Pillow talk

Pillow talk

Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaa
1475304004476.jpg

Mmhhhhh utakuwa timu hii
 
Naona kuna umuhimu mkubwa wa kutoa darasa kwa wadogo zetu hapa jamvini wa kike na wa kiume kwa pamoja, kwamba nini dhima ya ndoa! Nini maana ya mapenzi, privacy tuo na mipaka
Nini maana ya kuwa mwili mmoja! Nini maana ya bedroom kuitwa sehemu ya faragha, kwamba kwa jinsi unavyojisitiri na nguo hata bedroom yako iwe na limitations ya watu wanaoingia humo
Kuna mengi Tunahitaji kuyaongea kwa uwazi lakini kwa hekima na busara na heshima
Pillow talk itafanyika saa ngapi,kidume akitoka kazini baada ya chakula cha usiku anakaa sebuleni kuanza kuangalia movies hadi saa saba usiku,mke nae unamkuta bize anachati kwenye magroup ya whatsapp.....
-wakikutana kitandani wanaanza kuchimbana mikwara.....
 
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yameharibu vingi
 
hamna aisee kwangu hata ije sayansi gan haiwez harb moment kama hii na habibty wangu,,kale ka joto cha kifuani kutomaswa tomaswa kiuno na maneno matamu haviwez kuwa replaced aisee
Una baht wewe wengi hivyo vitu wanaviskia kama story za kufikirika
 
hamna aisee kwangu hata ije sayansi gan haiwez harb moment kama hii na habibty wangu,,kale ka joto cha kifuani kutomaswa tomaswa kiuno na maneno matamu haviwez kuwa replaced aisee
Ádimu saana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom