Wanawake, wanaume wote wana matatizo ktk kufikiri, kuna jamaa alioa baada ya harusi wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume, jamaa akamtafutia mkewe kazi nzuri zaidi kuliko aliyokuwa anifanya mwazo mama baada ya muda kaanza kubadilika, kiburi, dharau, jeuri tele kwa mumewe jamaa anavumilia tu, mara mke anarudi late sana ugomvi ukaanza kila mara malumbano, kumbe mke kapata jamaa mwingine huko ofisini, mwanamke kaona haitoshi kaondoka kaenda kupanga nyumba kaondoka na mtoto kumbe ilikua gia tu jamaa ucku wanalala wote, mwisho ndoa imevunjika jamaa kamchukua mwananmke wanaishi wote, mwaka wa 5 huu jamaa anatupia tu picha za mtoto wa mwenzie FB bila haya wala huruma na mtoto akimita anko anagombezwa analazimisha aitwe baba, na mtoto anamjua babake inamuwia ngumu kuona baba mwingine, hii ni mbaya sana jinsia zote tuheshimu ndoa na kujali watoto. Wanawake TAMAA mbaya.