Umelishwa, umepewa usafiri wa kuja na kurudi na wa ndani,umelipiwa chumba, vinywaji nadhani na umelipiwa na zinaa ulio ifanya mwza. Baada yayote umepewa na 50000. Nahumo kwenye kikao hukuyasema haya mbele ya January unatuletea sisi huku je unataka tukujibu nini wakati ww ulionana na January uso kwa uso kama sio mbumbavu ninani?
Hivi wewe ni mchungaji au mchungwaji nina wasiwasi na uelewa wako umesema ulikuwa nae kwenye kikao kwanini haya maswali yako ya kipuuzi hukumuuliza huko kwenye kikao au ulisubili upokee posho kwanza halafu uje kutuchosha hapa, hivi ni wapi rahisi pa kufikisha ujumbe haraka kati ya kumwambia mtu m ojakwamoja na kuja kulalamika hapa jamvini. Wewe siyo mchungaji ni mpiga majungu watu kama nyinyi ni hatali kwa Taifa.
Ujangili+ubakaji+usambazaji na utumiaji sembe+ufisadi+uuaji=CCM
wengine ni decoy,wanakuwepo kwa lengo la kupoteza maboya,kuliko cdm mgombea mmoja tu anafahamika licha kuwa na umri mkubwa sana kiasi kwamba hata kama atashinda,uwezekano wa hata miaka mitano ya kwanza kuisha kabla bendera hazijapepea nusu mlingoti ni asilimia 17.Hili suala la kila mtu anataka Urais litawatesa CCM.Ni kwa nini hawamuandai mrithi mmoja?!
wakati mwingine nashindwa kupima yupi kati ya zito na january ni bright zaidi ya mwenzake interm of IQ.Makamba ni jembe, CCM mzima hakuna kijana kama Makamba..
Huyu mtu ni maarufa kuliko CCM...
wewe kama ni mchungaji nina wasiwasi na uchungaji wako. nilidhani utaandika majibu ya maswali uliyouliza hapa kwa kuwa ume,uuliza makamba. pia mwenyewe ni mla rushwa na huna lolote. ulikuwa nae ungemuuliza. kuleta habari kama hii hapa ni unafiki na uzushi na ufitini. hivi vitu yvote Mungu hapendi
Mtoa mada,,,haya unayoyauliza hapa ulikosa wasaa wa kumuuliza????ulijua unahongwa ukapokea????Januari ana ukurasa wake wa fb,tweeter,nenda kamuulize,,,,nyie viongoz wa kidini ni wanafki tu,unataka tujue kuwa ulikua na Januari???mxiuuuuuuuu