Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,037
Naona vijana wamechoka kuwa Taifa la kesho... Chadema Zitto anataka kuwa rais, CCM January Makamba, Nccr ni Kafulila. Ngoja tuone vibabu vs tuvijana...patamu hapo.
Uwii yani Kafulila nae awe rais wa Tz? Duh hii taasisi imeshuka hadhi kabisa...