Si ndo nashangaa pamoja na kuwepo kwa muda wote huo serikali haijawahi kuchukua hatua.
![]()
NI vema kulinda haki za watoto. Endapo kuna ushahidi wa kutosha kuhusu watoto hawa, kwa nini wahusika wasifikishwe mbele ya vyombo vya sheria,,,,,hata kama haviaminiki. Hii si kuweka historia tu, bali kuhakikisha haki za mtoto zinalindwa, Ningeelewa kama hawa watoto badala ya kushika bunduki halisi wangeshika mfano wa bunduki magome ya kuchonga. Labda inawezekana ni mfano wa bunduki wala si SMG..DUh Hii inavuka mipaka....more than we can swallowNembo za UVCCM.
![]()
![]()
![]()
Hivi na hii ni mojawapo ya mafunzo ya ujasiriamali !?
alafu hii ni child soldier ambayo ni kinyume na azimio la umoja wa mataifa la haki za binadamHii watakanusha na kusema ni waasi wa Congo
NI vema kulinda haki za watoto. Endapo kuna ushahidi wa kutosha kuhusu watoto hawa, kwa nini wahusika wasifikishwe mbele ya vyombo vya sheria,,,,,hata kama haviaminiki. Hii si kuweka historia tu, bali kuhakikisha haki za mtoto zinalindwa, Ningeelewa kama hawa watoto badala ya kushika bunduki halisi wangeshika mfano wa bunduki magome ya kuchonga. Labda inawezekana ni mfano wa bunduki wala si SMG..DUh Hii inavuka mipaka....more than we can swallow
Hivi si katazo siasa mashuleni au ni vyuo vikuu tu?Hapo kwenye red hata mtoto akienda shule wanasiasa wanawafuata huko huko shuleni.
Kama kwenye hiyo picha hapo chini watoto wa shule ya msingi wakiwa kwenye gwaride la kumpokea Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana, wilayani Gairo, tarehe 18 April 2013.
Hii picha ni kwa hisani ya CCM na wala hawaoni ajabu kuwaibukia watoto muda wa shule na kufanyiwa graride badala ya kusoma.
Pia piga mahesabu hawa watoto wamepoteza muda gani kupiga mazoezi ya hilo gwaride kabla ya kuja kuwapigia hao wanasiasa.
Kuna uwezekano hii siku hawakusoma kabisa wakiwasubiri hawa wanasiasa ili kuwapigia gwaride. Hapo mtoto aliaga nyumbani anaenda shule.
![]()