Daudimtwale
Member
- Sep 9, 2013
- 19
- 10
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.
Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.
Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
Sio kweli CHADEMA hawezi Mzuia kiongozi wake asitembelee mkoa wake