Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Mkuu siyo bure umerogwa mwambie slaa ajiuzuru aliyekihalibu chadema mpaka kimekuwa chama cha kigaidi na kupigana bungeni huku yeye akitanua pikiniki na Last lady marekani.
Mwigulu anae ku-remote ww uhaibun anatumia ela za nan? Na atakua na yule mke wa mtu wa igunga....tehtehtehe
 
Mkuu siyo bure umerogwa mwambie slaa ajiuzuru aliyekihalibu chadema mpaka kimekuwa chama cha kigaidi na kupigana bungeni huku yeye akitanua pikiniki na Last lady marekani.

Sasa wewe tahira Dr Slaa ametoka wapi kwenye thread hii..
 
Dr slaa ana kadi ya ccm ambae ni boss wako anaekuaminisha kila kitu yeye anatosha kuwa ccm na sio wewe kichwa boga

aliichukua lini? na inakoma lini? je chama chrnu kinaruhusu mwanachama wenu kuwa wanachama wachadema pia, je kwenye kichwa chako kuna akili au yamejaa makamasi tu..
 
John Pombe anaonewa na hawa majambazi eti wafanyabishr
angekuwa Mwlm enzi hizo maroli yote yaliyogoma yangekuwa maili ya taifa alafu tunaludisha daudo, kaudo, kauma huku tukiwaooji mali na jeuri ya kulazimisha uaribifu wanautoa wapi?
Think big
mkuuu.magufuli anatetea usiendelee kulipa tax zisizoeleweka we unasema
na yeye ajiunge na majambazi hivi unajua uharibifu wa barabara
unaofanywa na malori kwa kuzidisha uzani au unaongea tu.safiri then
utajua kuwa magufuli yupo sahihi...........
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

You are completely right!!!!!! Though ni vema pia kuweka wazi ukweli kuwa pamoja na kuwa Waziri Mkuu alikuwa na mamlaka ya kutoa tamko lenye maagizo ya serikali yeye pia kafanya kosa ambalo linaashiria kuwa serikali yetu sio moja. Magufuli alitoa agizo la utekelezaji wa sharia halali ya serikali bila shaka kwa niaba ya serikali na sio familia yake. Waziri mkuu alitakiwa kutoa tamko linaloashiria kuwa kumefanyika consultation ya kina na kuzingatia maswala ya uwajibikaji wa pamoja kama viongozi. Shutuma alizozielekeza kwa Magufuli kupitia mazungumzo yake na media haziashirii kuwa Magufuli na Pinda wapo katika serikali moja.
 
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara.

Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli.

Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.

Sheria zipo kuhudumia watu sio watu kuhudumia sheria ndio mana zinatungwa na kurekebishwa na kufutwa tena makufuli wako huyo anang'ang'ania sheria inayoshibisha tumbo lake; wao wanapiga mihela na wakandarasi barabara zinajengwa chini ya kiwango halafu analeta vizogo mbuzi na kutunishia wachukuzi misuli; kwani mabarabara mangapi yamebomokabomoka hata mwaka bado? au hatujui? na huyo makufuli ni waziri wa barabara tuuuu mbona magorofa yanaanguka na watu kibao kufa hatumsikii akin'gaka? anachumia tumbo tu huyo na akijiuzulu ni nafuu ya mbebaji wa pakacha hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi mtu kakalia ufisadi tuuuu nyumba za serikali kauza milioni 15 na waliouziwa hata deni hawajamaliza wanaziuza bilioni 15 anafaa kunyongwa tu ni mhujumu uchumi ndio mana mawazo yake mafupi hawezi hata kutafakari athari ya uropokaji wake. Badala ya kujiona yeye ni mhudumu wa wadau anajiona yupo kwa ajili ya kujihudumia na kujikweza.
 
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara.

Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli.

Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.

hata mimi nashangaa kweli unafanya kazi hivyo halafu anakuja mtu kukuharibia kweli.....namkubali sana magufuri,japo nipo chadema.
 
Ndugu waatanzania
inasikitisha sana wakatiwazee wengine wanazeeka kwa wema na kuwa na busar
mzee huyu anazeeka vibaya kwa kweli na kama nisingekuwa na busara ningefikia kumwita mwehu jinsi anavyoongea mbele ya waandishi wa habar

mzee magufuli embu tukusaidie tu wapo wwengi wanakubali kuzeeka na kuachia ngazi hasa kwa maamuzi mazito sidhani unaitaji kutiwa aibu na mh waziri mkuu kwaa maamuzi yako mazito usyokaa na kufukiria

niliwahi kusema watanzania wana jf akuna siku mtu akasema mbuzi wangu handsome sana lakini ukweli unabaki uhandsome wa mbuzi nyama yake ..sasa kama utaendelea hivi mh waziri naamini ipo siku watakuvisha skirt wallahi ...nakushauri kabla ya kukimbilia kutoa maamuzi yasiyona akili ama kufikiria vizuri ukashauriana na hata na nyumba ndogo kama mama yetu awezi kukushauri nasema hivi wale watu wana busara zao hakika kama ungewashirikisha aijalishi nyumba ndogo ama kubwa akuna upuuzi wa foleni unaoendelea njia ya mandela hivi sasa kuendelea kuwepa

sihaba kumalizia mzee wetu wajua hili na kwa ushauri tu jf tuko na wewe kama ina itaitajika kukusaidia kutekeleza maamuzi yako
 
Wewe ndo unatakiwa kuvalishwa skirt
 
mafisadi wanatutumia vibaya sana. ungejua maana ya hicho anachokipigania mheshimiwa magufuli usingethubutu kumtukana kwa maneno yako machafu. binafsi nampongeza na kumtakia mafanikio kwa usalama wa barabara zetu.
 
Ndugu waatanzania
inasikitisha sana wakatiwazee wengine wanazeeka kwa wema na kuwa na busar
mzee huyu anazeeka vibaya kwa kweli na kama nisingekuwa na busara ningefikia kumwita mwehu jinsi anavyoongea mbele ya waandishi wa habar

mzee magufuli embu tukusaidie tu wapo wwengi wanakubali kuzeeka na kuachia ngazi hasa kwa maamuzi mazito sidhani unaitaji kutiwa aibu na mh waziri mkuu kwaa maamuzi yako mazito usyokaa na kufukiria

niliwahi kusema watanzania wana jf akuna siku mtu akasema mbuzi wangu handsome sana lakini ukweli unabaki uhandsome wa mbuzi nyama yake ..sasa kama utaendelea hivi mh waziri naamini ipo siku watakuvisha skirt wallahi ...nakushauri kabla ya kukimbilia kutoa maamuzi yasiyona akili ama kufikiria vizuri ukashauriana na hata na nyumba ndogo kama mama yetu awezi kukushauri nasema hivi wale watu wana busara zao hakika kama ungewashirikisha aijalishi nyumba ndogo ama kubwa akuna upuuzi wa foleni unaoendelea njia ya mandela hivi sasa kuendelea kuwepa

sihaba kumalizia mzee wetu wajua hili na kwa ushauri tu jf tuko na wewe kama ina itaitajika kukusaidia kutekeleza maamuzi yako

Mpaka hapo haujaeleweka point yako ni nini!...Ndiyo maana jamaa hapo juu wanasema wewe ndiyo unafaa kuvishwa skirt, na vyote vya kike vinakufaa; utamshutum vipi waziri wa nchi bila kusema shutuma hizo ni kwa lipi, yaani wewe ukimbilie jf kutukana bila kusema kakosea wapi na ungeshauri au angepaswa afanyeje!!!!..Hizo zinaitwa fitina na majungu, wanaume hatuna hizo, kama umeamua kumchana mchane vya ukweli siyo unaanzisha jambo halafu unaishia kurembua macho na kukenua meno huku ukikatika mauno kama mjane wa uswahilini!
 
Nadhani jamaa wewe una matatizo yako. Hii nchi ingekuwa na rais kama Dr Slaa na waziri mkuu kama Magufuli mbona tungepiga hatua sana. Acha kuwa mwehu na kutaka kujicalisha sketi wakati wewe ni mwanaume. Mh Magufuli ni mtu pure mno, amepitia changamoto nyingi sana na ndiyo maana zingine amfisadi walimtega ili aanguke ila unaumona bado kasimama
 
Mnaowatetea mafisadi wa kuharibu barabara angalia graph hii,
hii ni barabara ambayo imekuwa designed kwa miaka 20, lakini inaonyesha kuwa kama overloading itakuwa asilimia 100 barabara itadumu kwa miaka 10 tu, je asilimia 105 wanayotaka wasafirishaji itadumu kwa miaka mingapi? changanya na zako na za mbayuwayu.
effect of traffic loading.png

source (SENSITIVITY ANALYSIS IN FLEXIBLE PAVEMENT PERFORMANCE USING MECHANISTIC EMPIRICAL METHOD
(CASE STUDY: CIREBON–LOSARI ROAD SEGMENT, WEST JAVA) 2011
E. Samad
Balai Besar Pelaksanaan Jalan Nasional IV, Ditjen Bina Marga, Kementerian Pekerjaan Umum
Jl. Pattimura No.20, Kebayoran Baru - Jakarta Selatan
 
Back
Top Bottom