Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Zitto hang'oki wala hong'olewi cdm. Acha kutapatapa na hangover ya mbege.
Haya majibu yako yanaonesha kwamba si hangover tu unayo, ni ulevi wa chang'aa iliyotiwa kinyesi!
Zitto hang'oki wala hong'olewi cdm. Acha kutapatapa na hangover ya mbege.
Mjinga ndo utamwambia hivyo,ila mwenye akili lazima atakuaona unatumia kitu kingne kwa kufki badala ya kichwa
umejaa udini sana kaka, kwa hiyo kazi ya wafuasi wa vyama mbalimbali ni kutetea dini zao kwenye vyama? Kweli mimi kama muslim sitaunga mkono huu upuuzi wako hata kidogo. Mtoi is right than you!
Zitto ana akili kuliko wanachadema wote
Tena yeye Mwenyewe, halafu tutaona matokeo.Naamini utakuwa Uamuzi wa Busara na hakika, Kila laheri huko aendako, Hope ataleta siasa mpya za Kidemokrasia na Kisayansi na zitakazo ongozwa na mwenyekiti mwenye akili kubwa na aliye kimataifa.
Mimi na ufipa wapi na wapi? Wakifanya hivi hii forum itakuwa kijiwe na sio sehemu nyeti kama ilivyokuwa , kuna presha nyingi habari ya kweli ikiwa kwa hapa, moods do justice to this forum....
Kama kweli Zitto ni zaidi ya CDM, tuone kama JK atampa Uwaziri?Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.
mafisadi wote km karamagi,lowassa,chenge nk. Wote waliandaa mapokezi makubwa zaidi ya haya. Lkn haikuondoa ukweli kwamba wao ni mafisadi. Zzk hata angepokelewa na watu laki 8 haiondoi ukweli kuwa yeye kuwa ni msaliti.
Mr.ifweero anajua kuna kidume kimemzidi teh teh teh teh...Zitto ni kidume cha mbegu. Machadema yanaweweseka kila yakisikia jina lake