PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

mashtaka my foot

yaani mapaka leo na akili zako unawaza issues za chama na mashtaka??

hivi ben saa 8 ukifa leo unajulikana na nani??

wewe una mwonea wivu zitto na unatumwa na slaa na mbowe.period

unatumika
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia

Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Duu!. Kweli?!.
 
Kufukia mashimo mwandiga? hivi TZ unaifahamu kweli? wewe mbulumundu kweli! mwacheni mamluki atapetape na endeleeni kumfariji!

We mbwa wa kafara huwa sina biashara na nyie ukome kunitusi mie sio size yako. Huwa ninajadili issues
 
Nimependa ile idea kwamba watu waskvae nguo za chama chochote, ni idea makini kwa sababu,
Ni aibu hao wanaCCM walioenda kumpokea kuvaa sare zao.
Kuvaa sare za chadema itakuwa ni kupromote chama ambacho yeye lengo lake ni kukiua.
Imemlazimu kujificha kwenye utaifa kana kwamba yeye ni kiongozi wa kitaifa.
 
Picha zimetoa mafunzo mengi kwamba hata KIgoma wanachadema wamemsusa zitto hata wana CCM wanaoandamana na waliokwenda uwanjani hawafiki mia tano sio Zitto wa zamani ambaye watu KIgoma walikuwa wanafunga kula wakimsubiri kwishney zitto analazimisha sana pole zake safari ya kisiasa anaimaliza vibaya he has to go hana faida tena baada yakutumika kama tambara la deki na CCM

kifaranga kazini.
 
sasa unachokisema hapa wala sikielewi......kigoma ni sehemu ndogo sana......tanzania yote hii haiwezi kuzizima eti kisa zitto kapokelewa na wapiga kura wake...

huelewi....sishangai akili yako ni ndogo sana...umezaliwa juzi utajua nini???

isitoshe..nani kasema nchi imezizima???

wewe ni kichekesho.....sina muda na vifaranga!
 
Mh.Zitto Kabwe leo ameandika historia kwenye aridhi ya Kigoma baada ya kupata Mapokezi ambayo wenyeji/wazawa wanadai labda Nyerere ndio aliyapata mapokezi haya.

Mh.Zitto amerejea leo Kigoma kuzungumza na wananchi wake,wananchi wote wa Kigoma namna mwenendo wa siasa ndani ya CHADEMA unavyorudisha utafutaji wa Demokrasia makini ndani ya Nchi hii,Pia namna wanachadema wenzake wanavyopigilia misumali kwenye mwili wake ilikukwamisha jitihada zake za kupambana na mafisadi,Kupambana na ujenzi wa Taifa letu.
"KABLA YA MH ZITTO KABWE KUTUA TANGAZO LILIPITA KWA WANANCHI WOTE KUONDOA BENDERA YA CHAMA CHOCHOTE KILE,AU VAZI LENYE ALAMA YA CHAMA CHOCHOTE KILE,WANANCHI WALIRUHUSIWA MWENYE BENDERA YA TAIFA NDIYO IBEBWE.
MAPOKEZI HAYA NIYAKITAIFA,CHADEMA TUMESHAVURUGWA"Alisikika Kiongozi wa CHADEMA kwenye viwanja vya eneo la uwanja wa ndege,NDio maana kwenye Picha hakuna bendera ya chama chochote kile.

Mh.Zitto Kabwe ametua Kigoma mnamo saa 3 na Nusu Asubuhi ambapo alikutana na Maelfu ya wananchi wakiwa Nje ya uwanja wa Ndege tayari kwa kumpokea.

Maandamano ya Amani yaliyojumuisha maelfu ya Wanakigoma,kukiwa na pikipiki zaidi ya 240 na magari ya Watu Binafsi wenye mapenzi ya dhati kwa zitto zaidi ya 80 yalianza safari ya kutoa Airport kupitia Ofisi za Mkoa za CHADEMA na hatimaye safari ya kuelekea Kigoma Kaskazini kijiji cha Mwandinga alipozaliwa Zitto Kabwe kwaajili ya Mkutano wa Hadhara kuzungumza na wananchi wake.

Maandamano hayo ya Amani/msafara uliochukua zaidi ya masaa 3 kwa kutembea zaidi ya Kilomita 15 kwa mwendo wa polepole hatimaye ukafika Mwandinga.

Kwwenye Mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya Wananchi wakitokea pande zote za Kigoma,Zitto alijikita kwenye mambo Makuu Matatu,Kwanza kueleza kwanini ameamua kurejea Nyumbani (Kuzungumza na waliompatia Ubunge),Pili kuzungumzia hali ya Kisasa anayopitia kwa sasa ambapo amekili yeye bado ni mwanachadema Mtiifu sana,Na anaamini Rufaa yake kwa Kamati kuu chombo cha juu kabisa cha maamuzi ndani ya chama kitamtendea haki,kwa sababu tuhuma zote dhidi yake sizakweli,Pia zimelenga kummaliza kisiasa yeye na wale wanaounga Demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.

Zitto anasema atapambana kuhakikisha anapata haki yake,na atakuwa wa Mwisho kuondoka CHADEMA tena kwa hiali yake.

Mwisho kabisa Mh.Zitto amewaahidi wanakigoma kuwa hatafanya maamuzi yoyote kabla hajarudi tena Nyumbani na kushauriana na wananchi wake.

Amesisitiza kuwa Kigoma ya Leo hii ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anajisifia kuitwa mzawa wa kigoma ni moja ya jitihada zake,Pia yeye hayupo kwa Msalahi ya CHADEMA tu,Hoja ya Buzwagi ilikuwa ya Kitaifa,Hoja ya kumuwajibisha waziri Mkuu ilikuwa ya Kitaifa,Lakini hata hii hoja ya PAC ya kukagua mahesabu ya Vyama vya siasa ni ya Kitaifa,Hivyo hayupo tayari kuwamnafiki kwa kuitetea CHADEMA kukaguliwa eti kwa sababu yeye ni Kiongozi ndani ya CHAMA.

Mkutano Umemalizika Salama kabisa,Wananchi wameridhika zaidi na kwa shangwe kwa pamoja wanasema"ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"
Picha zaidi hizi hapa chini
1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg
1476179_635319953196746_1447517419_n.jpg
1526514_635327643195977_652225731_n.jpg
1517630_635320039863404_1867375003_n.jpg

1483436_635320136530061_1249857972_n.jpg
1521714_635388783189863_644153184_n.jpg

Hakuna kurudi nyuma hadi kieleweke
1511126_635388819856526_145462687_n.jpg

Vijanaaaaaaaaaaa"nguvu ya Mabadiriko"
945796_635388846523190_1343126095_n.jpg

Msafara unaendelea ukitokea Ofisi za CHADEMA MKOA hapa Kigoma kuelekea Mwandinga kijijini alikzaliwa Zitto kabwe
1517421_635388893189852_301977757_n.jpg

Siasa ni Vijana na hii ndio Nguvu ya Umma ilivyojitokeza kumpokea ZItto kabwe hii leo hapa Kigoma
936628_635388936523181_334474977_n.jpg

Vijana wakiwa wamehamasika vya kutosha sana,hapa wanaimba "Kitimtimu utakiona leo,Kwenye nyumba ya Zitto..Slaa umeingiaje"?
1497665_635388539856554_675661455_n.jpg

Kwa namna msafara ulivyokuwa mkubwa ilimlazimu kila aliyenyumbani kwake kukikimbilia barabarani angalau kupungia mkono kwa Mh.Zitto Kabwe

1486823_635388606523214_107225393_n.jpg

Ulinzi wa wananchi wenyewe umeimarishwa sana,Vijana wamamrinda Mbunge wao.Kubwa zaidi hakuna askari kwenye msafara huu ni wananchi wanajiongoza na wapo salama
1530488_635388679856540_836236334_n.jpg

Zitto Kabwe"Nimerudi nyumbani,Nawasshukuru kwa mapokezi mazuri haya ya Kihistoria hapa Kigoma,Nimerudi Shujaa wenu
1499429_635388713189870_247175874_n.jpg

Zitto"Asanteni sana,nawapenda sanaa"
1476013_635388189856589_659085228_n.jpg

Alipokuwa anakaribia kuingia Mwandinga Mh.Zitto kabwe alilazimika kuteremka na kuanza kutembea kuelekea kwenye Mkutano
1477394_635388266523248_1637787479_n.jpg

Msafara bado unaendelea,Wananchi wanasema hakuna kurudi Nyuma mpaka kieleweke
1521288_635388313189910_544345359_n.jpg

Ni maelfu ya WANANCHI ambao wanatembea kuelekea Mwandinga umbali wa zaidi ya kilomita 15 kwa miguu huku wakiwa na furaha sana ya kukutana na Mbunge wao
1464599_635388359856572_1211223414_n.jpg

Msafara wa magari zaidi ya 100 ukitokea Airpot kumpokea Mh.Zitto kabwe kuelekea Mwandinga,Hapa Shughuli za maendeleo zimesismama kwa muda wananchi wamejumuika kumsindikiza Zitto Mwandinga kuzumngumza na wanakigoma

1533941_635387929856615_2000244501_n.jpg

Ni nyomi ambayo haijawahi kutokea hapa Kigoma
1508041_635388069856601_1839075101_n.jpg

Zitto Kabwe anasema"Nimerudi Nyumbani kuzungumza na nyini kaka,dada,baba na Mama zangu kuhusu maisha yangu ya Kisiasa,Nimerudi Nyumbani kwasababu ndipo nilipokulia na kuanza maisha,Pia nyie ndio mlionifikisha hapa".
1493280_635387573189984_1501343345_n.jpg

Picha inajieleza namna wananchi walivyomiminika Mwandinga kumsikiliza Mtoto wao Zitto Kabwe
1511124_635387633189978_1373755951_n.jpg

Huu ni Upande mmoja wa Sehemu ya Mkutano wananchi wakiwa makini kusikiliza kile Mh.Zitto anaongea kuhusu mwenendo wa Siasa za CHADEMA na namna atakavyokuwa wamwisho kuondoka CHADEMA kwa hiari yake.
1528633_635387669856641_1821197888_n.jpg

Msafara ukiendelea zaidi ya Kilomita 15 kutoa Airport Kuelekea Mwandinga Nyumbani alikozaliwa Zitto Kabwe,Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana haijawahi kutokea.
\
1528654_635387156523359_1283011894_n.jpg

Mh.Zitto Kabwe akaihutubia Maelfu ya Wananchi katika viwanja vya Mandinga,Kubwa amesisitiza ataendelea kudai Demokrasia ya Kweli ndani ya CHADEMA na inamuuma sana kuona wanaompiga Mishale ni Wanachadema wenzake.
644314_635387223190019_787687789_n.jpg

Maelfu ya Wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa Mh.Zitto kabwe hapa Mwandinga Kijijini kwake alikozaliwa Mkoani Kigoma,Bango linasomeka "ZITTO KAMA MANDELA KASORO JELA"
CC: mkuu Mungi.... yegella... choba huko mliko oneni mtoto wa watu anavyowatoa jasho
 
Last edited by a moderator:
Haha CHADEMA wanapiga DOMO humu ..lakini imewauma kweli...
Mnaye Zitto...
Mfukuzeni bwana au mnamuogopa ?
 
Mimi naamini chanzo cha vurugu katika siasa za Tanzania na Afrika ni walioko madarakani kung'ang'ania madaraka na ndio hicho hicho kitakacholeta vurugu kwenye Chama chetu sio Zitto. Jadili misingi sio watu
Huwezi kujadili misingi bila kujadili nidhamu ktk chama , ZZK ni mtovu wa nidhama,anatakiwa ashughulikiwe accordingly ili iwe fundisho kwa kila mwanachama.
 
nimequote ili picture msibadili.

Hapo zitto anamsetow ajabu sana: Wanaoandama ni watoto ambao mara zote kukimbilia watu au matukio vijijini ,na akina mama km kawaida amba hawana hata ufuasi ndio maana ktk mkutano hawakupewepo.Hawa ni watu walitoka nje ya nyumba zao na kwenda ona kumbe ni fulani na kurudi ktk bishara zao,au kumalizia ugali wao jikoni basi.Yaani walikwenda ona nini watu wanakimbilia.Hii ni kawaid aya watanzania.

halafu kuna wale wa kununua, naona watu wanajitahidi kusema ni mkutano wa kihistoria,wakaamua kabisa kutumia lugha ya JK km role model wao..eti km Mandela, hawajwahi ona mikutano ya wana CDM wengine Arusha,Mbeya, Iringa,Mwanza etc.....Historia gani wale waliokuwa wakienda shangaa msafara hawakufika ktk mkutano?Au Zitto alipita vijiji vingi sana akitangaza hadi watu wakashindwa fika mahali mkutano ulifanyika mbali?

HApa ktk picture kunasema shida iliyopo..ni wazi watu waliwezeshwa kufika ,ndio maana walifika wenye nguvu tuu,wanwake na watoto walisogea njiani kushangaa na kurudi nyumbani.AMA HAWAKUPENDA AMA MKUTANO ULIKWENDA MBALI SANA ILI KUKUSANYA WATU na hivyo wengine hawakuweza fika au hawakutaka kabisa.
 
Hao walinzi wamevaa vinguo vichafu! Dah...

inawezekana hawakupewa pesa za posho ya kujikimu kama yule aliyelamba mzigo, safari hakwenda, alipohojiwa anadai eti anasubiri aambiwe na wakuu wa mjengoni ndiyo arudishe.
 
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.

Siasa ni with na huyu anawatu
 
Leo mnataka "MSALITI" avae bendera ya CHADEMA? kweli nyie ni misukule!

haha....ni vizuri kwani hakna tena haja ya kumfukuza mtu anayekiri kuwa yupo nje ya CDM...ni wazi sasa hana tena Vita na akina Mbowe na Dr.Slaa..sasa hivi ni mpinzani wa CDM.Na watanzania wanamhesabu hivyo.Hata bendera ni za chama chake kipya.Km ana hela ageuke mrema au Cheyo awe na jimbo lake na dhamani ndogo sana kwa CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom