Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
acha ubaguz mkuuNadhani hakuna tatizo na nyie kakaeni na wana kaskazini wenu.
acha ubaguz mkuuNadhani hakuna tatizo na nyie kakaeni na wana kaskazini wenu.
usiongee ovyo,wakati wa uchaguz ndio bendera za chama zinafichwa?makene yeye alikuwa anapost picha za kipindi cha uchaguzi
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
MpevuBen Saanane unadhani atakuja na lipi jukwaa limwelewe?
Hata aje darasa la saba failure hatoshindwa kung'amua UONGO na UKWELI uliodhihirishwa, ila ben anaroho mbaya sana iliyojaa chuki. Hata kwenye ukweli yeye ni chuki tupu.
Wewe Ben Saanane Love for all, hatred for none. Jielewe kijana.
Sasa ww mbulula mbona hueleweki, chupi ya Chadema waivaa ya nini lazima itakuingia kwenye mfereji wa matakoni?
Ngoja nitazame, mbivu na mbichi kwa Chadema.
Ila Zitto kaishika pabaya sana Chadema.
Kamanda vipi tena kulikoni unaporomosha matusi wewe tukana mpaka uchoke wala mimi sina tatizo, lete matusi mapya kamanda haya mbona ya zamani sana.Sasa ww mbulula mbona hueleweki, chupi ya Chadema waivaa ya nini lazima itakuingia kwenye mfereji wa matakoni?
Mbona walikataa bendera zote isipokuwa ua taifa, imekuaje tena apitie ofisi za mkoa na picha zingine anapunga mkono hewan kwa kuonyesha nembo ya chadema, ama nimekubali Zitto ni baba lao kwa UNAFIKI
hawa wananchi hamnazo kweli,yani wamesahau kuwa adui ni ccm?Halafu umasikini ulivyobobea!
Leadership is accountable,usiwaangushie lawama zote wananchi.Ndo maana kuna kitu inaitwa kubadili uongozi,hayo ni matokeo ya kazi zao.Kuelezea hisia zao kwa vitendo si uhamnazo,
Umasikini siyo mwonekano wa nje bali ni hali ya kushindwa kutumia resources in full capacity.
Kuna watu ambao ni matajiri kwa sababu utajiri wao unatokana na mwendelezo wa walio wengi kuto tumia resources zao kikamilifu. Aidha umasikini ni matokeo ya juu kabisa ya mlundikano wa mambo mengi yaliyohasi kwa jamii nzima ya binadamu.
Mambo ya kiimani.
mambo ya kijamii
Mambo ya kisayansi na kiteknolojia
mambo ya kisiasa na kiuchumi
na zaidi mambo ya mtu binafsi.
Adui wa waTanzania siyo CCM wala wana CCM bali ni personal ignorance zetu na inability to control SELF
No one, apart from us, needs to change in order for everything to take the right course. We the Down Trodden individuals in our individuality need to change and mostly change our views and our perceptions in order to lift ourselves to the higher vibrations and well-being.
CCM elites are just taking advantages of our IGNORANCE to pin us down, if possible forever. The time we will wake up from our long time slumber and regain our awareness we will clearly know our potentials and powers. Technically,the one you call enemy(CCM) will melt in the heat of his own BLUNDERS and TERROR.
cdm kuna msaliti zaidi ya slaa?kamsaliti hadi muumba wake afu ndo atuongoze?
Leadership is accountable,usiwaangushie lawama zote wananchi.Ndo maana kuna kitu inaitwa kubadili uongozi,hayo ni matokeo ya kazi zao.
Ndio imezizima kwa watu hao? Umelipwa sh ngapi?
usiongee vitu vya kusadikika,ongea vinavyoonekana,,,,Zitto ni msaliti platform ya chadema kaisaliti hana shukrani kasahau hata alivyonunuliwa hata nguo za ndani
usiongee vitu vya kusadikika,ongea vinavyoonekana,,,,
usidhani kila aongealo slaa,mbowe,tundu lisu ni sahihi!!!!
afu usiwe mshabiki wa kubomoa,Tazama Tanzania Kwanza