FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Ndio imezizima kwa watu hao? Umelipwa sh ngapi?
Kama ingekuwa hivyo basi asingeng'ania kubaki Chadema.Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha.Zitto ni zaidi ya Chadema
Kitoabu imenitukana mbona unanitafutia ban kilazima nikijibu mapigo??Comment zingine zinaonyesha jinsi gani alie Comment alivyo mpuuzi. Ivi kuna mwenye hela anaeweza kuukodi umati woté huu? CDM wenzangu Pamoja na chuki zetu kwa kijana huyu lakini kiualisia hatumuwezi. Zitto nizadi ya Chama.
I am not a politician< I am simply a semi retired potato coach, enjoying my days in front of digital my toys. It makes no difference to me who at chadema is other than simply criticizing and advising those who go astray, like Mohamedi Mtoi and that's beside me being a big fan of President Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete.
Hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?
Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo Zitto.Mashindano tu yasiyo na tija! Kwani Zitto huwa haendi Kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?
Yaani nini tija ya ziara ya Zitto huko Kigoma kwa Chadema maana hata Slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.
Potato Couch,No wonder you do what you do!!
With my age? I am so proud to be one. Pity to those young people like you who are potato sofas.
hawana kazi ya kufanya mwambieni aache usaliti na aombe msamaha watanzania wote.
cdm kuna msaliti zaidi ya slaa?kamsaliti hadi muumba wake afu ndo atuongoze?Zitto n zaidi ya chadema lakini ukweli unabaki palepale kua ni msaliti...