Pillow talk

Pillow talk

Kila likinijia wazo la kuoa moyo wangu unanienda mbio na jasho linanitoka......!!!

Hizi ni dalili mbaya.......

Anyway.....maisha ya ubachela matamu......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Umeona eeeh ukishangaa ya uchawi unakuta nayo ya pillow talk yani nashindwa kumdifine huyu mshana jr
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona umetoa lile guu best? Nikilipandia dau utalirudisha?[emoji85] [emoji85] [emoji39] [emoji39] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
mshana jr;
Ulianza vizuri ukamalizia vibaya. Sasa hawa wenye vinu vya kusaga umeleta hapa wa kazi gani??
Ndio wameharibu dhana nzima ya pillow talk kama walivyochafua hii post mpaka ukakereka
 
Uko wapiiii kaboom wangu mida ya pilow talk hii...im waiting for yaah na..ked[emoji85]
1475259535436.jpg
on behalf inakubaliwa? [emoji85]
1475259535436.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom