Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
haya maandamano ndio hayatakiwi,,,,sasa mandamano yashakuwa haramu????
Mkuu chama
Makamanda wamebakisha silaha yao kubwa ni matusi.
We ni mpuuzi... unakurupuka... Wananchi wanataka zitto apiganie Kigoma yao kwanza maswala ya chama baadae....