aisee bora nimuache nimtafute mwingine jera siyo...niliwahi kukaa kule.
hii too much
Pole yako Frank wazazi ndio wenye majukumu ya kumsomesha ww Frank kazi yako kubwa ilikua ni kugegeda tu!!!
Nimekusamehe bebi njoo tufunge ndoa kabisa mpnz
Sisamehi kitu.
Funguka baba,..funguka.
Asante mpnz sasa itabidi nikamalizie na degree ya 3
Degree subiri kwanza tupate katotoo mpz.
Beiib ina maana hata kuniogopa hakuna umempa kama ilivyo...
Ahahahahaha kwa kweli.. Pumbafuuu mahari nitoe na kumsomesha?
Nikipata katoto chuo nitakosa swaga mpnz wachanikasome tu
..pole sana mkuu kila mtu anachangamoto zake katika Mapenzi,...we acha mkuu mengine ni yarohon tuu maana ila ntaliandalia uzi mmoja kababe usijali