miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 498
nipo mieÁdimu saana.....
nipo mieÁdimu saana.....
Haha tupo pamoja team popoNinafarijika sana coz huyu "malaika alotumwa toka mbinguni" yupo nasi always
Ushindwee na udondoke na usiamke chiniView attachment 410094
Mmhhhhh utakuwa timu hii
Naona leo mmeamua kutufanyia makusudi mweee
Hawa teknolojia/utandawazi umewaharibu.., kila kitu ni fake!!
It's a digital world. You old folks pillow talk, we'll sext and what not. "Hey babe, I miss me some skin. Surprise me."
It's a digital world. You old folks pillow talk, we'll sext and what not. "Hey babe, I miss me some skin. Surprise me."
Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaa
Teh hayo mapenzi ya jitu zima kujitapikia hovyo sijakutana nayo na naomba nisije kukutana nayo katika Jina la Yesu, nayajua mapenzi na wanaume wanaojitambua tu. Kwa kweli na nazidi kumuomba tu Mungu anipe mwanaume anayejitambua.Heaven Sent;
Elewa kitu kimoja, huyajui mapenzi wala hujawahi kutana nayo. Siku ukikutana nayo, hata angekuja kazimia kwa ulevi, hutauona ulevi wala uchafu. Utazidi kumpenda tu.
Nshawahi kumwona mamaa mmoja, mumewe alikuwa kikojozi, lakini kila siku, mama anatoa godoro nje kuanika kwa kelele nyingi tu kwamba mtoto kakojolea. Nadhani ingelikuwa ni weye, kelele ambazo ungelitoa, mzee angekukimbia mwenyewe.
Unachukia mwenzio akiuburudisha moyo?? Tena huenda ni weye unampa frustration mpaka anaona kilauri impooze moyo!! Miye si mlevi lakini nawajua watu waliogeukia ulevi ka njia ya kupoteza mawazo kwa sababu ya maudhi ya wake zao.
Haha Mungu anakuona broo# team popo utawajua tuu inapofika kuanzia mida hii mpaka alfajiri
Teh hayo mapenzi ya jitu zima kujitapikia hovyo sijakutana nayo na naomba nisije kukutana nayo katika Jina la Yesu, nayajua mapenzi na wanaume wanaojitambua tu. Kwa kweli na nazidi kumuomba tu Mungu anipe mwanaume anayejitambua.
Hujanielewa point yangu. Mkeo obviously atakubebea madhaifu yako, but kama ni madhaifu unayoweza kujicontrol, Kwa nini usijicontrol jamani, ukampunguzia mkeo kero??. Kweli baba jitu zima unarudi umelewa hadi unajitapikia mbele ya watoto!!!! God forbid. Kujikojolea kuna watu huo ni udhaifu wao, out of their control. Sio mtu anakunywa hadi kujikojolea, atalala chini tu. Hayo madhaifu ya kujitakia me hapana tu. Yani huwezi amini sasa hivi tu kuna mtu nimembwatukia hadi najicheka sasa hivi. Kanifuata sehemu ananuka mipombe, nimemjibu tu kiustaarabu aniache haelewi, nimemtimua kajifanya kupanic nikamwambia akafie mbele huko. Sasa naimagine kulala na mtu ananuka pombe hivyo, eti ndo anikiss ptuuuuuu
Sinaga kelele, ila si-entertain upuuzi period. Navumilia vitu vya msingi, vya kindezi ntakunyoosha tu ukijifanya huelewi
malaika kafunguka huyo
.... msg sent & delivered