PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
1017221_635304536531621_1219813934_n.jpg
1511350_635304456531629_1156613423_n.jpg
1511284_635303789865029_302401546_n.jpg
1012792_635303879865020_2109801516_n.jpg
996985_635303939865014_623020908_n.jpg
1477968_635304149864993_150542700_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
1517527_635300853198656_907706415_n.jpg
1476353_635300916531983_1629442226_n.jpg
1476125_635300756531999_17142309_n.jpg
379709_635297983198943_1177054915_n.jpg
1521340_635298133198928_77370159_n.jpg
1475958_635298186532256_328583333_n.jpg
1526419_635297946532280_536845726_n.jpg
1501759_635296873199054_603343034_n.jpg
1528579_635269026535172_1142880841_n.jpg
1493147_635298913198850_219639048_n.jpg
1489037_635296829865725_2059314623_n.jpg
1476179_635319953196746_1447517419_n.jpg
1526514_635327643195977_652225731_n.jpg
1517630_635320039863404_1867375003_n.jpg
1483436_635320136530061_1249857972_n.jpg
1472049_635304416531633_1079604848_n.jpg
[/QUOTEKigoma ni zitto na zitto ni kigoma. Wanaofikiri wanaweza kutwaa kigoma bila zitto wafikiri tena.
 
ha ha ha ha CCM na masalia mmeungana ili mumpokee kumfunika Dr.SLAA. Hilo mmechemsha wajanja tumewasoma

nashindwa kuielewa hii drama ,huyu bado anaendeleza ukaidi ndani ya chama chake kwa kutaka kushindana na chama ,lakini chadema wanabusara sana kimya chao kina maana sana, na wale wenye akili fupi kama ccm na wenzao watakuja kuuelewa badae sana huu ukimya wa CHADEMA wa kumvumilia zitto na unyoka wake.
 
hilo ni kweli kabisa.., zito kamfunika slaa kigoma.. lakin hii haimanishi zito anakubalika zaidi ya slaa.. waende pamoja katika neutral ground. tuseme mwanza alaf tuone nani atafunika. ndo utasema zito anakubalika zaidi ya slaa.

Mkuu kama wewe ni christian rejea kipindi Yesu yupo gerezani na mhalifu Baraba,Mfalme Herode aliwauliza watu amtoe nani kati yao,watu wakapiga kelele tufungulie Baraba.Ndiyo ilivo kwa Zitto. Thanx Ben Saanane kwa mfano huu
 
Hata hivyo chadema bado inamhitaji zito. Lakini katika familia ukiwa na mtoto mmoja anayewalisha sumu wenzake ili awaue na arithi kila kitu yeye hakuna sababu ya kuacha kufanya maamuzi magumu kwa ajili yake. Ama afungwe jela maisha au umfukuzwe ili asiendelee na mkakati wa kuiangamiza familia. Wototo wa jirani hawataacha kumpenda kwa kuwa hata afanye nini hataweza kurithi pamoja nao. Hivyo ndivyo ushabiki wa ccm kwa Zitto ulivyo maana akihamia hataambulia chochote sana sana atamreplace Nape kuwa vuvuzela la ccm kama ilivyo kwa shonza na mtela hivi sasa.

The resque position for Zito is repentance and come back _refer somo la mwana mpotevu katika biblia.
 
Ujinga unao wasumbua watu kama wewe yaani kutokujitambua ni kuwa chadema!!!! What a zero brain! Kujitambua ni kuwa ccm kwa kuwa wanasema chadema ni chama cha wakristo na cuf ni chama cha waislamu?! Kwa maana hiyo kuwa cuf au ccm ndio kujitambua!? Needless to say, kuwa chadema ndio kutokujitambua?!

Ungekuwa na kauwezo ka kufikiri kidogo huenda ungeenda mbali ya fikra mufilisi za udini ulizokuwa nazo. Draw a line when u see my comments.
Kama na wewe unaweza nenda basi kwenu Lushoto kafanye mikutano kama utapokelewa nai anayekujua wewe zaidi ya pale ufipa kufunga bendera.
 
Baada ya picha iliyojitokeza leo kigoma naishairi chadema imwite Zitto wayamalize mezani laasivyoo chama hakipo tena

Slaa alipo tia timu Kigoma ilikuwa aibu kama siyo polisi kumlinda kama waziri mkuu leo tunhekiwa tunaongea mengine

Mbowe mwenyekiti wetu chadema alipoenda mwanza akapatwa na aibu mzito ilikuwa awenaziara ndefu ikabidi asitishe ziara baada ya mwitikio kuwa mdogo

Pamoja na ITV na gazeti la Tanzania daima kukisaidia kitengo cha proaganda bado jamii ilielewa tunawadanganya maana wastukia picha kuwa zilikuwa za 2010 nyie ni mashahidi mbowe lalipokuwa mwanza vijana wetu walipost picha mbili
 
Zitto anajimaliza kwa kuendekeza mafanikio binafsi kuliko chama
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia


Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake

Duh! Kweli ben wa sasa sio yule wa zamani, nimeamini simba akikosa nyama hula hata majani. zy.jpg
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.

hv zitto niwachama gani vile.
 
Waache wafu wawazike wafu wao, huwezi kuendesha Chama kama unavyoendesha Disco. eti kila Santuri inapoisha unaipandishia nyingine ili kufurahisha wachezaji, Only DJ's can do that.

Chama makini kinaendeshwa kwa demokrasia, hoja, Nidhamu ya Matumizi ya pesa, kanuni na sheria.
 
kama na wewe unaweza nenda basi lushoto kafanye mikutano kama utapokelewa nai anayekujua wewe zaidi ya pale ufipa kufunga bendera.
mudy hajielewi na hawezi simama kwa miguu yake. Anategemea kumtukana zitto kutampa chati.
 
Kama na wewe unaweza nenda basi kwenu Lushoto kafanye mikutano kama utapokelewa nai anayekujua wewe zaidi ya pale ufipa kufunga bendera.

Mbona haya mapokezi hayajafikia record ya Chenge alivyopokelewa kwao wakati anajiuzuru? Mi nilidhani watu wangelala kabisa barabarani halafu Zitto akapita juu ya migongo yao kama mwanamfalme lol!
 
Baada ya picha iliyojitokeza leo kigoma naishairi chadema imwite Zitto wayamalize mezani laasivyoo chama hakipo tena

Slaa alipo tia timu Kigoma ilikuwa aibu kama siyo polisi kumlinda kama waziri mkuu leo tunhekiwa tunaongea mengine

Mbowe mwenyekiti wetu chadema alipoenda mwanza akapatwa na aibu mzito ilikuwa awenaziara ndefu ikabidi asitishe ziara baada ya mwitikio kuwa mdogo

Pamoja na ITV na gazeti la Tanzania daima kukisaidia kitengo cha proaganda bado jamii ilielewa tunawadanganya maana wastukia picha kuwa zilikuwa za 2010 nyie ni mashahidi mbowe lalipokuwa mwanza vijana wetu walipost picha mbili

So what.
Hivi nyie mbona hamjielewi? Chadema ni Taasisi, Haishindani na mtu bali Taasisi nyingine; Sasa unpokuja hapa with no fact, unainesha ni jinsi ulivo na ufinyu na uelewa wa mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom