PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Very simple,ajiondoe CHADEMA ili ateuliwe na jeykey kuwa mbunge kisha apewe uwaziri na asahaulike baada ya 2015! Option hii CCM hawataifurahia sana kwani watafurahi kwa option hii;

Option nzuri na wanayoitaka CCM kama kashindwa kubaki CHADEMA na hawampeleki NCCR-MAGEUZI basi atajiunga na CCM lakini hatopewa uwaziri bali atapewa ubunge wa kuteuliwa na atachukua nafasi ya Mwigulu Nchemba ya unaibu wa CCM ili atumike kuzunguka mikoani kufanya propaganda dhidi ya CDM mpaka 2015!!

Naushangaa usomi wa huyu mtu anaesifiwa kuwa ana akili_!!!

Kutokana na mambo kumwendea ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.

Dahh ninacho kiona hapa ni Wingi wa Vijana (wapiga kura) Tegemeo LA Kesho.
 
Mkuu,
ZZK hayupo kwa mashindano, bali wananchi ndio wameamua kuuthibitishia umma na Chadema jinsi wanavyomuhusudu na kuacha shughuli za maendeleo. Huo ni ujumbe wa jinsi ZZK anavyokubalika huku magharibi.

Kwahiyo tunakubaliana kwamba anatafuta umaarufu wake binafsi sio? akiwa anatambua wazi kabisa kuna watu tunaipenda chadema kwa sababu ya misingi na ideology na sio Mbowe wala Slaa wala ZZK
mkuu Mpevu sikio halizidi kichwa....!
 
Naamini utakuwa Uamuzi wa Busara na hakika, Kila laheri huko aendako, Hope ataleta siasa mpya za Kidemokrasia na Kisayansi na zitakazo ongozwa na mwenyekiti mwenye akili kubwa na aliye kimataifa.
 
watu wa kaskaz walitaka alipoenda Silaha sorry Slaa Mashariki apokelewe na mabango ya kumlaani mtoto wao huku kaonewa na wa kaskaz kwa kumona si mwenzao. Ref: Warid Kabourou
 
Kutokana na mambo kumwendea ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.

Zitto hang'oki wala hong'olewi cdm. Acha kutapatapa na hangover ya mbege.
 
walikuwapo akina chenge, karamagi na rostam azizi lakini wote wamepotea! so ni upepo tu, utapita!
 
Zitto n zaidi ya chadema lakini ukweli unabaki palepale kua ni msaliti...
acha ugamba wako Zitto hawezi kuwa zaidi ya chadema hata wakimtandikia mikeka nchi nzima, kama ana nguvu si aanzishe chama chake
 
..kinachonishangaza ni jinsi watu wanvyoweza kutumiwa bila kuwa na akili timamu na piia watu kujenga mazingira yakujitahidi kuwa waongo ila wanashindwaa kukidhi hilo...ukiangalia hizo picha utaona kabidha kuna vikundi vya watu vimetoka sehemu moja...angalia hao kina mama halafu ngalia na wale vijana pale na pembeni kuna pikipiki nyingi sana na kuna hiace hawa wamebebwa mahali wamepelekwa pale na pia inaonekana kabisa hao kina mama wamebebeshwa hayo mabango.....

Mjinga ndo utamwambia hivyo,ila mwenye akili lazima atakuaona unatumia kitu kingne kwa kufki badala ya kichwa
 
Zitto tatizo amezoea ubwete tu akishirikiana na jamaa zake sisiem. ajiangalie asijilipue....
 
Last edited by a moderator:
Kwa sababu ya fitna alizozipeleka huko Slaa, ndio majibu yake hayo.

Vipi kwani mkuu, imekuuma?

Hoja hapa.
ni kwanini wakati huu wakati kipindi cha nyuma hakuna sehemu yoyote ambayo alikua akifanya hivo! ? Hii sio nidham kati ya Chama. Chama kupitia kurugenzi ya mawasiliano ina taarifa hii?
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.

Nakubali Zitto ni zaidi ya CHADEMA kwa haya ebu yasome kwa makini

« on: December 19, 2013, 09:38:07 AM »


[/FONT][/COLOR]
Zitto Kabwe,
Nataka ujue kwamba kati ya watu 10 wajinga au wapumbavu, utakuwa mmoja wao. Nakushangaa kila siku unajigamba una akili. Akili gani uliyonayo wakati unanunuliwa na watu wapumbavu kama Mwigulu Nchemba. Unashirikiana na TISS pamoja na makada wakubwa wa CCM, utajuaje kama mimi siyo moja ya hao watu? Au kwa sababu unajuana na Jack Nzoka? Jack ndio nani? Mwigulu pamoja na ushamba wake, amekutega vibaya na ukanasa kama swala. Ona jinsi anavyokutumia na kundi lako la Masalia kwenye mitandao ya kijamii

Zitto umekuja hadharani na propaganda za kijinga na kudai kwamba nimekutishia maisha, nilikutishia wapi wakati nilikuonya tu kwamba uwe mwangalifu na CCM pamoja na TISS unaoshikiana nao? Wakishakuua, watakuja kudai kwamba CHADEMA ndio waliokuua? Hivi wewe ni mzima kweli kijana? Mwisho ukaja kudai mimi mmoja wa vifaranga? Kijana kuwa mwanagalifu umefika pabaya kisiasa. Afadhali utafute njia mbadala. Muulize Mwigulu alifuata nini Uchini na Yule balozi anawasaidia CCM kwenye kazi gani?

Mimi kama mmoja wa watu wanaokujua vizuri na usaliti wako, zaidi yako unavyojijua, nakwambia wazi kabisa kwamba vijana wenye uwezo wa kuliongoza hii nchi tulishawaona. Haumo kabisa kwenye kundi hilo. Hiyo tuliliona siku ulipopokea magari ya Rostam Aziz. Mwenye uwezo mkubwa zaidi kuliongoza Tanzania anaishi nje ya nchi, haeleweki ataingia siasa au hataingia, na wala haeleweki kwamba yumo kwenye chama gani. Mwingine ambaye yuko karibu na anaomeonyesha uwezo, yuko CHADEMA. Wengine wote ni kelele tu kama wewe, Kilaza Nchimbi na Mlevi na Fisadi January Makamba

Bwana Zito, ukitaka kujua ujinga wako, ni pale ulipomparamia mke wa Kagasheki ambaye ameshindana na Nape Nauye. Umeingia kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba pamoja na ushamba wake. Unajua kwamba Catherine Magige ni mke wa Kagasheki. Baada ya Conference yako kuhusu kutimuliwa Chadema, uliondoka na Catherine Magige na Binti yake mdogo mkaenda Dubai siku kadhaa kabla hajaenda uingereza ambako ametoka siku tatu nne zilizopita. Dubai ulifuatwa hadi kwenye hoteli mlikofikia.

Camera zilisetiwa na kurekodiwa mkifanya ngono na sehemu nyingine nyingi. Siyo wewe tu, Nape Nauye pia amerokodiwa akifanya Ngono na Catherine. Ngeleja amerekodiwa akifanya Ngono na Anna Kilango Malechela. Zitto nilishiriki binafsi kukurekodi ukifanya ngono na Eliza Luhanjo Marekani, sasa kazi kwako kijana…Muendelezo wa mitego dhidi ya kuwanasa na kuwazima wapumbavu kama wewe…..Tuone. Umerekodiwa na mara nyingi sana na watu tofauti pale Sinza unakolala na kila rangi ya mwanamke ……Hivi zile plani zako za kijinga Kigoma sasa hivi, unajua kweli baadhi ya wale vijana wanaoratibu ni wana TISS? Simu zote za kijinga unazompigia kakako na misukule mingine yote inarekodiwa, kwa jinsi ulivyompumbavu

Ili kukukomesha baada ya kunitaja hadharani, ninakuhakikishia kwamba ninayo video mkononi. Sasa tuone nani mjanja. Hii kitu ni muda tu tutampa Kagasheki ajionee na baadae viongozi wote wa CCM.hatutakurupuka. tutachukua muda wetu, hasa kabla ya uchaguzi wa 2015, Kwa sababu maneno tu utasema sisi waongo . Ulidhani kwamba wewe mjanja, lakini kumbe ni mtu mwepesi sana. Usichezee watu usiowaona. Mtandao huu ni mkubwa, tuko kila sehemu unakokwenda.Hakuna anayekuopenda TISS wala CCM. --------- tu. Stakabadhi ya fedha ulizotumiwa ujerumani tunazo…………..Umechokoza watu wenye uwezo zaidi ya TISS. Baada ya malalamiko kupelekwa Ujerumani, sasa hivi EU nzima inaku monitor na huyo ghaidi mshamba Mwigulu ambaye umeshirikiana naye kwembe mambo mengi ya hujuma na ughaidi

Ili CHADEMA ibaki kuwa chama, lazima wakufukuze. Yaani ni lazima wakuvue uanachama kwa maana hata wewe pia hilo unalijua, wamegundua baadhi ya mambo yako lakini siyo yote. Mpango wa TISS kukutumia kuwaua viongozi wake unalijua? CHADEMA watakuwa wajinga sana kama hawata kufukuza na wana mabadiliko hawatawaelewa. Hujuma unazowafanyia zimetosha. Ulishiriki kutaka kumuua Mbowe Arusha, CHADEMA Hawalijui hilo. Zitto wakina Kileo, ni wewe ndiye uliyesuka mpango mzima wa kuwasweka Lwakatare na Kileo. Tunasubiri wakufukuze, alafu na sisi pia tuingilie kati ka kuwaambia wana CCM kwamba hauwafai, mtafuta sifa za kijinga. Na kwa taarifa yako maongezi yako ya hivi karibuni na Andrea tangu sakata la CHADEMA lianze tunayo !

Hii email itapokewa na zaidi ya watu 50.nimefanya makusudi, na kama utabisha haukwenda Dubai na Catherine Magige, niko tayari kuweka scanned copies za ticket zenu na hoteli mliyofikia
 
He will soon be freelancing hence they will have ample time to cheer him up!!!
 
Mtoi
nisome vizuri utanielewa tu,sijasema kuwa mashitaka 11 yamesemwa ktk jimbo lake,nilichokisema ni kwamba kama ilisemwa moja ya sababu ya kumvua uongozi wake ktk jimbo lake na ndio hivyo hivyo zitto atakapokwenda kuweka sawa hilo lililosemwa,ama hukusikia hotuba wakati moja wa kiongozi akiwa kigoma? ama hata kama uliskia hutaki kusema kwakuwa upo ndani na unaogopa kuchukuliwa hatua? kabla ya hii post umeyasema mengi kuhusu uvccm kuandaa mkutano ule na ukasahau kuwa hata wewe posho unayoipata toka ktk chama chako inatoka ktk serikali inayoongozwa na ccm,sasa iweje mkutano kuandaliwa na uvccm ni haramu,ila wewe kupokea pesa zinazotoka ktk serikali inayoongozwa na ccm si haramu?

Mzima kweli wewe? Maana maelezo yote ya Mtoi hukuelewa na bado unasisitiza mkutano wa mbunge anaetokana na chama cha chadema kuandaliwa na kuratibiwa na UVCCM unaona ni halali? Kwa taarifa yako haramu haiwezi kuhalalishwa na haramu.
 
Acha pumba. Toa hoja japokuwa una hangover ya mbege na viroba kichwani!

Kwamba akijitoa Zito itaigharimu nini CDM, walishajiondoa wengi kwenye vyama vyao bado viko imara...... apeleke mba mbele
 
Mama yangu, duuh Zitto kamfunika Slaa, naamini hakuna wa kumtingisha Zitto chadema, dkt slaa hakufikia hata nusu ya hao watu.
hilo ni kweli kabisa.., zito kamfunika slaa kigoma.. lakin hii haimanishi zito anakubalika zaidi ya slaa.. waende pamoja katika neutral ground. tuseme mwanza alaf tuone nani atafunika. ndo utasema zito anakubalika zaidi ya slaa.
 
Tunasubiria

Hah hah hah haaa! Unasubiria? Utasubiri sana! Zitto hawezi kujitoa cdm! Akijitoa hata CCM hawatakuwa na kazi nae! Na yeye anajua hivyo! Ndio maana anasubiri afukuzwe ili apate huruma ya wananchi na angalau ccm waweze kumtumia tumia kwenye mikutano yao!
 
Kwahiyo tunakubaliana kwamba anatafuta umaarufu wake binafsi sio? akiwa anatambua wazi kabisa kuna watu tunaipenda chadema kwa sababu ya misingi na ideology na sio Mbowe wala Slaa wala ZZK
mkuu Mpevu sikio halizidi kichwa....!

Kama unapenda misingi na dhana ya chama na sio watu..mbona unakosa uhuru wa kukosoa viongozi wa juu pale wanapothibitika kujikopesha pesa za chama? Mbona unakosa ujasiri wa kukemea viongozi wa juu kwa kukosa maadili?Mbona unakosa ujasiri wa kuwauliza kwa nini chama hakianzishi vyanzo vya mapato na kuacha kuwa tegemezi kwa watu wenye nazo? Ifike mahali tuweke fikra zetu huru ili tuweze kuchambua lipi chanya lipi hasi...mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....mwache kijana aongee na wapiga kura wake...pia ajifariji kwa matatizo aliyonayo....home sweet home.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom