samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
Chama Cha Matapeli (C C M)
Haya ndio madhala ya nchi ya kitu kidogo...! Elimu upewe bure na udai posho juu?
Kweli ana haki ya kugombea urais lakini je urais unauzwa shilingi ngapi?Mkuu we ni mnafiki ulishindwa nin kuhoji huko hotelini. BTW ni haki ya kikatiba kwa January kugombea urais kwani tatizo ni nini?
Go Makamba.
Ndugu wana jf na wa Tanzania kwa ujumla ,leo katika sikukuu hizi za Noel na Mwaka mpya na taka niwapashe yaliyo jili katika jijij la Mwanza .Jana nili bahatika kukutana na January Makamba katika hotel ya Victoria Palace,alitukusanya tulikuwa Wachungaji na Wainjilisti 152 kutoka kakitika madhebu mbalimbali ya kikristo katika mikoa ya Mwanza,Geita,Shinyanga,Mara,na Kagera.Kikao kilianza saa mbili na dakika hamsini na tisa usiku na kumalizika saa tano na dakika ishilini na tatu usiku.Katika kikao hicho January alikuwa amevalia suti yake nyeusi na shati nyeupe ikiambatana na tai nyekundu, kweli kijana ulipendeza kwa vazi hilo cha kunisiki tisha ni pale ulipo anza kujifananisha na nabii Yeremia,nilikusikiliza ukisoma kitabu cha Yeremia moja na kwamba kwa maneno yaliyomo katika kitabu hicho yanakushawishi kutangaza nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 vivyo unatuomba sisi watumishi wa Bwana tukuunge mkono na tuwashawishi waumini wetu pia.Ndugu January nikweli unashauku ya kuwa Raisi wa Tanzania lakini naomba nikuulize kupitia waraka huu maswali yafuatayo
1. Watanzania wameshuudia chama chako kupitia wabunge wake mkimzushia mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kwamba alifanya siasa za udini kwa kukutana na watumishi wa Bwana kule Arusha ,sasa hiki ulicho kifanya jana ni Kuharalisha udini au ulikuwa unabadili dini?.
2.Mfuasi wako uliye mtuma kuandaa kikao hicho,Bwana Mustafa kada wa chama cha mabinduzi nikati ya watuhumiwa ,wa mipago hovu ya kuandaa vijana waliyo kwenda na nia ya kudhuru kule Kigoma hivi majuzi sasa nikuulize unapata wapi mamlaka ya kimahadili ya kuandaliwa kikao na mtuhumiwa wa utesi tena kikao na watumishi wa Bwana uoni kwamba unamsanifu Mungu?.
3.Ulitupatia posho ya shillingi elfu hamsini kwa kila mmoja wetu,ulitupatia chakula na vinywaji ,ulitukodishia hoteli, ulitukudishia gari aina ya costa no T926 BDP mali ya bwana Mukeshi ambayo ndiyo ili beba mabaunsa wa Matata kwenda Kigoma hivi majuzi,gharama zote ni takribani millioni ishilini tunashukuru lakini tujiulize,hizo pesa za kutuonga ulipata wapi?,kwanini unataka kununua Uraisi?,Je kwa pesa hiyo unge chonga madawati mangapi kwa ajili ya watoto wanao kaa chini uko Bumbuli? na je unafikili kutuonga sisi utakuwa umewaonga na waumini wetu?.
4.Wewe ni mshilika wa Bwana Rowasa,ambaye pia anakiu ya Uraisi kama wewe lakini pia wewe pia ni mshilika wa Ngeleja ambaye pia kiu ya Uraisi sasa niku ulize tumpigie debe nani kati yenu? ,au mnatafuta kura za sambusa yaani wawili tujitoe mmoja apite?.
5.Umelifanyia nini taifa mpaka uone unaweza kuwania Uraisi,wakati suala la tozo za simu ambalo ni mzigo wa dhambi kwa wananchi,limekushinda ukiwa kama naibu waziri wa wizara usika au una maslahi na makampuni ya mawasiliano,kama sivyo uoni ukiwa Raisi utaleta na kodi ya kusikiliza redio.
6.Unalisemeaje suala la operationi tokomeza ujangili ambayo imetesa na kuuwa wasiyo na atia wakati watuhumiwa wa ujangili akiwemo kinana katibu mkuu wa chama chako bado wana kula bata?.
7'Tuambie nini kimekushawishi kuwa na nia ya kuwa Raisi?.
8.Tuambie nikiongozi ghani wa upinzani unaona anaweza kuwa Raisi kama wewe utopata fursa ya kuwania uraisi?.
9.Kunatetesi kuwa wewe na baba yako mlishiliki kumuondoa Sherukindo kwenye nafasi ya kuwania ubunge jimbo la Bumbulina kukupitisha wewe bila kupingwa kwenye CCM,Sherukindo aliye kuwa mwenyekiti wa kamati yakudumu ya Bunge ya nishati na madini ambaye alisimama kidete juu ya kashfa ya Rich mond iliyo muondoa Rowasa kwenye kiti cha uwaziri mkuu,ambaye ni swahiba mkubwa kabisa wa Mzee Makamba baba yako aliye kuwa katibu mkuu wa CCM?[Comflictof interest] leo ukifanikiwa kuwa raisi si utatengeneza mamlaka ya kifamilia?.
10.Nikumbushe ile divishion four ya formu six kule kigoma uli isafisha lini?.Au na wewe ni muhumini wa division five
11.Niambie leo unawambia nini wa endesha boda boda wa Mwanza au unaomba day waka?.
Mwisho jipime
10.Juma Nkamia7. Ngeleja
8. Mwigulu Lameck Madelu Mkumbo
9. Steven Wassira
yaani baada ya nchi hii kuongozwa na kikwete kila mtu anajiona anauwezo wa kuliongoza taifa hili hata " ma ndezi" kama january eti naye anataka uraisi...
10.Juma Nkamia
11.Lusinde aka Kibajaji
kamanda mbona iko edited...plz mshauri january nyota yake imefifi kama ya membe na sumaye atulie,hapo alipofika ni msaada tu wa baba yake kutumia ukatibu mkuu wa chama kujinufaisha na familia yake,hana sifa zozote za kuwaconvice watanzania kiutendaji hana creativity yoyote pia hatuwezi kuongozwa na mtu aliyepata div four form six the guy ni kilaza kabebwabebwa tu,afanye kazi tuzione ndio japo atakuwa recognazed kama akina mwakiembe au magufuliSauti ya January Makamba katika Mazungumzo ya chakula cha jioni na Wachungaji & Maaskofu mkoani Mwanza Disemba 25 2013. Bofya hapa:
https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha
Moderators, ombi kuiweka hii audio mwanzo kabisa wa uzi huu. Natanguliza shukurani:
- Paw,
- PainKiller,
- Fang,
- Buchanan,
- Cookie
Hivi kumbe huwa kuna wainjilist wanafik kama huyu! Manabii wa uongo hawa, mnafik mkubwa wewe
Sauti ya January Makamba katika Mazungumzo ya chakula cha jioni na Wachungaji & Maaskofu mkoani Mwanza Disemba 25 2013. Bofya hapa:
https://soundcloud.com/jmakamba/mazungumzo-katika-chakula-cha
Moderators, ombi kuiweka hii audio mwanzo kabisa wa uzi huu. Natanguliza shukurani:
- Paw,
- PainKiller,
- Fang,
- Buchanan,
- Cookie