Pole January Makamba

Pole January Makamba

Kumbe CHAMVIGA ni wa bumbuli ha ha ha naona povu lina kutoka kumtetea mghosi wa kaya......komaaa hivyo hivyo 2015 makamba akiwa rais utapata u DC......Ila nakubaliana na wewe kitu kimoja tu kwa jinsi januari anavyo ipigania bumbuli tofauti sana na shelukindo siku atleast ukiwa bumbuli utajihisi uko duniani maendeleo yana anza kuonekana kwa effort za makamba junior...hayo mengine ya kuhonga wachungaji mtajuana wenyewe...

Mimi nimkazi halisi wa wilaya ya Lushoto jimbo la Bumbuli. Simtetei Jmakamba kiushabiki ila jamaa ni hazina ya taifa hili. Bumbuli ni mahala panapotia moyo kwasasa. Ukizunguka jimbo zima la Bumbuli unaona jamaa anavyojituma pamoja na kwamba anamajukumu ya kiuwaziri.
 
Last edited by a moderator:
Kama ulibahatika kukutana na JM uliogopa nin kumuuliza hayo maswali mpaka unayaleta huku?

Huo ni umbea....
 
Wamarekani wanataka Makamba Jr awe Rais, wanaamini chini ya Makamba Jr Masilahi yao yatakuwa salama...Fedha za kumuwezesha tayari zipo...
Inafahamika kwamba Melinda Gates nd anatoa hayo mafweza cjui wanataka nini hapa TZ.......!!!
 
Njaa mbaya sana. Ukipenda kupewa pewa rushwa na kuitwa itwa mahali ujue una matatizo. Kuweni bize jamani na mambo yenu.

Mtu mzima, mwanamume unalipiwa chumba cha hoteli halafu unakuja kutangaza hapa?!

What is 50,000/= kuja kuuza utu wako?!

Kama ulikubali kwenda, ukalishwa na kulipiwa chumba na kuhongwa 50,000/- hiyo ingebaki kati yako na huyo unayemtaja kuwa aliwahonga..

Wenye tabia za kiume tumebaki wachache sana wengi wana jinsia ya kiume lakini tabia ni za kupenda kuhongwa hongwa tuuu....
 
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?

kayaleta haya maswali jukwaani ili kuanika uozo maccm wanaofanya kulaghai viongozi wa dini waweze kuteka waumini wao, pia ungejuaje bwana mdogo anavovuja jasho kuupata uprezida angali na div 4 form 6.
 
Kama alienda kumsikiliza tu kwanini alichukua posho na anajua haifai!?

Labda alidhani ni takrima au masikio yake yanatumia "credit"!!
 
Huu unafki huku unamuuluzaje wqkati ulikuwepo kwny kikao na ukafakamia ubwabwa na bia
 
Huu unafki huku unamuuluzaje wqkati ulikuwepo kwny kikao na ukafakamia ubwabwa na bia

unafiki upi?
unajuaje km kikao hicho kiliruhusu maswali?
na je cc wengine tungejuaje?
jadilini kilichoandikwa sio aliyeandika
 
yaani baada ya nchi hii kuongozwa na kikwete kila mtu anajiona anauwezo wa kuliongoza taifa hili hata mandezi kama january eti naye anataka uraisi...

Kesho tutasikia Kingwendu naye akiitisha mkutano wa waandishi wa habari kutangaza nia ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM
 
sina shaka kuwa alichokisema ndugu alinda ni uongo tena uongo mtupu! Kanda ya ziwa pekee haina maaskofu 152 vinginevyo kama anadhani kila kiongozi wa dini ya kikristo ni askofu!

aLIPOTAJA WAINJILISTI HUJAPAONA?? AU UMEAMUA KUJITOA UFAHAMU..
 
Kama ulibahatika kukutana na JM uliogopa nin kumuuliza hayo maswali mpaka unayaleta huku?

Huo ni umbea....

Hili ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anayo haki ya kueleza maoni yake kule hawakupewa nafasi ya kuuliza maswali
Hussein_Mtoro
Join Date : 6th December 2013
Posts : 8
Rep Power : 304
Likes Received1
Likes Given0

Mkurugenzi wa habari mpe darasa huyu.
 
Last edited by a moderator:
Shaitwan mhe.makamba,mimi mnyiramba nime ku discredit kabisa,sasa wewe na Nchemba mnatofauti gani!
 
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?

Sijaona kwa nini watu wa January/January mwenyewe mnatokwa na povu kiasi hiki?? Ivi bila mtoa mada ungejua kuwa January nae alikusanaya wachungaji na kuomba wampigie kampeni za urais kanisani?? Hili unaliona vyema?? wewe January nini??
 
Inafahamika kwamba Melinda Gates nd anatoa hayo mafweza cjui wanataka nini hapa TZ.......!!!

Hapa umeturudisha kwenye mada. Watu badala ya kudadavua kilichojificha nyuma ya nia ya January na kuutaka Urais wanadiscuss aliyeitwa na kupewa POSHO. Ningependa sana kusikia toka kwako juu ya link ya huyu dogo na Gates family. Ni dhahiri CV ya jamaa inaonekana kuwavutia sana wamarekani na inaweza kuwa wamesha-target Kwa huyu jamaa.
Tanganyika na Zanzibar nchi zetu mbili kunani?
 
Alichofanya JM yumkuni kwelihakifai lakini wewe hufai zaidi wala ukristo si fungu lako, umejaa unafiki mkubwa, Kwanini hukukataa posho, msosi na Matunzo uliyopewa? Unapata wapi nguvu ya kumsema JM wakati wewe pia ni sehemu ya huo uchafu? Tuache unafiki watanzania............ Hapa unatafuta umaarufu tu lakini wewe pia ni sehemu ya wala rushwa. Tokomea
 
Back
Top Bottom