Pole January Makamba

Pole January Makamba

Ukisikia unafiki na uzandiki ndio huu,mlikuwa nae muda wooote huo kwanini usimwambie akasikia live??kwanini ulichukua posho yake ya elfu 50??kwanini upande costa na kukubali kulala hoteli ambayo unajua wazi kuwa ametumia milioni 20 kwa jili yenu?? We hufai hata kuongoza au kuwachunga alau kuku 10 maana kama ni mchungaji basi wewe ni mnafiki na hufai ktk dini,km yalikuchukiza ungelisema pale pale mbele yake na sio kumsengenya,eti mtumishi wa mungu,labda mtumishi wa mashetani usie na aibu wewe!!laana ya mwenyezi mungu ikushukie juu yako kwa kukubali kula vya watu kisha kuyasema kwa masengenyo na mipasho.
 
haka kachunganji sijui kainjilist kaongo kana mkashifu Mungu
 
Sauti ya January Makamba katika Mazungumzo ya chakula cha jioni na Wachungaji & Maaskofu mkoani Mwanza Disemba 25 2013. Bofya hapa:

https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha

Moderators, ombi kuiweka hii audio mwanzo kabisa wa uzi huu. Natanguliza shukurani:

Hiki ulichokiweka hakiwezi kufuta mahudhui na maana hasa ya Uzi huu ulioanzishwa na huyu mleta mada, ni hafadhari mngekaa kimya kwani tuna maswali mengi sana ya kumuuliza tofauti na hiki mnachojidanganyia hapa eti sauti ambayo imechakachuliwa, ni vema kwanza tukafahamu
1. Kwa nini aliwaita viongozi wa dini ya Kikiristo na lengo lake hasa lilikuwa nini?
2. Je fedha alizolipia hao wajumbe ikiwemo posho, chakula, usafiri na malazi zimetoka wapi?
 
kamanda mbona iko edited...plz mshauri january nyota yake imefifi kama ya membe na sumaye atulie,hapo alipofika ni msaada tu wa baba yake kutumia ukatibu mkuu wa chama kujinufaisha na familia yake,hana sifa zozote za kuwaconvice watanzania kiutendaji hana creativity yoyote pia hatuwezi kuongozwa na mtu aliyepata div four form six the guy ni kilaza kabebwabebwa tu,afanye kazi tuzione ndio japo atakuwa recognazed kama akina mwakiembe au magufuli

Watu mnajua kusogeza goli. Mwanzo mliomba mpewe sauti msikie wenyewe. Mmepewa sauti mkagundua alichosema kimesimama katika hoja na wala sio kujikomba na kuomba urais. Sasa hivi mnadai sauti imekuwa edited. Hamridhiki na hamtaridhika kamwe. Ukweli unabaki pale pale, January Makamba anaushawishi mkubwa ambao unawatia kiwewe wapambe wengi wa viongozi waliochoka wasio na jipya.

Hilo la kupata division four form six ni uwongo wa kutupa. Ni upindishwaji wa hali halisi ya kilichotokea, ambacho January mwenyewe amekuwa muwazi kukiongelea kwa kirefu hapa January Makamba.com

When my father was moved (once again) to Lindi to become Regional Party Secretary, I had to move to a boarding school: So, I joined Galanos Secondary School, a more established if not reputable government school in the outskirts of the city of Tanga. I was a very good student there, almost always and effortlessly first in class. I was also very popular, outspoken and fearless. I ran for Deputy Head Prefect and won handily against a candidate favoured by the teachers (in old government boarding schools, the election of the student government body is a very serious matter). I was a very unconventional student leader as I clashed often with teachers over students’ rights, particularly poor state of food. Also, I did not quite fully use all the privileges that came of DHP position.
I was expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my “combination” for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination. There was only one high school – Kibaha Secondary School – in the country taking only 34 students for this combination. So, I chose this because it was hard to get to high school on this. I was thrilled and moved by the challenge. So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded.
 
Hiki ulichokiweka hakiwezi kufuta mahudhui na maana hasa ya Uzi huu ulioanzishwa na huyu mleta mada, ni hafadhari mngekaa kimya kwani tuna maswali mengi sana ya kumuuliza tofauti na hiki mnachojidanganyia hapa eti sauti ambayo imechakachuliwa, ni vema kwanza tukafahamu
1. Kwa nini aliwaita viongozi wa dini ya Kikiristo na lengo lake hasa lilikuwa nini?
2. Je fedha alizolipia hao wajumbe ikiwemo posho, chakula, usafiri na malazi zimetoka wapi?

1) Hakuwaita viongozi wa dini bali wao ndio waliomwalika katika sherehe yao ya kila mwaka. Kila Kristmasi viongozi hawa wanakula pamoja, sio mara ya kwanza. Ukisikizia sauti ya hotuba kuna ushahidi tosha kwamba January alialikwa kuhutubia, akaingia akawakuta wameshakaa, akaongea, wakala, wakasali halafu akaondoka akawaacha wakiendelea.

2) Hakuna fedha yoyote iliyotoa. Ni matusi na kashfa kubwa kwa viongozi hawa wa juu kabisa wa dini kudai eti wamepokea rushwa. Ni uwongo wa kutupa. Kama tumefikia hapa kwamba jitihada za kumpaka matope January ni kuwakashifu viongozi hawa wa dini, basi kweli Taifa letu linahitaji uponyaji, uponyaji ambao January ameuzungumzia kwenye hiyo hotuba yake.
 
kamanda acha kuongea ugoro,nani asiyejua january ni mtoa rushwa,hivi zile simu mlizopewa uvccm mje mpostie ujinga kwenye mitandao ya kijamii hauzikumbuki...what so special kwa january katika vijana wa kitanzania zaidi ya kubebwabebwa the guy ni mdini ndio maana anaattend kwa maaskofu kutafuta huruma.hana strategy za kupata popularity ni just opportunist kama zitto,can you compare him na hata Deo filikunjombe or Mnyika
 
Ukisikia unafiki na uzandiki ndio huu,mlikuwa nae muda wooote huo kwanini usimwambie akasikia live??kwanini ulichukua posho yake ya elfu 50??kwanini upande costa na kukubali kulala hoteli ambayo unajua wazi kuwa ametumia milioni 20 kwa jili yenu?? We hufai hata kuongoza au kuwachunga alau kuku 10 maana kama ni mchungaji basi wewe ni mnafiki na hufai ktk dini,km yalikuchukiza ungelisema pale pale mbele yake na sio kumsengenya,eti mtumishi wa mungu,labda mtumishi wa mashetani usie na aibu wewe!!laana ya mwenyezi mungu ikushukie juu yako kwa kukubali kula vya watu kisha kuyasema kwa masengenyo na mipasho.
mchungaji alichokifanya nikuja kufanya whistle blowing kwenye forum kutuonyesha january anavyotoa rushwa
 
mchungaji alichokifanya nikuja kufanya whistle blowing kwenye forum kutuonyesha january anavyotoa rushwa

Sio Mchungaji huyo ni mtunzi wa hekaya anayelipwa kumchafua January Makamba. Watanzania mnapumbazwa kirahisi sana. Lazima atakuwa ni mwandishi wa habari anayelipwa na watu fulani aliyeona ni bora ku pre-empt habari ya tukio lile kwa kuanzisha uzi huu wa kumpaka matope January. Its obvious.
 
Who is january? What he done to my country? What is his value? Ni sawa na kuku kutangaza kuwania urais. Mbona huu urais hapa tz unavamiwa na hata vitoto vinavyonuka maziwa. Au kwa kuchukulia udhaifu wa jk ndo wanafikiri kuwa kila mtu anaweza kuwa rais? Hopeless
 
Sio Mchungaji huyo ni mtunzi wa hekaya anayelipwa kumchafua January Makamba. Watanzania mnapumbazwa kirahisi sana. Lazima atakuwa ni mwandishi wa habari anayelipwa na watu fulani aliyeona ni bora ku pre-empt habari ya tukio lile kwa kuanzisha uzi huu wa kumpaka matope January. Its obvious.
kamanda all in all kizuri chajiuza kibaya chajitembeza kama january aka next month.
 
Awaa madogo wenzangu bhana hivi awajiongeze tuu!!!!!!!Leo Boda boda na Tshirt za njano Usalama barabarani January Makamba ndani ya Nyamagana!!!!! Da ama kweli SIKIO LA KUFA!!!!!!!!.Yani kila siku wanajaribu santuri leo katitu kesho saida karoli basi wanapima na kutikisa kama kiberiti kama kimejaaaa!

Kuneni vichwa kuibuka na strategy ambazo watu kungamua single ni ngumu na mziki kucheza uwe hiari sio kununua verse.Wana hizo noma wabongo wamefunguka siku hizi ukija makidamakida wanakupa za uso na kavu kama jamaa anavyobamiza hapo juu.
 
kamanda acha kuongea ugoro,nani asiyejua january ni mtoa rushwa,hivi zile simu mlizopewa uvccm mje mpostie ujinga kwenye mitandao ya kijamii hauzikumbuki...what so special kwa january katika vijana wa kitanzania zaidi ya kubebwabebwa the guy ni mdini ndio maana anaattend kwa maaskofu kutafuta huruma.hana strategy za kupata popularity ni just opportunist kama zitto,can you compare him na hata Deo filikunjombe or Mnyika

Chuki tu inakusumbua. Bahati nzuri maelfu ya watu wapo inspired na January kila wakimsikia akizungumza au wanapoona utendaji wake. Haya matusi na kebehi dhidi yake hazina uhalisia wowote, huyeyuka pale watu wengi wanapozidi kung'amua kwamba ni majungu tu. Poleni sana mnaoendekeza majungu na chuki.
 
Sio Mchungaji huyo ni mtunzi wa hekaya anayelipwa kumchafua January Makamba. Watanzania mnapumbazwa kirahisi sana. Lazima atakuwa ni mwandishi wa habari anayelipwa na watu fulani aliyeona ni bora ku pre-empt habari ya tukio lile kwa kuanzisha uzi huu wa kumpaka matope January. Its obvious.

Kwani wewe unalipwa kwa kumtukuza huyu jeuri? muulize akwambie kwanini amezuia umoja wa wakulima wa chai ulioanzishwa na shelukindo kuendesha kiwanda cha chai kule bumbuli!
 
Chuki tu inakusumbua. Bahati nzuri maelfu ya watu wapo inspired na January kila wakimsikia akizungumza au wanapoona utendaji wake. Haya matusi na kebehi dhidi yake hazina uhalisia wowote, huyeyuka pale watu wengi wanapozidi kung'amua kwamba ni majungu tu. Poleni sana mnaoendekeza majungu na chuki.

Hivi hichi kikao angehudhuria mtu kama lema mngesemaje? Eti aliitwa! Kwa umaarufu gani alionao? Yaani maaskofu wamuite makamba?! Kati ya watu wote wa muhimu wamuite yule mdini kwenye sherehe yao? Mwambieni tu kuwa wananchi wa siku hizi hawasikilizi kelele za wachungaji wanaojiingiza kwenye siasa na waache mambo yaende nje ya dini ili siasa ifanye kazi yake! Ya siasa waachieni wanasiasa na wachungaji waache wawatoe watu kutoka kwenye maovu! Acheni Mungu atupatie kiongozi aliyepanga. Msifanye kama 2005 mkatuletea jk wakati aliyetakiwa wakati huo ni SA. Tunapata shida kwa kutimiza matakwa ya kibinadamu waliyoyaandaa kina rostam
 
Wachungaji wazushi na wanafiki kama huyu ni janga. yani bila aibu nae ana jiita mchungaji/mwinjilisti.
 
Wachungaji wazushi na wanafiki kama huyu ni janga. yani bila aibu nae ana jiita mchungaji/mwinjilisti.

Ndio njia mnayomtengenezea January wewe na shosti wako Zitto. Huna jipya chutama bwana utaumbuka zaidi
 
Du January Makamba na wewe umeingia kwenye huu uchafu?

Mkuu huyu mgosi nae anautaka urais ? Yote hii kasababisha mtani wangu Jakaya . Natabiri CCM itakuwa na wagombea wengi sana kwa nafasi hii 2015. January, ubunge wenyewe wa magumashi baba kakupa!
 
1. Edward Lowassa
2. Bernad Membe
3. January Makamba
4. Asha-Rose Migiro
5. Samwel Sita
6. Fredrick Sumaye
7.
8.
9.

Patachimbika...

Mkuu Tuko, hiyo picha ya avatar yako naomba umtumie Thierry. Watu tuna toka mbali!
 
Back
Top Bottom