Naona kamanda umeamua kujifari na kujiliwaza.Kutokana na mambo kumwendea ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.
My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.
![]()
Si shangai kuona watu humu ndani roho zikiwauma kwa tukio hili,sio watu wa democrasia kabisa wao wanataka jinsi wanavyofikiria ndo iwe hivyo.Niliunga mkono CDM kwa sabab ya democrasia lakini upepo unavyokwenda hakuna ile democrasia tena ndan ya chama.tatizo ni kwamba,watu wakihudhuria mikutano ya msiowapenda mnasema wamelipwa,ila wakihudhuria mikutano yenu mnasema hawajalipwa,yaani mazuri yote yanatoka kwenu tu.
Nyie kila jambo jema ni lenu,ila baya la wenzenu,haijawahi tokea ktk hii dunia.
Naona kamanda umeamua kujifari na kujiliwaza.
Teh teh teh
Sasa hapo ilikuwa kbla ya CUF na CCM kuingia katika msafara. Unachekacheka nini?Naona kamanda umeamua kujifari na kujiliwaza.
Teh teh teh
Kutokana na mambo kumwendea ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.
My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.
![]()
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?
Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia
Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
hata mi nawashangaaLeo mtamaliza mifano yote sasa Yesu kaingiaje?
chuki binafsiSi shangai kuona watu humu ndani roho zikiwauma kwa tukio hili,sio watu wa democrasia kabisa wao wanataka jinsi wanavyofikiria ndo iwe hivyo.Niliunga mkono CDM kwa sabab ya democrasia lakini upepo unavyokwenda hakuna ile democrasia tena ndan ya chama.
Ni visas,uonevu,udini,ukabila na undumilakuwili.Leo hii watu flanflan ndo wanaonekana kuaminika. Zitto tu kupokelewa vizuri watu povu linawatoka je kweli hii sahihi???
Fanyieni siasa jf wakati dogo anawakamua kamasi huko field,wazembe nyie