PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Unatumia anal sphincter kufikiri nini? Unamaaninisha mtu ni zaidi ya taasisi? You should go and hang yourself if that is the way you can analytical analyze things.
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
 
Kila mtu lazima atakuwa accountable kwa action anazozichukua, sijui prezidaa amebakisha nafasi ngapi za kuteu wabunge, kama bado anazo nafasi, namshauri aachie ngazi CDM kasha atangaze kujiunga na CCM then JK amteue katka nafasi za mawaziri zilizowazi kwa sasa ... CCM ingekuwa imemtendea haki Mhe Zitto kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani na nje ya CDM...so far ni option pekee aliyobakiwa nayo...
 
Ulidhani mods walevi wa gongo kama viongozi wenu pale ufipa?

Tena mods mpeni na ban mlevi huyu hatutaki habari zakupikwa pale ufipa kutuletea hapa,
Mimi na ufipa wapi na wapi? Wakifanya hivi hii forum itakuwa kijiwe na sio sehemu nyeti kama ilivyokuwa , kuna presha nyingi habari ya kweli ikiwa kwa hapa, moods do justice to this forum....
 
Hili zito hawezi kulifanya, bado anategemewa na CCM kwenye bunge la katiba na ndo maana wanamfadhiri.
 
ZITTO ASIKATE TAMAA KABISA SIMSHAURI AJITOE AVUMILIE HIKI Ni KIPINDI CHA MPITO TU KITAPITA NA MAADUI ZAKE WATAUMBUKA NO LONGER "AKOMAE"
 
Kutokana na mambo kumwendia ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake.

Utakuwa unaumwa mdondo wewe, wa kujitoa CHADEMA ni Mbowe
 
Fanyieni siasa jf wakati dogo anawakamua kamasi huko field,wazembe nyie
 
Very simple,ajiondoe CHADEMA ili ateuliwe na jeykey kuwa mbunge kisha apewe uwaziri na asahaulike baada ya 2015! Option hii CCM hawataifurahia sana kwani watafurahi kwa option hii;

Option nzuri na wanayoitaka CCM kama kashindwa kubaki CHADEMA na hawampeleki NCCR-MAGEUZI basi atajiunga na CCM lakini hatopewa uwaziri bali atapewa ubunge wa kuteuliwa na atachukua nafasi ya Mwigulu Nchemba ya unaibu wa CCM ili atumike kuzunguka mikoani kufanya propaganda dhidi ya CDM mpaka 2015!!

Naushangaa usomi wa huyu mtu anaesifiwa kuwa ana akili_!!!
 
Kutokana na mambo kumwendia ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake.
Bado kidogo mtajinyonga mmoja baada ya mwingine. Zitto anazidi kuwapiga fimbo za mgongo mpaka mpate adabu
 
Propaganda nyingine bwana!, hata Abuu Sahaf yule Waziri wa ulinzi wa Irak cha mtoto, Propaganda Hizi zinazidi hata kitengo cha Propaganda cha NAZI.
Picha ziko wazi za Upokezi wa Zitto halafu unadiriki kuita Kiwango duni cha Mapokezi!
 
Kijana hujitambui na laiti ungelikuwa unajitambua usingefika huko uliko huu upuuzi ulioandika hapo juu kawaeleze pale ufipa sio kutuletea utumbo wako hapa sijui wewe ni msambaa gani usiyejitambua.
Toka lini msambaa akawa na akili???!

Wanachojua ni kucheza ngoma tu.
 
hayo mapokezi makubwa ni kwasababu gani? Hiyo ziara ipo kwenye ratiba za chama? Anapokelewa kama nani?

Ndio haya wengine tunapata shida kweli na huyo zitto.mashindano tu yasiyo na tija! Kwani zitto huwa haendi kigoma hadi leo apate mapokezi tofauti?

Yaani nini tija ya ziara ya zitto huko kigoma kwa chadema maana hata slaa hajipangii tu ziara za chama na zinatangazwa rasmi kwa taarifa kutoka kurugenzi ya habari.
Haya maana najua wengine mna mapenzi tuuuuu na huyu kijana.

mbuge yeyote yuko huru kuongea na wananchi wake wakati wowote ule. Si lazima kusubiri chama ndio uongee na wananchi wako.

Tupe kipengele kwenye katiba ya nchi au ya chama chochote kinacho mkataza mbunge kuongea na wananchi wake.

Chadema mna inferiority complex ndio maana mna weweseka muda huu.

Kwanini ni haki Dr.W.Slaa kufanya mikutano lakini si hali kwa Zitto kufanya?

Hivi mtajenga nchi gani hiyo kwa kukandamiza wengine?

Uoga wenu bavicha ndio unawafanya mfikiri zitto anataka kushindana nanyi.
 
Last edited by a moderator:
Leo naona umejaribu kufiiri mwenyewe badala ya kila siku kutuletea quotations za watu- Hongera!

Mkuu wangu Gamba la Nyoka naona safari hii umeamua kunikali kooni, kila post yangu lazima unikosoe au kinafikia.

BTW: Masalia na lumumba wote ndio maisha yao so sishangai.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom