Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Pole Sana Frank, niliwahi kulipa ada na mimi yakanikuta zaid..afadhali wako katiwa mimba, mimi wangu aliolewa kabisaa.. Ni changamoto tu za maisha, ila @KUSOMESHA NO..
Yaani wanaume hata kama tunapenda vipi..tusomeshe ndugu zetu jamani na wake zetu, sio mademu..USISOMESHEEEEEE...WANAWAKE HAWANA SHUKRANI..yaani ukianza kusomesha tu anakudharau..pesa zako za matumizi anapiga zege na ---- mwengine..
Salute kwa wanawake..mimi hata hela ya daftari silipi, sio kusomesha tu..Nishajifunza siku nyingi!!

Hii mada imenikomboa saana...
 
Hiv wewe ndolobo Kweli karne hii bado unasomesha Demu au Kufanya biashara na Demu eti utasikia jitu zima linatunziwa pesa na Demu ovyoooo
 
Frank atakuwa amepata somo zuri sana....

Wanawake, wanaume wote wana matatizo ktk kufikiri, kuna jamaa alioa baada ya harusi wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume, jamaa akamtafutia mkewe kazi nzuri zaidi kuliko aliyokuwa anifanya mwazo mama baada ya muda kaanza kubadilika, kiburi, dharau, jeuri tele kwa mumewe jamaa anavumilia tu, mara mke anarudi late sana ugomvi ukaanza kila mara malumbano, kumbe mke kapata jamaa mwingine huko ofisini, mwanamke kaona haitoshi kaondoka kaenda kupanga nyumba kaondoka na mtoto kumbe ilikua gia tu jamaa ucku wanalala wote, mwisho ndoa imevunjika jamaa kamchukua mwananmke wanaishi wote, mwaka wa 5 huu jamaa anatupia tu picha za mtoto wa mwenzie FB bila haya wala huruma na mtoto akimita anko anagombezwa analazimisha aitwe baba, na mtoto anamjua babake inamuwia ngumu kuona baba mwingine, hii ni mbaya sana jinsia zote tuheshimu ndoa na kujali watoto. Wanawake TAMAA mbaya.

Bora huyu amemtafutia kazi lakini huyu make snamlelea mtoto wake.
 
Yani ukitaka ugonjwa wa presha ujanani fanya hisani hio kwa mwanamke utajuta. Mimi kuna jambo nkikumbuka natamani kugeuka lusifa sema tuu nimelichukulia ustaharabu tuu japo najua kuna hawa watu wasikie tuu.

Funguka baba,..funguka.
 
Nilidhani labda kamkuta ameolewa. Kumbe kamkuta na mimba. Kwa wanachuo kuishi kama mke na mume ni kawaida sana.
 
Mtusomeshe tu jamani, kwani hamjawahi kusikia msemo "tenda wema nenda zako"
 
Back
Top Bottom