Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard




mkuu hii si tanzania... naona wadau washadakia ni CCM , hebu angalia hizo kofia CCM ilitakiwa kuwe na lable hii



images
attachment.php
 
Tulipigania UHURU toka kwa wakoloni kutuwezesha Kupata chama Kimoja cha SIASA madarakani ...!Sasa vyama vya Kisiasa baada ya UHURU WA MKOLONI vinapigana na WANANCHI wake ili kupata NINI?

Poor US!!!
It is illogic kusema kuwa vyama vya siasa vinapigana na wananchi, but it is logic to say that Polisi wanapigana na wanachama wa vya siasa ambao ndio wananchi! Fumbua macho zaidi!
 
Kila chama!!! That Means kila chama kina GUARD wake!! Kila chama kina M GUARD!! Nani against nani? Inaonekana kama ugonjwa wa kansa umetafuna mwili mzima eh?!!! Dawa yake ... aje mkoloni Achukue nchi nini???!!
Tumejishindwa, Hatujiwezi, tunaji guard wenywe against what?
Sio kila chama tu sasa. Hata kila dini!!!! Mbegu hii inayopandwa na serikali iliyoko madarakani itagharimu sana watoto na wajukuu wetu! Mwisho wa vyama ingekuwa katika ushindani wa sera na sio kujilinda! Mwisho wa itikadi na mikakati ya kidini ingekuwa katika nyumba zao za ibada na sio kujilinda. Vikundi vyote hivi ni lazima vifutwe mara moja bila kujali ni cha CCM ama cha dini yetu. Hili lisiposimamiwa naweza kusema Ole wa vizazi vijavyo!!
 
Nakumbuka nikiwa mtoto mdogo, nilishawahi kuwa mfuasi wa CCM chini ya Jeshi la watoto wadogo enzi hizo tukiitwa CHIPUKIZI...na aina ya mavazi tuliyokuwa tukivaa ni sawa kabisa na hayo ya Green Guards.

Sina uhakika kama hao watoto ninaowaona katika taswira hizo ni wale CHIPUKIZI kama tulivyokuwa au ndio hawa Green Guards!!

Hata Mimi nishawahi kuwa Chipukizi enzi zile na Marehemu RSA Gupta alikuwa kamanda wangu, leo hii naona aibu kwa Chipukizi kugeuzwa Green Guard! Kuna haja ya kuikomboa nchi hii toka mikononi mwa mafisadi wasiozidi 4 na kibaraka wao Mwigulu!
 
Kila chama!!! That Means kila chama kina GUARD wake!! Kila chama kina M GUARD!! Nani against nani? Inaonekana kama ugonjwa wa kansa umetafuna mwili mzima eh?!!! Dawa yake ... aje mkoloni Achukue nchi nini???!!
Tumejishindwa, Hatujiwezi, tunaji guard wenywe against what?

Achana na kila chama, toka zamani serikali iliposhindwa kuwalinda raia, tulianzisha vikosi vyetu vilivyoitwa "Sungusungu", baadaye "Ulinzi Shilikishi", sasa hivi makanisani kuna walinzi wakati wa ibada! Nchi imeshindwa kuwahakikishia raia wake ulinzi. Jeshi la Polisi linajihusisha na ujambazi, ujangili na ulaji rushwa! Linatumiwa na watawala "kupiga tu" watu wote wanaotoka usingizini! Jeshi limebadili matendo yake kimya kimya! LAZIMA RAIA WAJILINDE SASA!
 
Hakuna dola yoyote iliyowahi kushindana na nguvu ya umma na dola ikashinda
Pipoz pawaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu EMT, kwa picha hizi japo zipo kwa uchache...nina kila sababu ya kuamini Rais wetu na Mamlaka zake wamekurupuka kutoa hizo "Marufuku" walizozitoa.

Hivyo hilo linanifanya nitilie mashaka uwezo wa utendaji wa Rais wetu...

Mimi naona tatizo kubwa sana liko kwa washauri wake ambao hawataki kumwambia ukweli na msiho wa siku wanamfanya rais adhalilike kwa wanachi wake hata na watu wengine. This is not fair. Nashauri awabadilishe.
 
Unamaanisha chipukizi kama hawa?

attachment.php

Salaaaaaaleeeeeeee, hivi magamba wanatofauti gani na Laurent Nkunda, Ernest Koroma, Child Soldiers? ama kweli nyani haoni............
 
Hii watakanusha na kusema ni waasi wa Congo

Wanachelewa bac, washasema ni Adobe Shop, magamba utawaweza, yaani hamna raha kwa m2 kuongea na facts, pliz magamba pliz najua rais anatoka chama chenu, bt ni rais wa watanzania wote, so pliz msipende kumdhalilisha ili aongee mambo asiyoyaamini, ushahidi ni kuwa vyama vyote vina makundi ya ulinzi wao binafsi, kwa kumalizia nasema res ipso loquitor (things speak for themselves)

  • :embarrassed1:
 
How come then kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ya chama anavaa logo ambayo siyo ya chama?


mkuu mbona kawaida mfano zile kofia za NY hata JK akiamua kuvaa atavaa tu
 
Chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikivunja haki za watoto nchini humo kwa kuwapa mafunzo ya kijeshi na kivita ili kushiriki kuwatesa wapinzani wa serikali hiyo na makada wa vyama vingine vya siasa vinavyoonekana kuwa Tishio. Chama hicho kimekuwa kikichukua silaha za serikali katika maghala na baadhi ya vituo vya polisi na kuzitumia katika mafunzo hayo na saa nyingine hata kuzitumia kudhuru waandishi wa Habari na wananchi wengine wanaoonekana kuwa tishio kwa mustakabali wa Chama hicho.

attachment.php

Lengo la kuwa na jeshi la chama ni kujihakikishia kubaki madarakani kwa gharama yoyote ile. Hali hii imechagizwa na kukithiri kwa rushwa na ufisadi kwa serikali hiyo na hivyo kuhofu hatima yake. Mwanachama mmoja ambaye hakupenda jina lake litajwe na hapendi namna chama kinavyoendeshwa alisema mkakati ni kwamba hata kama wakipinduliwa watakuwa na jeshi ambalo litaweza kutetea nafasi yao.
 
CCM aka magamba wana milki ya chi hii ya watanzania na wao ndiyo wenye akili ya kuamua na kufikiria kila kitu kwa watanzania. Watanzania wengine wote ambao hawako ndani ya magamba hawana busara, hekima, elimu na maono; wao ni mbumbumbu na hawaeli chochote na hata hawaoni na ni vipofu. Magamba wamejifanya wao ndiyo mungu na wanaweza kuumba na kufisha bila kuulizwa na mtu yeyote. Magamba hawa wamekuwa na green guard kwa muda mrefu sasa na kazi ya jeshi hili la malaika la magamba ni kuwadhuru kwa kuua, kupiga na kufanya hila katika uchaguzi kwa kuiba kura,kufanya fujo kwenye vituo vya kura na kutumbukiza kura ambazo tayari wamezipiga wenyewe ndani ya vituo vyao vya uchaguzi (Ofisi za Magamba), kununua kadi za kupigia kura na kuteka wagombea wa vyama vingine.

Jeshi hili la malaika wa magamba (Green guard) hufanya kazi tu wakati wa uchaguzi lakini leo tunaambiwa ni jeshi linalojifunza ujasiriamali na maendeleo; ujasiriamali wa jeshi hili la malaika hufanywa kipindi cha uchaguzi tu? Ama kweli nisibishe inawezekana ujasiriamali unaofanywa ni kuwacharaza bakora watanzania wenzao na kuwatesa na kuwalipua mabomu na kuwaua.

CCM aka MAGAMBA hamjatushikia akili zetu kwa kutufanya kuwa ninyi ndo mnawaza kwa ajili yetu; hilo tu ndo linalowapumbaza na kuwafanya mjione kama nchi hii ni yenu na jamaa zenu. Mnaposkia kuwa na wengine wakiamua wanaweza roho zinawauma tulieni mdungwe sindano za moto.
 
mkuu mbona kawaida mfano zile kofia za NY hata JK akiamua kuvaa atavaa tu

Kwa CCM ni kawaida. Mbona Jina la Red Brigade ccm haohao tena kiongozi wa ngazi ya juu anahusisha na brigate rosse cha Italy?
 
mkuu mbona kawaida mfano zile kofia za NY hata JK akiamua kuvaa atavaa tu

Vipi Green Guard, Blue Guard na Red Brigade wako leo wako kazini A town?

Natafuta picha zao wakiwa kazini A town leo niongezee hapa.
 
Vipi Green Guard, Blue Guard na Red Brigade wako leo wako kazini A town?

Natafuta picha zao wakiwa kazini A town leo niongezee hapa.

sawa bana twazisubiri, wacha nikapige uradi msikitini... mwezi wa toba huu
 
Salaaaaaaleeeeeeee, hivi magamba wanatofauti gani na Laurent Nkunda, Ernest Koroma, Child Soldiers? ama kweli nyani haoni............

hii picha nimeiona kwenye gazet la mwananchi la jana (nadhan)
 
Back
Top Bottom