Pole January Makamba

Pole January Makamba

Wewe ni ----- kweli!

Kilichokufanya ushindwe kumuuliza maswali hayo ni nini? N kilichokupeleka huko ni nini kama si njaa?
Huna mvuto, hata hao Kondoo wa Bwana wewe utawapoteza!!
 
Huyu naye sijui nani kamdanganya kuwa anaweza kuwa rais...nchi hii urais umekuwa mwepesi mnooo watu wanawaza tu kuwa matais as if ni jambo jepesi....hii sio Tanzania ninayoijua
 
kazi kwelikweli ila najiuliza makanisani kuna nini mbona kila mtafuta urais anapitia huko? aaaghrr bora niwe mchungaji
 
kazi kwelikweli ila najiuliza makanisani kuna nini mbona kila mtafuta urais anapitia huko? aaaghrr bora niwe mchungaji

Mkuu mchungaji umesema kavaa tai nyekundu huku ikionekana nyeusi?duuh huu uchungaji
 
Hofu ya Mungu imetoweka kabisaaaaaa! Kimsingi wanadhani wameshamaliza akili za watz, ngoja tuone nani atakuwa nani mwisho wa wakati.
 
Back
Top Bottom