awe Muislamna wewe unayetaka kuingia uwe Muislam ukaishi kujibu kuwa mkeo ni Mkristo sasa anayeongoza Nchi ni Mke au Mume??

Urais ni taasisi comrade na hauji kwa uzoefu wa kuwa proof reader..........

JITATHMINI

Mkuu mimi nimependa hapo kwenye red,
Huyo Chalii kiboko sana. Teeh teh...teh...eeeh..
 
Mimi nimeshasema mgombea yoyote wa CCM asijeakajipitisha kwangu kuomba kura anapoteza muda wake! Hawa ni matapeli wazoefu wa kisiasa, wana uzoefu wa mika 52 wa kudanganya watanzania.

Hakuna mgombea anayepita kwa mpiga kura mmoja mmoja kama unavyodhania, wewe nani mpaka mgombea ajipitishe kwako?
 
Back
Top Bottom