PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Mtorela!

Kwanza pole maana najua ulikuwa huamini kuwa swahiba wako angeweza kuchukuliwa hatua hasa kupitia maandiko yako kule mtaa wa pili.

Pili, acha kufanya propaganda za kijinga kupitia maandiko yako! Swahiba wako hajazuiwa kukutana na wapiga kura wake na wala hakuna siku baada ya yeye kuvuliwa nyadhifa zake chadema waliyotamka kuwa haruhusiwi kwenda jimboni kuongea na wapiga kura wake. kama una ushahidi wa yeye kuzuia kwenda kigoma uweke hapa. Acha kupotosha!

Yeye akiamua anaweza kufanya mikutano mpaka Lumumba akisubiria stahili yake inayomfaa kwa namna kamati kuu itakavyo amua.

Usema kuwa tuhuma 11 zilisemwa kwenye jimbo lake?! zilisemwa na nani na lini?! tumia usomi wako na exposure uliyoipata kwa kuongea kwa facts usiwe unazomoka tu kama mtu ambaye hajui mlango wa darasa. Hayo mashtaka unayosema yasemwa jimboni kwake niyapi?!

Pole sana, ungekuwa unampenda sana rafiki unge mshauri asi betray coarse. Sikio likesha kufa halisikii tena dawa.

Nakushangaa sana unapojisahau na kufikiri kuwa majungu huwa yanashinda sehemu moja tu. Hao hao unaowaona wewe kuwa leo wema kwako, kesho na kesho kutwa watakugeuka vibaya sana.

Kijana chunga sana kauli zako. Hii dunia hujaijuwa bado.

Usifikiri kuwa siasa ni kazi ya muhimu sana kwako, naona bado hujajuwa kuwa siasa ni ufataani mtupu. Leo Mawaziri wanabwagwa na wanageukwa na watu wao wa karibu, itakuwa wewe?

Usimuone Zitto kuwa ni mjinga na ukadhani wewe na hao unaowatetea ni wajanja sana, mambo huwageukia hata Wafalme kwenye siasa. Shah wa Iran yuko wapi? Marcos wa Ufilipino yuko wapi? Fikiri kabla hujaandika utumbo.
 
Kwani CHadema wanawatafuta watu gani katika harakati zao? Nadhani ni WanaCCM. Kama ameweza kuwakusanya wanaCCM wengi namna hii kumsikiliza basi anafaa kuongoza Chama maana ana mvuto. Misahafu inasema wenye afya hawahitaji daktari bali walio wagonjwa.

Kama kweli wewe mpinzani na hujui kwa nini CCM wana msapoti Zitto kwa nguvu zote ..I feel very sorry for you!
Long story short,he used to be one of us..but now they got him.
 
Nakushangaa saa unapojisahau na kufikiri kuwa majungu huwa yanashinda sehemu moja tu. Hao hao unaowaona wewe kuwa leo wema kwako, kesho na kesho kutwa watakugeuka vibaya sana.

Kijana chunga sana kauli zako. Hii dunia hujaijuwa bado.

Usifikiri kuwa siasa ni kazi ya muhimu sana kwako, naona bado hujajuwa kuwa siasa ni ufataani mtupu. Leo Mawaziri wanabwagwa na wanageukwa na watu wao wa karibu, itakuwa wewe?

Usimune Zitto kuwa ni mjinga na ukadhani wewe na hao unaowatetea ni wajanja sana, mabo huwageukia hata Wafalme kwenye siasa. Shah wa Iran yuko wapi? Marcos wa Ufilipino yuko wapi? Fikiri kabla hujaandika utumbo.
hao unaobishana nao wengi wanakiwango kidogo sana cha uelewa hata kama wamepita shule lakini thinking capacity yao ni very poor ndio maana wanashindwa kupembua zuri na baya juu ya viongozi wao wa CHADEMA
 
Nakushangaa saa unapojisahau na kufikiri kuwa majungu huwa yanashinda sehemu moja tu. Hao hao unaowaona wewe kuwa leo wema kwako, kesho na kesho kutwa watakugeuka vibaya sana.

Kijana chunga sana kauli zako. Hii dunia hujaijuwa bado.

Usifikiri kuwa siasa ni kazi ya muhimu sana kwako, naona bado hujajuwa kuwa siasa ni ufataani mtupu. Leo Mawaziri wanabwagwa na wanageukwa na watu wao wa karibu, itakuwa wewe?

Usimune Zitto kuwa ni mjinga na ukadhani wewe na hao unaowatetea ni wajanja sana, mabo huwageukia hata Wafalme kwenye siasa. Shah wa Iran yuko wapi? Marcos wa Ufilipino yuko wapi? Fikiri kabla hujaandika utumbo.

So same to you......
 
kuna mpuuzi mmoja hapo kwenye picha
kaniharibia siku yangu kabisa!

anamfananisha Zitto na Mandela..

Punguani kabisa, tena tahira...
shyenzi sana
 
So same to you......

I am not a politician< I am simply a semi retired potato coach, enjoying my days in front of digital my toys. It makes no difference to me who at chadema is other than simply criticizing and advising those who go astray, like Mohamedi Mtoi and that's beside me being a big fan of President Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.
 
Nakushangaa sana unapojisahau na kufikiri kuwa majungu huwa yanashinda sehemu moja tu. Hao hao unaowaona wewe kuwa leo wema kwako, kesho na kesho kutwa watakugeuka vibaya sana.

Kijana chunga sana kauli zako. Hii dunia hujaijuwa bado.

Usifikiri kuwa siasa ni kazi ya muhimu sana kwako, naona bado hujajuwa kuwa siasa ni ufataani mtupu. Leo Mawaziri wanabwagwa na wanageukwa na watu wao wa karibu, itakuwa wewe?

Usimuone Zitto kuwa ni mjinga na ukadhani wewe na hao unaowatetea ni wajanja sana, mambo huwageukia hata Wafalme kwenye siasa. Shah wa Iran yuko wapi? Marcos wa Ufilipino yuko wapi? Fikiri kabla hujaandika utumbo.

Exactly mwambie ito maneno hayo siasa siyo mwisho wa maisha aache ufanya maigizo leo hii waampkea wana CCM na CUF halafu anajiona badoyuko kwenye siasa hajui stress ni mauti
 
kutokana na yanayoendelea ktk chama pamoja na nje ya chama kukuhusu wewe zzk,naomba nikupe ushauri tu kwamba jitafakari kwanza na kauli zako uone kama zinaendana na unachokisema kila siku kuhusu kuheshimiana, kuvumiliana na kukubali mawazo mbadala,kwa kujitafakar naomba unijibu haya maswali.1.kuita viongozi wenzako wahafidhina ndo kuvumiliana huko?,2.unadhani mawazo yako na njia unazotumia kuyafikisha ni watu wote wanakukubali?,3.je mbona wewe haukubali mawazo mbadala ya watu wengine ambao hawakubali ya kwako yaani wanaopinga mawazo yako?,4.ktk kauli yako mkutano wako wa mwisho kufanya nzega mjini(parking) uliahidi wananchi kwamba serikali isiposhughulikia na kutolea taarifa swala la fedha za Uswiswi,utalitolea majibu wewe kwa kuanika watu wenye fedha nje,nje kwa maelezo ya hotuba yako leo ina maana uliwadanganya wananchi wa nzega na tz kwa ujumla? na je,unatofauti gani na hao unaosema wanageuza uongo kuwa ukweli??? naomba kuwasilisha.mods naomba taarifa yangu iwekwe ili wana jf wanachangie na zzk ajibu.
 
Je CHADEMA inaweza kumruhusu Mh. Zitto Kabwe kufanya Mikutano ya hadhara katika mikoa mingine akiwa kama Mwanachama wa kawaida? kwa mfano akiamua kuja kuzungumza na wanachama wa CHADEMA pamoja na Wananchi juu ya 1. Mabilioni ya USWISS 2. Posho za Vikao 3. Utendaji goi goi wa serikali na umuhimu wa kumuondoa waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika nafasi yake.

Na Kama atawathibitishia uongozi wa Juu kuwa hatazugumzia mashitaka 11 yanayomkabili na rufaa yake, hatazungumzia maamuzi ya Kamati kuu, na atagawa kadi kwa watu watakao taka kujiunga na CHADEMA.

Je CHADEMA makao Makuu wanaweza kukubali afanye Mikutano Hiyo?
 
I am not a politician< I am simply a semi retired potato coach, enjoying my days in front of digital my toys. It makes no difference to me who at chadema is other than simply criticizing and advising those who go astray, like Mohamedi Mtoi and that's beside me being a big fan of President Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.
Do you really advice or abuse people who have different opinions from you please don't swear to people who have their separate way of thinking you are not a choosen one ha ha funny lady your love to Zitto has drained you
 
Je CHADEMA inaweza kumruhusu Mh. Zitto Kabwe kufanya Mikutano ya hadhara katika mikoa mingine akiwa kama Mwanachama wa kawaida? kwa mfano akiamua kuja kuzungumza na wanachama wa CHADEMA pamoja na Wananchi juu ya 1. Mabilioni ya USWISS 2. Posho za Vikao 3. Utendaji goi goi wa serikali na umuhimu wa kumuondoa waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika nafasi yake.

Na Kama atawathibitishia uongozi wa Juu kuwa hatazugumzia mashitaka 11 yanayomkabili na rufaa yake, hatazungumzia maamuzi ya Kamati kuu, na atagawa kadi kwa watu watakao taka kujiunga na CHADEMA.

Je CHADEMA makao Makuu wanaweza kukubali afanye Mikutano Hiyo?

Ratiba yake ya mikoa kumi kwa hiyo tunamsubili aendelee na ziara yenye agenda yake binafsi ,ambayo hajaagizwa na CC anazo nyingi toka CCM, manake hata leo hii hakuna mahala kasema salamu ya chama peoples ha ha halafu anasema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema hakuna mahala kapiga alama ya Vi sinema inaendelea
 
hata azunguke nchi nzima cdm ndo mwisho na mda wa kumnyoa nywele ukfka atanyolewa tu hata kama alipokelewa na mabilion ya watu..HUWEZ KUWA MAARUFU KULIKO CHAMA.
 
kuna mpuuzi mmoja hapo kwenye picha
kaniharibia siku yangu kabisa!

anamfananisha Zitto na Mandela..

Punguani kabisa, tena tahira...
shyenzi sana

Lazima waambiwe Mandela alikataa vipande thelathini ili awaasi wananchi wake na kuwasaliti ,makaburu walimbembeleza mara chungu nzima wakimuahidi kumnunulia nyumba za mabilioni uingereza marekani lakini aondoke nchini na asiende kufanya siasa alisema atafia jela, sasa huyu ndumila kuwili msaliti kuonyeshwa tuu briefcase lekundu lenye milioni 250 akalegea akapoteza nguvu zake na kipaji chake cha ushawishi akaisha akawa mlenda, Lema wa Arusha anasema KIkwete alimwita akamwambia agombee Arusha kuptia CCM ,ubunge atapata na kila kitu atapewa alikataa na kiboko cha kumkatalia mkuu wa nchi alikipata.Zitto kaingizwa kingi ni mtumishi mtukuka wa CCM na TISS leo awe Mandela duh kweli misukule ya CCM kigoma wameishiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom