Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
mkuu hapo namba 2 umedanganya,wasira ana watu na ushawishi?wap mkuu.hao watu amewatoa wap mkuu,ushawish wa nn,kifedha au kisera?
hehehehe,ningesema ila naogopa ban ban ban
mkuu hapo namba 2 umedanganya,wasira ana watu na ushawishi?wap mkuu.hao watu amewatoa wap mkuu,ushawish wa nn,kifedha au kisera?
Mkuu we ni mnafiki ulishindwa nin kuhoji huko hotelini. BTW ni haki ya kikatiba kwa January kugombea urais kwani tatizo ni nini?
Go Makamba.
Ndio aje ajibu January Makamba anataka uraisi sasa hivi anajua hata katiba itaamua nini wanaendekeza libeneke la uroho wa madaraka kwa sababu wanadhani kwa vile alipachikwa ubunge na baba yake na uraisi atapachikwa mambo ya hovyo kabisa awe raisi wa nani juzi hapa kamfuta uenyekiti mwenyekiti wa kijiji kwa kumtishia kumuua ili mradi alichaguliwa na wananchi wote kupitia chadema
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
shadcole nae si mwana cdm,mbona mnageukana dugu moya?..
Sema yeye kasema ya moyoni,january kugombea urais si dhambi na hajavunja sheria.
Sasa sijui wasiwasi wenu unatoka wapi,eeh bana?.
Kama slaa ana wafuasi wengi na wanamkubali kama mnavyodai basi watampigia kura na atashinda,hamna sababu ya kupanick.
Sasa eti kwakua slaa anagombea urais watu wengine ndo wasigombee,kha...!!.
ni haki yake ndio.
ss kwnn ahonge fedha yote hyo?
si angenunua ht madawati apeleke kwny jimbo lake huko km kweli ana nia nzuri.
kwnn awanunue wapiga kura?
Mkuu heshima kwako
Hakuna sehem nimemtetea January mimi,ngoja nikupe msimamo wangu ujue,acha nafasi ya urais anayotaka makamba hiyo nafasi ya uwaziri bado amepwaya mno hafai,
Nachopinga mimi hapa UnafikI,mtu kishakula posho na mtu walikiwa nae aliyasema hayo mbele yao,busara ilikuwa pale pale angemuuliza hayo maswali halafu sisi hapa angetueletea maswali na majibu Yao nadhani umenielewa
Sasa chakuleta hapa nini ka ulienda umemsikia then umeshindwa kuuliza pale.....tukusaidie nini sasa ....
Hatua ya kwanza imepingwa kwa hiyo ni kweli Makamba alikuwa Mwanza na aliongea na Maaskofu..
Hatua ya pili tunaomba ulete hapa mwaliko kutoka kwa Maaskofu kwenda kwa Bwana Makamba.
Hatua ya tatu tuwekee hiyo sauti ya Makamba akiwa anaongea na Maaskofu
Asante
Wewe mchungaji ni mnafiki sana tena sana na sijui una chunga kondoo gani?
hivi haya maswali kwa nini haukumuuliza mlipokuwa pamoja kama wewe ni msema kweli?
Ukimsoma huyu so called mchungaji utagundua ni mwana siasa wa chadema kwa maneno yake na anajificha kwa kujifanya hawajui viongozi wa upinzani heti anasema kiongozi fulani wakati anamjua kabisa jina.
Wewe mchungaji acha siasa.
Tunajua umetumwa kusafisha tuhuma na unatakiwa kujua tuhuma hazisafishwa kwa tuhuma.
HAPA HAKUNA MCHUNGAJI BALI NI MWANA MWANA SIASA.
Mkuu huwezi kuuliza kwanin ahonge akat ndio mfumo huo wa CCM, Mimi hoja niliyojikita ni kuwa ni haki yake agombee ili wawe wengi tuweze kuwapima vizuri na hiyo ndio demokrasia ya kweli.
Now, I am not a big Makamba fan.
Nevertheless, the accusations are weighty, with many a connotation.
So questions have to be asked.
First thing first. In all fairness, how authentic is this story?
How do we know it's not another two bit dimwitted birdbrained morally bankrupt attempt at mudslinging ?
Tusije kupaza sauti kwa michezo ya kitoto.
Habari kubwa inataka uthibitisho wa kina, kutoka kwa multiple sources.
I know January is no rocket scientist, but how stupid would he need to be to expose himself to people not in his inner circle, with such delicate info and at such an early point in the race?
Spitting jewels like it's journalism.
When you come, come correct, or don't come at all.
January Makamba aombwe na maaskofu wa dhehebu gani jifunze kuadanganya uroho wa madaraka utamtokea puani aibu January KuhongaBy KamisaaMtoa mada ni muongo na amebainisha jinsi gani yeye ni pandikizi aliye kazini kumchafua January kwa manufaa ya watu anaowajua yeye. Huyu hawezi kuwa ni mtu wa Mungu aliyeandika haya. Kama alikuwapo kwenye kikao hicho, basi anadanganya kwa makusudi au hakuhudhuria kabisa kwahiyo ametunga ya kwake baada ya kuhadithiwa machache.
Mimi nilikuwapo katika mkutano huo na naweza hata kukuleteeni sauti ya hotuba yenyewe ili msikilize uwongo uliomwagwa hapa. Kimsingi maaskofu walimualika kuwahutubia kuhusu changamoto za Kitaifa na juu ya uongozi unaohitajika kupambana na changamoto hizo. Hakuna yoyote aliyepewa pesa na January katika mkutano huo. Hakuna.
Hakuna sehemu ambapo January aliwaomba maaskofu wamuunge mkono kugombea urais. Mambo aliyozungumzia ni kuhusu "inequality" katika jamii (yaani tofauti kati ya maskini na matajiri), kuhusu nyufa za kitaifa alizoongelea Nyerere miaka 20 iliyopita, kama rushwa, udini, uzanzibari na uzanzibara. Alizungumzia pia kuhusu kumomonyoka kwa maadili na kushamiri kwa uwongo, utapeli, ubakaji, wizi na mauaji katika jamii yetu, na jinsi gani viongozi wa dini wanavyofanya kazi kubwa kupambana na haya, na jinsi gani wanahitaji kusaidiwa na viongozi wa serikali.
Alisema kwamba kama Taifa tunahitaji uponyaji. Akasema katika uponyaji huo viongozi wa dini wana nafasi kubwa, kama viongozi wa kisiasa, hivyo lazima washirikiane. Akasema ili nchi ipone, lazima viongozi wa dini na wa kisiasa wawe wasafi na "wasipende kulamba sukari". Asema uongozi wa nchi hauna umri, alipotumia mfano wa Yeremia kwamba aliaminiwa na Mungu katika umri mdogo kuwa kiongozi. Haina maana kwamba alijifananisha naye. Alimaanisha tu kwamba hata vijana wanauwezo wa kuongoza na waaminiwe. Alimaliza kwa kusema japo tumefikisha miaka 50 ya Tanzania, safari yetu ya kujenga nchi ndio kwanza imeanza, lakini ili kupambana na changamoto zilizopo, nchi inahitaji kufanyiwa "reset" ili kujengwa upya na kizazi kipya.
Maneno yake yote yalikuwa na ushawishi mkubwa, hasa pale alipotumia mistari ya Biblia kujenga hoja zake. Imemuonyesha mbele ya viongozi hawa wa dini jinsi gani January ni kiongozi ambaye ni mcha Mungu, asiye mdini, anayekubalika na dini zote na aliyetayari kushirikiana na viongozi wa ngazi zote za jamii ili kupata majawabu ya changamoto zinazotukabili.
ant you sayng January was invited in Mwanza ha ha you must be frustrated some one spilled the beans ,January the alleged corrupt he should visit JF and tell the truthYou are too smart not to jump into this Anti-January bandwagon. There is no weighty accusation here, just rubbish. If January is not a rocket scientist, how come each day people are hell-bent on inventing fiction against him? Think about it.
Ukisikiliza sauti utapata majibu yako yote. Kilichoandikwa hapa ni unafiki mtupu. Tena January alikemea kiongozi wa dini wanaopenda kuhongwa pesa kwamba ni kinyume cha miiko ya uaskofu, na aliitaja yote mbele ya maaskofu hao. Akasema taaluma ya maaskofu imeingiliwa na matapeli, kama jinsi taaluma ya wanasiasa ilivyoingiliwa na matapeli. Alifanya bandiko hili ni kielelezo tosha cha utapeli huu.
January Makamba aombwe na maaskofu wa dhehebu gani jifunze kuadanganya uroho wa madaraka utamtokea puani aibu January Kuhonga
Kageuka mnafiki kwa kutushirikisha wana JF , January si ni public figure kaanza na wachungaji na wainjilist dau 50,000 kweli watanzania bei poa wameongeza kutoka t-shirt kofia kanga na chumvi mpaka 50,000 hizi ni dharau za rejareja kwa wananchiHuu sasa ni unafiki, wewe ulikua nae hapo kwa masaa hayo kadhaa uliyoyasema, iweje ushindwe kumuuliza wakati mpo nae unasubiri aondoke ndo uandike huu upuuzi humu, hebu kua bhana achana na habari za kinafiki wewe.
We ushalamba hiyo posho kaa kimya, kamuongezee waifu wako mtaji wa vitumbua walau mlisongeshe, ebo.