CHADEMA Mpya
Member
- Jun 5, 2012
- 84
- 22
Nimeziangalia picha zote hapo juu kwa uangalifu.....Cha ajabu sijaona Bendera ya Chadema kabisa ! Sign pekee ya CDM ambayo nimeiona ni jamaa mmoja (narudia tena MMOJA) aliyevaa Tshirt ya M4C......Kama kuna aliyeona tofauti anaweza kunisaidia lakini nadhani hii ni strange !
Kama wanaCDM wa kigoma wangekuwa wameshiriki kwenye hili, nadhani at least tungeweza kuona signs hizo at least kidogo.....Just think about it....hata bendera moja hakuna !......Nadhani CDM kigoma hawajashiriki kwenye hili !
Naanza kukubali kwamba haya mapokezi na mkutano huu umeandaliwa na CCM.
Bendera moja ndogo inauzwa Tsh 3500/= kubwa 15,000/=. Kazi ya Bendera ni kutangaza Chama hasa mahali ambapo hakipo. So it was unnecessary budget.