Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Haya mambo ni bahati nasibu, kuna jamaa alimsomesha demu wake chuo cha ualimu baadaye wakaoana sasa wana miaka kama nane ya ndoa yao.
Naomba tu niseme kwamba kama nimeoa mwanamke means nimeridhika na kila kitu kutoka kwake, SISOMESHI HATA MKE ACHILIA MBALI MCHUMBA AU DEMU... mwanamke kama asingekuwa ameridhika na elimu yake asingekubali kuolewa... angeniambia tu kuwa bado anahitaji kusoma, MIMI NINGEMSUBIRIA KAMA MUNGU NDO KANIPANGIA.. Na ikilazimika kusoma wakati nimeshamuoa chakufanya NI KUMRUDISHA KWAO AKASOMESHWE NA BABA YAKE/MAMA YAKE/NDUGU ZAKE... akimaliza ndo arudi kwangu kuendelea na maisha ya ndoa... KAMA HATAKI AISHIE MAPEMAAAAAAAAAAAAA......
SIOI MWANAMKE ILI NIWE BABA YAKE... NAOA ILI NIWE MUME WAKE...
Huwa naamini kwamba mwanamke ni kama bendera inaweza ikavuma kuelekea upande wowote na kwa wakati wowote nawaogopa sana yaan!!!!!!
Kusomesha mtoto wa mwanaume mwenzio ni upuuzi tyu.....ila kila kitu kina tokea ili tujifunze kupitia tatizo....sku jua ata na hawa JWTZ huwa nao wana oshewa...!!
Hawa binadamu sijui kama huwa wanajielewa
Dunia ya leo unasomesha mwanamke eti mchumba wako upotea bora ungesomesha ndugu zako wangekusaidia baadae