denyol
Member
- Mar 19, 2012
- 51
- 6
Tumeanza kuchezea hata dini sasa.
njaa mbaya sana kwa kweli
Tumeanza kuchezea hata dini sasa.
Mizuka wapi? Hao ni Blue Guard. Nenda mikutano ya CUF utawakuta.
![]()
Mikutano ya kaf mi siwezihudhuria maana mimi sio mpenzi wa taarabu jamaa walipokuwa wanafanya kampeini zao hapa Arusha kwenye kinyanganyiro cha udiwani waliniboa sana magari ya matangazo yanapita barabara badala wanadi sera wawo wanabaki kukikashifu chadema kwani wanalipwa na sisiemu kufanya hivyo? na walikuwa wanaongea mambo yasio na msingi yaani wao baada ya kuona chadema inakubaliaka wameamua kuwa wapinzani wa wapinzani,
sasa kwa hali kama hiyo tutaweza kweli kulingoa joka sisiemu maana cfu ni wapinzani wa chadema nccr ni wapinzani wa chadema yaani kuliko chadema ichukue eneo kwao ni bora ccm indelee kuwa madarakani siasa chafu na uongozi duni.
Ndio maana nilifikiri hao jamaa wamefufuka katika wafu kumbe ni jeshi la chama tendwa anataarifa??
MiCCM inapiga hata walemavu? Hii nchi inataka hasira ya Mungu itushukie kabla ya wakati.
MiCCM inapiga hata walemavu? Hii nchi inataka hasira ya Mungu itushukie kabla ya wakati.
Eeee Mungu! Kwa nini umeamua kuweka mwanga kwenye giza la hiki chama cha kijani angali bado ni mchana huku hata wino wa mate ya msajili wa vyama vya siasa hauja kauka kwenye matamshi yake?! Kwa nini umewaambua mapema sana watu hawa na vyombo vya usalama ambavyo siku zote vimekuwa na kazi ya kuwanyanyasa viongozi na makada wa chadema?!
Mwenyezi Mungu, naamini huu mpango wako wa kuanika madhambi yao angali bado mchana kweupe, naamiini hutaendelea kutuacha wana nchi yako Tanzania tungali tuna taabika kwa mateso na vilio vya kupoteza ndugu zetu kwenye mikono ya watu hawa.
Eee Mungu zidi kuonyesha na kudhihirisha kuwa wewe pekee ndiye tunaye paswa kukuabudu na hofu kubwa inapaswa kuwa juu yako.
Asante kwa kuniongoza kuwa chadema, najivunia kuwa kwenye chama hiki ambacho naami huenda kikawa ni mpango wako kutuonyesha njia ya kheri dhidi ya batili.
Hii dua haiwezi kupita bila mimi kusema AMINAAA!Eeee Mungu! Kwa nini umeamua kuweka mwanga kwenye giza la hiki chama cha kijani angali bado ni mchana huku hata wino wa mate ya msajili wa vyama vya siasa hauja kauka kwenye matamshi yake?! Kwa nini umewaambua mapema sana watu hawa na vyombo vya usalama ambavyo siku zote vimekuwa na kazi ya kuwanyanyasa viongozi na makada wa chadema?!
Mwenyezi Mungu, naamini huu mpango wako wa kuanika madhambi yao angali bado mchana kweupe, naamiini hutaendelea kutuacha wana nchi yako Tanzania tungali tuna taabika kwa mateso na vilio vya kupoteza ndugu zetu kwenye mikono ya watu hawa.
Eee Mungu zidi kuonyesha na kudhihirisha kuwa wewe pekee ndiye tunaye paswa kukuabudu na hofu kubwa inapaswa kuwa juu yako.
Asante kwa kuniongoza kuwa chadema, najivunia kuwa kwenye chama hiki ambacho naami huenda kikawa ni mpango wako kutuonyesha njia ya kheri dhidi ya batili.
Mkuu at least cheti hiki hapa kinachochea mjadala, haswa hicho kipengele viii
Huu utaratibu umekuwa ukitumiwa na CCM kama mtego wa kuzinasa akili za Watanzania tokea wakiwa wadogo waamini CCM ni chama cha Ukombozi wa Mtanzania(Mtanganyika)...
Sasa ukiwa mtoto na "ukanywa maji ya bendera", hakuna lugha utayoelewa ukiletewa "mahubiri" ya vymama vingine na mtizamo tofauti na ule wa "zidumu fikra za Mwenyekiti"...
Brother,kunakofuka moshi......Green Guard na Red Brigade wako kazini huko Kalenga.
Inadaiwa Green Guards "walimteka" kiongozi wa kiroho na kumfungia kwenye ofisi ya mwenyekiti wa kijiji.
Baada ya habari habari kuvuja Red Brigade wakavania ofisi hiyo na kuvunja mlango na hatimaye kufanikiwa kumtoa.