Pillow talk

Pillow talk

Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaa
Niliisoma hiyo comment nikasonya kimoyo moyo.
 
Hata weweeee???? ,

mtoa mfano ameeleza vzr ujumbe wake ufike vzr, hata hivyooo atakayebeba mapungufu ya mwenzako ni wewe, maana mazuri yake utayaenjoy pia.........., kulikoni uanze kuchoka tangu kipindi hiki cha kampeni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom