hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Heaven Sent njoo uniokote dota.
aiseee mbavu zanguuu mieee jamniii atoto nilitania jaman usife presha bureeeee ....ila umejua kunichekesha leo

Heaven Sent njoo uniokote dota.
aiseee mbavu zanguuu mieee jamniii

Hebu nieleze vizuri, huyu mdogo wako mbona wanavuana na baba yako!! Jamani dunia nishushe dodoma.Marahaba mdogo angu, umenitisha khaaa. Mich yeew more Lil sis
Mmmmmh!!! Hanaga utani yule mzee, msinifanye mtoto jamani.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
aiseee mbavu zanguuu mieee jamniii
atoto nilitania jaman usife presha bureeeee ....ila umejua kunichekesha leo![]()
![]()
Tujiandae!! Hujaona hilo balaa ulolileta!!View attachment 409933guess who? Mlale salama jiandaeni kwa pillow talk
Utakuwa na pepo la kibachela mkuu.....Kila likinijia wazo la kuoa moyo wangu unanienda mbio na jasho linanitoka......!!!
Hizi ni dalili mbaya.......
Anyway.....maisha ya ubachela matamu......
Tujiandae!! Hujaona hilo balaa ulolileta!!
Nina shida na wewe ex shemeji, hill and portion jiandae.
ukuje kule pembeni sheeHainaga ubaba wa dada tehHebu nieleze vizuri, huyu mdogo wako mbona wanavuana na baba yako!! Jamani dunia nishushe dodoma.
Kwakweli shee inabidi tu nikuje maana hamna namna, hali tete.![]()
![]()
ukuje kule pembeni shee
Naona kuna umuhimu mkubwa wa kutoa darasa kwa wadogo zetu hapa jamvini wa kike na wa kiume kwa pamoja, kwamba nini dhima ya ndoa! Nini maana ya mapenzi, privacy tuo na mipaka
Nini maana ya kuwa mwili mmoja! Nini maana ya bedroom kuitwa sehemu ya faragha, kwamba kwa jinsi unavyojisitiri na nguo hata bedroom yako iwe na limitations ya watu wanaoingia humo
Kuna mengi Tunahitaji kuyaongea kwa uwazi lakini kwa hekima na busara na heshima
Hivi vitu vingine jamani muwe mnawapunguzia kero wake zenu. Badala ya kuwaza mkeo atakufanyia nini, jiulize wewe utamfanyia nini yeye kwanza. Hivi utoke huko kwenye mipombe yako, umkiss mwenzio na liharufu hilo? Kapige mswaki kwanza, tafuna na big g. Afu baba jitu zima kwa nini usinywe responsibly? Unywe hadi ujitapikie afu umshikishe mkeo matapishi yako as if unaumwa bana. Kabla hujawish mkeo akuvumilie, em wish kumpunguzia kero mkeo ili asikuvumilie sana. Mnanichosha mie khaaaaMkuu;
Pillow talk haitakufa ila itapungua na tatizo ni kuwa mapenzi ya kweli ni nadra saana sku hizi. Zama zile, hata ka mume ni mpiga tungi, alikuwa akiingia ndani, mamaa anampokea, anamvutia chumbani, anamvua zote halafu anamlaza kitandani. Saa nyingine zinapanda na anachafua chumba, mamaa anafuta usiku ule ule. Jamaa akiamka asubuhi mamaa kakaa kimya kama vile hakuna baya lilitokea. Jamaa anaona aibuuu na hakika akirudia sio mbaya kama hiyo. Kidogo kdogo anajirudi.
Mama wa leo, utaamka na kupiga deki weye mwenyewe na mitusi mikuubwa juu. Hiyo pillow talk itokee wapi?? Ulio waonesha hapo wamevumiliana. Mapenzi kuvumiliana ndo dawa.
Huhitaji viagra, unahitaji Pillow talk. Kitu inasimama ka mlingoti wa bendera