PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Mapokezi hayo yasikushangaze, yametokana na matendo ya uongozi wa CHADEMA dhidi ya Zitto. Demokrasia inahitajika sio Ufalme ulio ndani ya CHADEMA. ZITTO NI MZITO, mapokezi yake yamethibitisha, KIGOMA HOYEE!

Naona umeamua kujitoa ufahamu kwa muda lakin naamin baada ya kujitambua tena utaacha kushabika pumba na kukurupuka kama hivi.
 
tazama hizo picha utajua nani ana habari na Zitto....isitoshe yeye ni mbunge wa kigoma siyo moshi wala arusha, ni wazi waliomchagua wana habari na Zitto.

Kwahiyo ww ndio msemaji wa wanakigoma? Acha kujitoa ufahamu w dogo.
 
Mbowe na Slaa pia wanawapenda wanaCCM ndio maana kwenye mikutano wanatambua uwepo wao na hata Sabodo anawaunga mkono. Wanademokrasia hawabaguani kwa vyama wanapima hoja na kutetea hoja bila kujali itikadi zao na ndio wito kwa Watanzania wote kuelekea uchaguzi Mkuu. Mkutano wenye wanaChadema peke yao unafanyikiaga ndani ya Ukumbi sio nje.

Just admit Zitto is a looner Mkutano anahutubia mwenyewe bila hata kiongozi mmoja wa chadema wamezika akitembea wananwake wa CCM wamejificha kwa post usoni, Manilla za mabago rangi ya CCM kesha batizwa huyo mwana CCM kitendo cha kutopokelewa na waachadema manake wamesha mbland msaliti na surpent wanachadema wa kigoma ndio kiboko wa zitto wamemuachia safari yake ya usaliti na MACCM wake ambao nao wengi wamekula hera zake tupu
 
Mkuu Zitto katumia fedha za ujerumani kununua vijana wanywa viroba na wamama wanya gongo wasiojitambua ili kufunika aibu.
Kuwa na heshima kwa hao wazazi mkuu au wewe unamuheshimu mama yako tu.
 
Zito waachie wenyewe chama chao,chama cha wagoni na wazinifu,M/kiti kamsaliti ndoa yake(mkewe) na katibu kapora mke wa mtu ww unaweza hayo?
teh teh, unauliza makofi polis? Ukitaka kujua ukweli muulize catherine magige na Eliza luhanjo watakusimulia kuhusu zitto!
 
Ukabila na ukanda tu huu halafu wahudhuriaji nawaona ni walewale wa buku tano tano kwa mpesa
 
Acha unafiki wako iyo dhambi yakuwagawa watz kwa ukanda itakumaliza!!!!!!!!!!!! Basi poa nyie waKIGOMA mmetuletea wa akili wote from Dr Kabouru Tambwe Hiza Kafulila nk Woote wasaliti watupu!
 
Kutokana na mambo kumwendea ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.

996985_635303939865014_623020908_n.jpg
attachment.php

Mbona hamna bendera za CDM?
Kajipange upya JF siyo sehemu ya porojo.
 
Chadema njia nimoja tu kumfukuza, na ikibidi akaanzishe chama chake cha mlengo wa wanaomsapoti.
 
Bendera sawa, lakini vidole viwili ni ishara ya Chadema. Mbona wameitumia sasa?!
 
Mapokezi hayo yasikushangaze, yametokana na matendo ya uongozi wa CHADEMA dhidi ya Zitto. Demokrasia inahitajika sio Ufalme ulio ndani ya CHADEMA. ZITTO NI MZITO, mapokezi yake yamethibitisha, KIGOMA HOYEE!
mkuu naomba nitajie chama chenye demokrasia hapa tanzania!
 
Ukwel mtupu waungwana ata jana apa Mwanza watu walifurika kwenye msiba wa yule mdhulumaji Mabina!
 
Aya sasa shangaa!!!!! Huyu c hayuko CDM? Ngoja awachezee akil, mana wajinga ndo waliwao:israel:...
 
tazama hizo picha utajua nani ana habari na Zitto....isitoshe yeye ni mbunge wa kigoma siyo moshi wala arusha, ni wazi waliomchagua wana habari na Zitto.
Picha zimetoa mafunzo mengi kwamba hata KIgoma wanachadema wamemsusa zitto hata wana CCM wanaoandamana na waliokwenda uwanjani hawafiki mia tano sio Zitto wa zamani ambaye watu KIgoma walikuwa wanafunga kula wakimsubiri kwishney zitto analazimisha sana pole zake safari ya kisiasa anaimaliza vibaya he has to go hana faida tena baada yakutumika kama tambara la deki na CCM
 
Mkutano Umemalizika Salama kabisa,Wananchi wameridhika zaidi na kwa shangwe kwa pamoja wanasema"ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"
kwa sababu hakukuwa na wanachadema pale wanachadema sera za mapokezi ni sare,ni bendera ni mabango ya kuhamasisha na kuongelea taifa ,mabango ya leo ni kumsifu Zitto kwa maana hiyo wataalamu wa saikolojia watakwambia ni arranged event kwa maana ya kuwa Zitto anajidanganya mwenyewe anajitekenya na kucheka mwenyewe lazima awe ameharibikiwa kiakili mtu wa kawaida huwezi kujichezea akili mwenyewe kila kitu kiko undersurvailance namuonea huruma wana CCM kuharibu political career yake maskini muone alivyosinyaa ana kila tatu nadhani
 
Huyu ni wa kufukuza tu ...muda unakaribia...ahamie ccm au aanzishe chama chake
 
Zitto Kabwe anasema "Nimerudi Nyumbani kuzungumza na nyini kaka,dada,baba na Mama zangu kuhusu maisha yangu ya Kisiasa,Nimerudi Nyumbani kwasababu ndipo nilipokulia na kuanza maisha,Pia nyie ndio mlionifikisha hapa".
Kaanza kutabua kinachofuata....
 
Eti zitto kama mandela? Yaani mijitu ya kigoma inawaza kama migebuka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom