Pole January Makamba

Pole January Makamba

Hapo ndipo pameniacha hoi, Yaani Maaskofu ninavyowafahamu wamwalike Makamba?? Ngoja tusubiri barua ya mwaliko kutoka kwa Kamisaa
Inawezekana kawa mwenyewe aliyekuwa anaomba uraisi JF bwana udanganyi mtu ,Maaskofu wa dhehebu lipi wanaweza kumwalika na kulipwa elfu hamsini those scholars , I doubt
aa jamani mbona nchi yetu imeingia kwenye ombwe la uongozi
 
Wagawe uwatawale, ndiyo Dogo anachofanya ila yuko kambi ya Lowasa anawateka wasukuma na wahaya na waha wote kwamba wampe kura baadae anajitoa anajiunga na Lowasa kwahiyo wafuasi wake wote mnahamia kwa Lowassa huo ndiyo mchezo
 
ant you sayng January was invited in Mwanza ha ha you must be frustrated some one spilled the beans ,January the alleged corrupt he should visit JF and tell the truth

Bahati nzuri sana January hafanyi siasa humu JF. Not every little accusation deserves a response from a politician. Otherwise it would be paralysis. Strong leaders rise above petty discussions and frivolous accusations.
 
Mkuu asante sana kwa majibu yako, hivyo nasubiri huo mwaliko wa Maaskofu pamoja na sauti. Kama unakavideo tuweke kabisa ndio kakataka mzizi wa fitina.

Hivi kuna mahali mleta mada ameandika maaskofu?? Sidhani.
Ameandika Wachungaji na Wainjilisti wa madhehebu mbalimbali ya kikristo.
Kule ukanda wa ziwa kuna madhehebu mengi sana ya hizi kanisa mbao kama pentekoste, wathethalonike, wabatisti, wasabato waanglikana full of evangelism ndiyo maana wainjilisti ni wengi na wachungaji mbao
 
Soma alichoandika KIMASAa mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Hatua ya kwanza imepingwa kwa hiyo ni kweli Makamba alikuwa Mwanza na aliongea na Maaskofu..

Hatua ya pili tunaomba ulete hapa mwaliko kutoka kwa Maaskofu kwenda kwa Bwana Makamba.

Hatua ya tatu tuwekee hiyo sauti ya Makamba akiwa anaongea na Maaskofu

Asante

naona hata akileta barua haisaidii.lowasa huwa anasema huwa anaalikwa na makanisa na misikiti lakini huwa anashawishi kwa namna fulani ili aalikwe.
kwa mujibu wa star tv inaonyesha alialikwa kuhutubia kama mlezi wa nini sijui.lakini kilichoongelewa ni masuala ya uongozi na hata kiongozi wa wachungaji hao ametoa maelezo ya kumfagilia makamba kiaina.hata hivyo wale wachungaji wanaonekana ni njaa na nadhani hakuwepo mwakilishi wa Dhehebu langu RC kwani hawana njaa.
 
Hapo ndipo pameniacha hoi, Yaani Maaskofu ninavyowafahamu wamwalike Makamba?? Ngoja tusubiri barua ya mwaliko kutoka kwa Kamisaa

Basi wewe huwajui maaskofu kama kweli una-doubt wanaweza kumualika mwanasiasa. Sio jambo la ajabu kwa wao kuwa na round-table discussions na viongozi wa kisiasa kwa vile nao ni sehemu ya jamii. Tatizo ni pale kikaragosi anakuja hapa JF na kudai kwamba maaskofu wamepewa rushwa, ya tena elfu 50,000 wakati hakuna ukweli wowote. Hilo ni tusi kubwa kwa maaskofu wetu kuliko kwa January Makamba ambaye ndiye mlengwa wa tusi hilo.
 
unafiki wako ni mbaya kuliko tamaa ya january kama ulikuwa na nia ya kuuliza yote hayo ungemuuliza hukohuko si utupe feedback unafiki hatutaki hela uchukue uje kulia lia hapa.
 
Basi wewe huwajui maaskofu kama kweli una-doubt wanaweza kumualika mwanasiasa. Sio jambo la ajabu kwa wao kuwa na round-table discussions na viongozi wa kisiasa kwa vile nao ni sehemu ya jamii. Tatizo ni pale kikaragosi anakuja hapa JF na kudai kwamba maaskofu wamepewa rushwa, ya tena elfu 50,000 wakati hakuna ukweli wowote. Hilo ni tusi kubwa kwa maaskofu wetu kuliko kwa January Makamba ambaye ndiye mlengwa wa tusi hilo.

Ndio maana nikasema kukata mzizi wa fitina na kukomesha uongo we tuwekee hiyo Sauti na kama una Video itakuwa vizuri zaidi, pia barua ya mwaliko.
 
Bahati nzuri sana January hafanyi siasa humu JF. Not every little accusation deserves a response from a politician. Otherwise it would be paralysis. Strong leaders rise above petty discussions and frivolous accusations.
Haha try to be objective we know he is a member here: if it wasn't JF rules we could as well expose his ID, but that is not a big deal ,for now we want him to come clean: why he is going under the carpet ,if he thinks he is fit for Number one office why don't he come open to the public instead he is using money:
 
ni wajinga tu watakaoshawishika, to hell with your foolishness though i dont like this grand thief known as JANUARY MAKAMBA
 
Hizi ndizo siasa za Tanzania kisha watu mtasema hakuna Udini. Yaani kiongozi anakwenda kuomba kura zake kwa viongozi wa dini ili kuwashawishi wafuasi wake?. Na kwa bahati mbaya zaidi kiongozi wa dini (mchungaji) anajisifia kwa mwaliko na ujio huo ili kutuonyesha nguvu walokuwa nayo ktk maamuzi ya kumpitisha kiongozi wa nchi huku akitoa mifano ya kufananisha na manabii!...

Eeeh1 Mungu wee ulotuumba pasipo makundi haya ya kiimani, leo vilivyoumbwa na binadamu ndivyo vinatutawala. Na ikiwa sisi wananchi wenyewe Ndivyo Tulivyo (Miafrika) itakuwaje rahisi kuondoa Udini nchini!
 
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa

Ngongoseke hakuna anayetaka kumdhalilisha mtu hapa. Pili pili iko shamba wewe unawashwa nini??????? tulia mh. Ajibu maswali Kule walikuwamo wengi hakukuwa na muda wa kutosha wa maswali na majibu.. acha kiherehere
 
Nchi yetu tuna bahati kweli, kila mwanasiasa anataka Urais! Ni kwa nini hasa; maliasili zimezidi au umasikini umepungua?

Jamani Wanasiasa, kuwa Rais ktk nchi masikini kama hii ni shida tupu, lkn ninyi mnakimbilia na kulipia ili muupate huo Urais. Ninyi CCM tuambieni, mmeweka vitu gani huko Ikulu kiasi kwamba kila Mwanasiasa anawaza kuwa Rais?
 
Weka picha otherwise binafsi nakuchukulia kama mfitini na mzandiki. Kwanza ungemuuliza kwenye hicho kikao, au uliogopa atakunyima posho?
 
Hizi ndizo siasa za tanzania kisha watu mtasema hakuna Udini. Yaani kingozi anakwenda kuomba kura zake kwa viongozi wa dini ili kuwashawishi wafuasi wake?. Na kwa bahati mbaya zaidi kingozi wa dini anajisifia kwa ujio huo na kutuonyesha nguvu walokua nayo ktk maamuzi ya kumpitisha kiongozi akitoa mifano ya manabii!...

Eeeb Mungu wee ulotuumba pasipo makundi yaha ya kiimani, leo vilivyoumbwa na binadamu ndivyo vinatutawala. Na ikiwa sisi wananchi wenyewe Ndivyo Tulivyo (Miafrika) itakuwaje rahisi kuondoa Udini nchini!

How do you know this brouhaha has any iota of credibility?
 
Unashindwa kwenda kuwasaidia maskini mitaani leo hii unagawa pesa kwa watu walio wazima,kibaya zaidi pesa yenyewe ni ya dhuluma,nyie mwisho wenu ni 2015,peoplesssssss,,,,,, powerrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom