Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Uliona mbali sanaMagufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Uliona mbali sanaMagufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Mapagale yake yanaoza kwa wapiga mbizi hukoKuna mtu alisema haongei na mbwa anaongea na mwenye mbwa.
Mkuu uliona mbali sana hatimaye Jiwe kawa raisi!Magufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Hahaaa figisu toka kwenye udi1 hadi kwenye miguuboli.Mapagale yake yanaoza kwa wapiga mbizi huko
Hii ni mara ya pili sasa Magufuli anabwagwa na Serikali yake!