Mkuu;
Pillow talk haitakufa ila itapungua na tatizo ni kuwa mapenzi ya kweli ni nadra saana sku hizi. Zama zile, hata ka mume ni mpiga tungi, alikuwa akiingia ndani, mamaa anampokea, anamvutia chumbani, anamvua zote halafu anamlaza kitandani. Saa nyingine zinapanda na anachafua chumba, mamaa anafuta usiku ule ule. Jamaa akiamka asubuhi mamaa kakaa kimya kama vile hakuna baya lilitokea. Jamaa anaona aibuuu na hakika akirudia sio mbaya kama hiyo. Kidogo kdogo anajirudi.
Mama wa leo, utaamka na kupiga deki weye mwenyewe na mitusi mikuubwa juu. Hiyo pillow talk itokee wapi?? Ulio waonesha hapo wamevumiliana. Mapenzi kuvumiliana ndo dawa.
Huhitaji viagra, unahitaji Pillow talk. Kitu inasimama ka mlingoti wa bendera