Mmmh hii sasa kali.......ZZK ni mtoto wa watu? sisi watu wa pwani tumekusoma...Lakini mpeni sifa, mwisho wa siku atafukuzwa chadema, na atabaki peke yake
Mmmh hii sasa kali.......ZZK ni mtoto wa watu? sisi watu wa pwani tumekusoma...Lakini mpeni sifa, mwisho wa siku atafukuzwa chadema, na atabaki peke yake
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.
Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.
Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?
Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia
Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Kibabu kazi kinayo! Kimelikoroga lazima kilinywe!Ndio imezizima kwa watu hao? Umelipwa sh ngapi?
Kwa hiyo,hata hayo mapicha ya kibabu mliokuwa mnatuwekea haiwi chochote!Ben umenikumbusha kipindi kile cha mapokez ya mzee monduli "Lowassa" gari mia mbil za kumpokea aliyejiuzuru kwa tuhuma za ufisadi." Watanzania ni zaid ya uwajuavyo..!?
Ha ha ha! kweli chama kina wenyewe!Siyo kufukuzwa tu.
Apigwe kwanza kisha afukuzwe halafu ua kabisa.
Hana faida yeyote.
Na wale wanaomshabikia nao piga ua.
Na yeyote anayejifanya kujuaju au kuutaka uenyekiti wa CHADEMA piga, piga piga galagaza kisha ua.Pia wapambe wake piga kabisa halafu nyongelea mbali.
Chama kinawenyewe na wenyewe ndo wenyewe chama.
Chama chenu kimbe kinapatikana sana sana Arusha ee!mamba ana nguvu kwenye maji, MWAMBIE AENDE ARUSHA, DR.SLAA AMEENDA KIGOMA NA KAFANYA MIKUTANO KAJAZA WATU NA YUPO UGENINI WAKATI ISSUE YA KUTIMULIWA ZITO IPO NA TENSION KUBWA,
WW BORA UENDELEE KUUZA NGADA TU!!!!
Hivi kumbe kuwania uenyekiti ndio kuisaliti Chadema! Nimejua sasa.Ninampenda Zitto na namheshimu Zitto. Ni mwanasiasa kijana,shupavu na mwenye akili nyingi. Ni kiungo muhimu sana katika kuiwezesha Chadema kuchukua dola 2015. Zitto anapokaa chumbani peke yake huku mlango ukiwa umefungwa vizuri naamini huwa anawaza mengi kuhusu yeye binafsi, familia yake, jimbo na taifa lake kwa ujumla.
Kwa kuwa ninaamini kuwa kuna mchango mkubwa wa Zitto katika CHADEMA ya leo yenye mafanikio,ninamwomba akae peke yake siku moja kwenye chumba na azungumze na moyo wake kuhusu tuhuma za usaliti anazotuhumiwa na nia yake ya demokrasia ya kweli anayoipigania. Kama atapata jibu kutoka moyoni mwake kuwa hajawahi kuisaliti Chadema basi ASIMAMIE KILE ANACHOKIMINI KUHUSU DEMOKRASIA MPAKA MAUTI YAKE HUKU AKIZINGATIA MASLAHI YA TAIFA NA CHADEMA. Na kama atapata jibu kuwa amewahi kuisaliti Chadema basi na ATUBU KWA MUNGU WAKE, na AITISHE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA POPOTE PALE NA AWAAMBIE WANANCHI WAENDELEE KUIUNGA MKONO CHADEMA NA AWE MSTARI WA MBELE KATIKA SHUGHULI ZOTE NDANI YA CHADEMA NA AENDELEE KUTUMIA UWEZO WAKE WOTE WA KIUSHAWISHI KUIJENGA CHADEMA.
Siyo kufukuzwa tu.
Apigwe kwanza kisha afukuzwe halafu ua kabisa.
Hana faida yeyote.
Na wale wanaomshabikia nao piga ua.
Na yeyote anayejifanya kujuaju au kuutaka uenyekiti wa CHADEMA piga, piga piga galagaza kisha ua.Pia wapambe wake piga kabisa halafu nyongelea mbali.
Chama kinawenyewe na wenyewe ndo wenyewe chama.
Ben Saanane unadhani atakuja na lipi jukwaa limwelewe?Ivi wale wachumia tumbo leo wapo wapi nikianzia na ben?