PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
upuuzi hata ukiunga mkono na dunia nzima utaendelea kuwa upuuzi tu.

Cha muhimu ni misingi na sio mfumo. Kuna kile kisa cha Yesu na Baraba(aliyekua mwizi na Mnyang'anyi). Katika eneo lile ambalo misingi haikufuatwa ni nani alipata mashabiki wengi kati ya Yesu na Barabara hadi akafunguliwa Baraba?Je, ukweli ulibadilika?
 
Nipo Kigoma Airport hapa, Ni kwamba Kigoma imezizima, kila kona ni Zitto Kabwe, Wananchi wanamiminika Airpot kumpokea shujaa Zitto Kabwe.. Mwanasiasa Kinda Mwenye kila aina ya sifa za Mwanasiasa Bora.

Picha zote nazipandisha hapa, kwa kuanza hali ipo hivi

Umenifurahisha hiyo "Wuwanja wa AIRPORT"
 
Cha muhimu ni misingi na sio mfumo.Kuna kile kisa cha Yesu na Baraba(aliyekua mwizi na Mnyang'anyi).Katika eneo lile ambalo misingi haikufuatwa ni nani alipata mashabiki wengi kati ya Yesu na Barabara hadi akafunguliwa Baraba?Je,ukweli ulibadilika?

Ben Saanane acha mambo yako bana, leo tunachuja hapa baada ya ZZK kutua. Sio kila afanyalo ZZK wee ni kupinga tu.
Kumbuka (Love for all, hatred for none).
 
Last edited by a moderator:
..kinachonishangaza ni jinsi watu wanvyoweza kutumiwa bila kuwa na akili timamu na piia watu kujenga mazingira yakujitahidi kuwa waongo ila wanashindwaa kukidhi hilo...ukiangalia hizo picha utaona kabidha kuna vikundi vya watu vimetoka sehemu moja...angalia hao kina mama halafu ngalia na wale vijana pale na pembeni kuna pikipiki nyingi sana na kuna hiace hawa wamebebwa mahali wamepelekwa pale na pia inaonekana kabisa hao kina mama wamebebeshwa hayo mabango.....
 
Walituletea mbunge nyoka mwenye sumu kali ila kwa umakini wa chama chetu tukam'bana shingo na koleo tunaenda kumkatia kichwa baharini siku tutakapomvua uanachama. Alikuwa anacheza na akili zetu ha ha ha ha
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.

Nyie misukule ya Zitto jamaa keshawaambia msifuate mtu fuateni misingi lakini vichwa ngumu hamuelewi, ona sasa unavojiabisha eti Zitto ni zaidi ya chama. Hahahaha! Misukule mnachekesha kweli!!
 
Ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa, Mbowe, Lema, Mtei, na wafuasi wao ziara ya Dr.Slaa ya Dr.Slaa Kigoma inaonekana aina umuhimu wowote, imedhihirisha Zitto ni zaidi ya Chadema.


Mafisadi si mmchue huyu? Ama mmeshamkira nini?
 
Ha ha ha ha! Picha nyingine zimepigwa sokoni watu wakijinunulia mahitaji yao, eti wanaenda kumpokea msaliti.
 
Ha ha ha ha CCM na masalia mmeungana ili mumpokee kumfunika Dr.SLAA. Hilo mmechemsha wajanja tumewasoma
 
Hao ndio watu wengi mbona people your not serous, kwanza watu wanaonyesha wamekusanya she emu Fulani na nehemia family kwa kuitumia that Hiace iilyopo karibu na tha big population that u say
 
Kwa viongozi walilofukuzwa, nadhani hakuna atakayevunja rekodi ya mapokezi ya Chenge. Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa hata jambazi ikitokea amekufa lazima watapatikana wa kumlilia.
Ndio imezizima kwa watu hao? Umelipwa sh ngapi?
 

Attachments

  • Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA..jpg
    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA..jpg
    8.9 KB · Views: 1,564
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom