Pole January Makamba

Pole January Makamba

Mkuu we ni mnafiki ulishindwa nin kuhoji huko hotelini. BTW ni haki ya kikatiba kwa January kugombea urais kwani tatizo ni nini?

Go Makamba.
 
nimeamini si wote unaowashirikisha katika mipango yako wako upande wako , dogo papara zako zitakuharibia kila kitu kwenye uteuzi, ungekuwa CHADEMA hii ingekuwa imekumaliza kabisa.
 
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa

tatizo lako wewe mwana mama ni kiherehere swali hujaulizwa wewe unakuja mkujibia au wewe nyumba ndogo ya january..punguza kiherehere..
 
Wakuu si ajabu kabisa kwa sasa hapa Tanzania: Kila mtu regardless his/her background anaweza kugombea URAIS, UWAZIRI etc! Hapa kweli kuna kazi! Mtu kama Makamba, ZZK na baadhi yao wengine wanafikiri kuwa kijani ndiyo nguzo ya kuwa Rais wa nchi! Kitendo cha bwana Kikwete kusema angependa kumuachia kijana Urais kinawafanya hawa vijana wafikiri kuwa sasa ndiyo wakati. It is absolute wrong! Wewe ndugu Makamba ni kitu gani kitakufanya uwe Rais wa wa watanzania? Elimu tu? au kuwahi kuwa mshauri wa Rais? Au mhs ZZK ni kitu gani kinakufanya uwe na haraka ya kutaka kuwa mwenyekiti au Rais? Kwa sababu ya elimu au nini? Hii nchi ni kweli imepoteza mengi baada ya kuondoka kwa Mwl Nyerere. Hivi siasa za Mzee Makamba za kuongea na kuwachekesha watu zimetupeleka wapi? Hivi mnafikiri kwa sababu Baraka Obama alipata urais wa Marekani kwa hiyo na nyie ndio wakati wenu. Angalia aliyoyafanya Baraka kabla ya kuwaza hata kuwa rais wa marekani! Mnapoteza wakti wenu. Nina imani kubwa kabisa mnaweza kufanya hivyo baada ya kupanda mbegu na kuvuna kama mala mbili au zaidi halafu ndipo walionufaika na mavuno watoe shukrani zao na kusema naam kweli hawa wataweza!!
 
tatizo lako wewe mwana mama ni kiherehere swali hujaulizwa wewe unakuja mkujibia au wewe nyumba ndogo ya january..punguza kiherehere..

Apunguze kweli manake amezidi..... Kila jambo analidaka juu juu
 
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?

kama wewe ndo January jua umeanza na mwanzo mbaya sana kwani ulianza na vijana wa vyuo vikuu likabururuka, ukaja na baraza la UVCCM kwa kuwanunulia simu likabururuka, na hili la sasa limesanuka. Hapo kazi unayo.
 
Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?

Nafikiri tungetafari lengo la mleta mada kwani kama hasingeliwasilisha hili tusingeweza kufahamu upuuzi alioufanya/anaoufanya J.Makamba.
 
Nafikiri tungetafari lengo la mleta mada kwani kama hasingeliwasilisha hili tusingeweza kufahamu upuuzi alioufanya/anaoufanya J.Makamba.

Achana na hao vilaza mkuu..... Huwa hawashirikishagi akili zao wakati wanapost jf!
 
yaani baada ya nchi hii kuongozwa na kikwete kila mtu anajiona anauwezo wa kuliongoza taifa hili hata mandezi kama january eti naye anataka uraisi...
 
Mtoa mada,,,haya unayoyauliza hapa ulikosa wasaa wa kumuuliza????ulijua unahongwa ukapokea????Januari ana ukurasa wake wa fb,tweeter,nenda kamuulize,,,,nyie viongoz wa kidini ni wanafki tu,unataka tujue kuwa ulikua na Januari???mxiuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom