Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Kwanini vijana wa kibongo hamuwezi kujadili issues kwa uweledi mnakimbilia siasa tu? hata ukiwa boya unatakiwa uone tatizo la namna mawaziri hawa wanavyo pingana waziwazi then useme mtazamo wako kama ambavyo wenzako wamesema. usipende kitu kiasi kwamba ukashindwa kukosoa na wala kukosoa hakuihalibii ccm bali kuta isaidia kujijenga iwapo kitauchukulia ukosoaji huo positivelly.
 
Duuuh! Sasa ni dhahiri Dr.Slaa anaivuruga akili Lumumba,Maana kila sauti inayotoka ndani ya LUMUMBA GROUP lazima ipambwe na jina la Slaa! Iwe mwanzoni,katikati au mwishoni ili mradi tu Slaa atajwe.Kwikwikwiiii
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

Wakati mwingine kujiuzuru si kuwajibika bali ni kujiongezea udhaifu na kuwadhoofisha wenzako wenye nia njema ya uajibikaji.

Kikubwa kwa Mh. Waziri kwa sasa ni kufuata maelekezo ya Waziri Mkuu.

Lingine ni kuhakikisha kuwa barabara zote ambazo ni highways zilizokwisha tengenezwa zinaongezewa fedha za matengenezo ya mara kwa mara.

Na zile ambazo zinaendelea kujengwa usimamizi mathubuti unafanyika na ikiwezekana aunde kikosi kazi tofauti na wanavyofanya siku zote kwa kucheck kila hatua ya ujenzi na kuandaa taarifa maalum.

Na zile zitakazotarajiwa kujengwa itengwe fedha ya kutosha ili kiwango chake angalu kiweze kuhimili mikikimikiki ya uzani mwingi zaidi kuliko ilivyo sasa.


Na mwisho kabisa aongeze vifaa vya kisasa kwenye maabara za Tanroads zote nchini na kama vifaa hivyo ni ghali basi sampuri zipimwe kwenye maabara ambazo serikali ina uhakika nazo kwa matokeo mazuri ya ubora na viwango.
 
kuna sheria, kanuni na taratibu plus sera, lakini wakati mwingine busara na hekima inaitajika katika kutatua jambo lolote, makufuri anasimamia sana sheria lakin busara hana.
 
Fufueni RTC nyinyi wehu ili mizigo mizito ipitie huko,Tuendelee kupoteza mabilioni ya pesa kwaajili ya ukarabati wa barabara mpaka lini Wakati tuna changamoto chungu nzima za kupambana nazo kama Taifa?Fufueni njia ya Reli.
 
Hivi hawa wamiliki wa malori na mabasi si ndio wanaoshusha mizigo na abiria wakikaribia kwenye mizani na kuwapakia kwenye gari ndogo,halafu wanaipakia tena wakivuka mizani?

Watu kama hawa ndio ambao Pinda anapinda sheria kuwatetea?Mie nafikiri hii ni vita ya kuchafuana!

Mmeshajua kuwa yawezekana Magufuli anautaka uraisi sasa mnatumia kigezo cha kuwa anatengeneza barabara bellow standards wakati uhuni huo wa uharibifu wa barabara wanaufanya hao wenye mabasi na malori!

Hivi inakuwaje mtu anayevunja sheria(wapigwe tu n.k) ndio anaonekana ni mtu mzalendo kuliko anayefata sheria?

Ina maana watanzania tumenogewa hivi na uvunjaji sheria mpaka tumekuwa mashabiki wa wale wanaowatetea wavunjaji wa sheria?
 
Ajiuzuru kwa lipi la ajabu serikali ya kikwete lini ikawa na corrective decisions mara ngapi kila mtu anafyatuka na lake na mwenziwe anakuja anampasha kisawasawa ndio mitindo yao its a leadership with style of confusion
 
Mara nyingi sana Magufuli anafanya mambo ya kukurupuka akishabanwa kimya,,
 
kwa nini hiyo 5% iwe kwa mzigo kuzidi tu????maana tolerance huwa ni +/-,ssa kama wameweka 5% kwa nni iwe ni kuzid tu????abda wangeintroduce correction factor ningeelewa,ukweli ni kwamba jamaa kagus maslahi ya watu ambao ndio wanahujumu reli
barabara za highways zilizojengwa kwa kiwango cha kimataifa haziwezi kuharibiwa kwa uzito uliozidi 5% ya mzigo halali.makufuli anaogopa kuaibika kwa anachokifahamu,iwe iweje tusubiri 2016 ndipo tutajua mbivu na mbichi,tutajutia kujenga barabara za kichina,kubomoa hatutaweza,kukarabati hatutaweza.ni afadhali tuimarishe reli, ya uhuru,ya kati ,ya mwanza, ya kaskazini na tujenge ya kusini
tujenge barabara nyingi za changarawe ni rahisi kuzikarabati na chache za standadi za lam
i
 
Magufuli kimyaaa ka Mwakyembe wa Masogange.

Masogange atakamatwa, kinga yake ni kuendelea kuwepo huko alipo.
Either she will soon be terminated, cause as per what has already happened, she is a bargaining chip.
Its a matter of Tik tok tik tok.
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

Mi Nafikiri aliyevunja Sheria Ndo umshauri ajiuzuru, badala Ya kumlaumu aliyefuata Sheria eti amekurupuka.. akiondoka Mcmamia Sheria ht Huyo mmoja aliyepo wakajaa wavunja Sheria ndg yng utatafuta pa kutokea
 
Tanzania kwa uozo tuliofikia nchi inahitaji mtu mwenye ubavu wakutoa maamuzi mazito kama Magufuli,
hapa kinachopashwa kuangaliwa ni kutopindisha sheria,bila kuogopa kuwa wakiguswa wenye nazo eti nchi itayumba,bila kuwasamehe wezi na wahujumu uchumi kwa kuwataka warudishe kile walichokiiba!
Mkuu wa kaya anapofika hatua yakutamani kuwavizia watendaji wake ofisini ujue tumefika pabaya watu kazi wanafanyia mazoea ni business as usual.
Watu kama Magufuli niwakutia moyo waendelee kuchapa kazi maanake wanafanya kazi katika mazingira magumu always stepping on some peoples toes,unaambiwa kila unakogusa kuna mkono wa kigogo.
Lakini kwa nchi kama hii ambako sheria ziliishafungiwa zamani kwenye busati na funguo kutubwa baharini tutaendelea kuchukia sheria tulizozibariki sisi wenyewe,huku kila kitu kikienda kiholela.
 
Mara nyingi sana Magufuli anafanya mambo ya kukurupuka akishabanwa kimya,,

Mimi nadhani arudishwe Shukuru Kawambwa maana alifanya kazi nzuri sana katika Wizara hiyo,Si ndiyo?Hizi siasa za kuridhishanana kutokuhudhiana ndiyo zimemfanya Kikwete aitwe Rais dhaifu,Si tumesahau?A good and strong leader sometimes makes decisions that deemed unpopular to the people but of high benefits to the Nation as a whole.Wengi wetu tulimlaumu Kikwete kwa kutofanya maamuzi magumu sasa Magufuli anafanya maamuzi magumu kwa manufaa ya watu wote mara tunaanza kumlaumu.Inaelekea Watanzania hatuna uhakika na tunachokitaka kwasababu hatuna msimamo.
 
Pamoja na kwamba ana PhD yake nzuri ambayo anaweza kutumia elimu hiyo kuendeleza taifa kwa kufundisha na utafiti, anang'ang'ani mchezo wa akina "mbwa-pusi". Siasa ya Tanzia inachangia kwa kiasi kikubwa kuuua maendeleo ya taifa badala kuwa ndo mhimili wa maendeleo. Hivi kama ni kweli PM anapokea mil.26 kwa mwezi basi ni ngumu sana msomi wa Tanzania kuthamini elimu na heshima yake badala ya fedha.
Akafundishe achekwe? Kule hamna rushwa wa vikao vya mamilioni. Hata akidhalilishwa kiasi gani Magufuli hajihudhuru ng'o
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

mkate wa watoto na system(akitoka watamwanika mbaya) mkuu
 
Kwa elimu na uwezo wa komandi alionao Pombe napendekeza apewe u major-general alafu aende akapambane na Al shabbab pale Mogadishu ...siasa haiwezi yeye anafanya siasa "hasa" wakati siasa si "hasa"
 
weeee thubutu ajiuzulu watoto wasiende chooni,asile kipupwe kwenye v8,asikwambie mtu ata wamtie vidole huyo jamaa ang'oki hapo chezea madaraka wewe.
 
Back
Top Bottom