ONDIECK OTOYO
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 254
- 46
hii ni mbinu tu ya serekali ya ccm kujaribu kupunguza nguvu ya upinzani katika maeneo wanaofikiri kuna nguvu ya upinzani
Wagombea CCM
1. Edward Lowassa-Ana pesa na watu.
2. Stephen Wassira- Ana watu na ushawishi.
3. January Makamba - Bado mchanga ndo anajitangaza.
4. Bernard Membe-Bado hajaoteshwa anautamani.
5. Emmanuel Nchimbi- Yuko njia panda kwasasa.
6. Fredrick Sumaye-Anajikongoja anautamani
7. William Ngeleja-Msindikizaji.
Tatizo lenu pro cdm kila anaepingana nanyi ni ccm,
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tz, sijawahi kupiga kura hata mara moja,
Kwa sababu Mara zote nakuwa sipo home,
Mimi nashabikia mtu sio chama,vyama vyoye vina sera nzuri lakini watekelezaji hawapo,jifunzeni si kila anaekuwa kinyume nanyinyi ni ccm,wengine,CUF,UDP,TLP, na wengine kama sisi hatuna vyama ila ni wa Tanganyika tu
Mwisho wa siku watakuja kusema January ni chaguo la Mungu.
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
Kama ulikuwa kwenye hicho kikao si ungemuuliza hayo maswali?kama sio unafiki ni nini..
Wengine tusingejua kuwa bwana mdogo anafitinisha watu.
Kama ulikuwa kwenye hicho kikao si ungemuuliza hayo maswali?kama sio unafiki ni nini..