mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
kweli mkuu huyo mtu bwana haeleweki hata mimi sija muelewa