Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Dah pole Frank. Hapo kachepuka halafu kanogewa hata zana kasahau. Ni changamoto jikaze tu boss wangu, japo inauma. Kama unampenda na ye bado anakupenda pima weka ndani. But hakuna mwanamke utamkuta bikira katika ulimwengu huu. Ni nadra sana. Take it easy mani!

Mkuu yy akutaka bikra bhana bali true love ilaa ndio kashawahiwa na vidume wengine daaaa ilaaa inauma
 
Ukiamua kumsaidia mtu, msaidie tu, si lazima akulipe fadhila. Jamaa ahesabu kama alitoa sadaka tu, hiyo elimu itamsaidia huyo Manzi na watu wake wa karibu, Mshkaji baraka zake zitamfuata.
 
100,000,000,000,like Received....yaani hakuna kosa kubwa kwenye mahusiano kama kumsomesha mpenz...we we we lazima ujute wanawake waacha kama walivyo mimi nawaheshim hapo kweny kubadili maamuz ni dk 1 atakacho fanya huto amini....FRANK wakowengi we acha tu

Frank kanipa fundisho,...aah frank.
 
Pole sana
 

Attachments

  • 1434802421131.jpg
    1434802421131.jpg
    25.4 KB · Views: 170
Back
Top Bottom