Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Pole Frank, mchumba hasomeshwi

Yaan kwa ufupi ukitaka uchukie mapenz na ujitafutie njia nyepesi yakwenda segerea somesha mwanamke...hakyanan lazima utalia tu...ni nani ajitokeze hapa akiri kuwa alimsomesha mwanamke na hajaumizwa??hakuna na haitakaa itokee....kumtoa mtu matongotongo ili aone vyema lazima akutukane tu...lazima tujifunze,huruma uwe na mipaka na siyo haki hata kidgo kuchukua majuku ya wazazi wake...
 
Aiseee
Haya ngoja na sisi tuache kutoa matumizi.
Naacha kuanzia kesho
 
Hahahahahahaha katoka ucngizini huyo

Mkuu wanawake wako kama sijui nini...

Ukimpa mtaji..
Ukimsomesha..
Akifanikiwa kimaisha kiduchu tu Imekula kwakoo!

Sasa lijamaa linasema alee na mtoto kweli inaingia akilini hiyo??
 
Pole Sana Frank, niliwahi kulipa ada na mimi yakanikuta zaid..afadhali wako katiwa mimba, mimi wangu aliolewa kabisaa.. Ni changamoto tu za maisha, ila @KUSOMESHA NO..
Yaani wanaume hata kama tunapenda vipi..tusomeshe ndugu zetu jamani na wake zetu, sio mademu..USISOMESHEEEEEE...WANAWAKE HAWANA SHUKRANI..yaani ukianza kusomesha tu anakudharau..pesa zako za matumizi anapiga zege na ---- mwengine..
Salute kwa wanawake..mimi hata hela ya daftari silipi, sio kusomesha tu..Nishajifunza siku nyingi!!

Hahahaaaa,umenchekesha.Tusomesheni jaman
 
Yaan kwa ufupi ukitaka uchukie mapenz na ujitafutie njia nyepesi yakwenda segerea somesha mwanamke...hakyanan lazima utalia tu...ni nani ajitokeze hapa akiri kuwa alimsomesha mwanamke na hajaumizwa??hakuna na haitakaa itokee....kumtoa mtu matongotongo ili aone vyema lazima akutukane tu...lazima tujifunze,huruma uwe na mipaka na siyo haki hata kidgo kuchukua majuku ya wazazi wake...

Mke je??
 
Mkuu wanawake wako kama sijui nini...

Ukimpa mtaji..
Ukimsomesha..
Akifanikiwa kimaisha kiduchu tu Imekula kwakoo!

Sasa lijamaa linasema alee na mtoto kweli inaingia akilini hiyo??

Naamini hata yeye.. asingeweza
 
ha ha ha,hata mi nilijidai kusomesha teaching.
kudadeki kumbe hostel wanachanganywa na wanaume.
demu akawa anaishi na mjamaa na kushare kitanda kama mkewe.
anamaliza chuo karudi hajapata kazi ndo ananikumbuka.
kukaa nae miezi kadhaa ndo apate kazi,rafiki yake waliekua nae chuoni akaja na kukaa kwangu wakati akitafuta kazi,ndo kupitia kwake nikazinyaka habari za huyo demu kule chuoni.
nikapiga chini
 
Ipo humu mijanajike ambayo imeshawahi au inayotarajia kuwatenda boy friends zao kama huyo kenge alivyomtenda frank !Ione mimachoyao kwanza inavyoukodolea huu uzi!Me nitaiwest gate kabisa ni bora tukose wote shenz!!

Mkuu una hasira.
 
frank hana mguu wa kuku?hiyo ndo inayosaidia kudeal na watu kama hao.
 
Last edited by a moderator:
Naomba tu niseme kwamba kama nimeoa mwanamke means nimeridhika na kila kitu kutoka kwake, SISOMESHI HATA MKE ACHILIA MBALI MCHUMBA AU DEMU... mwanamke kama asingekuwa ameridhika na elimu yake asingekubali kuolewa... angeniambia tu kuwa bado anahitaji kusoma, MIMI NINGEMSUBIRIA KAMA MUNGU NDO KANIPANGIA.. Na ikilazimika kusoma wakati nimeshamuoa chakufanya NI KUMRUDISHA KWAO AKASOMESHWE NA BABA YAKE/MAMA YAKE/NDUGU ZAKE... akimaliza ndo arudi kwangu kuendelea na maisha ya ndoa... KAMA HATAKI AISHIE MAPEMAAAAAAAAAAAAA......
SIOI MWANAMKE ILI NIWE BABA YAKE... NAOA ILI NIWE MUME WAKE...
 
Back
Top Bottom