PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Utakuwa unaumwa mdondo wewe, wa kujitoa CHADEMA ni Mbowe

Anayeumwa mdondo ni wewe; Zitto wako kasoma kwa pesa ya Mbowe leo masikio yake yanataka kuvuka nyele. nadhani uwahi mirembe si mzima weye.
 
Ujinga unao wasumbua watu kama wewe yaani kutokujitambua ni kuwa chadema!!!! What a zero brain! Kujitambua ni kuwa ccm kwa kuwa wanasema chadema ni chama cha wakristo na cuf ni chama cha waislamu?! Kwa maana hiyo kuwa cuf au ccm ndio kujitambua!? Needless to say, kuwa chadema ndio kutokujitambua?!

Ungekuwa na kauwezo ka kufikiri kidogo huenda ungeenda mbali ya fikra mufilisi za udini ulizokuwa nazo. Draw a line when u see my comments.
Mungu mkubwa ipo siku utakuja kuwatumikia watanzania kwa uwanja mpana zaidi.Hekima yako,busara na maarifa vitakufikisha mbali sana.Mwenyezi Mungu azidi kukujalia kama alivyomjalia Nabii Suleimani.
 
watu hawakuelewa lengo la dr. Slaa kung'ang'ani ziara ya kigoma na kanda ya magharibi kwa ujumla pamoja na "kuonywa" na masalia na uv-magamba. Ziara ilikuwa kumwahi huyu chakubimbi kwa ku-neutralize hali ya mambo. Ona sasa mambo yanavyomharibikia. Kwa ufupi imedhihirika vijana wa nchi hawajui siasa.
wewe kwa mtazamo wako umeridhika na kiwango cha mapokezi ya zitto?
 
Hivi CCM mbona siwaelewi? Issue za CDM zinwausu nini? Mbunge wa CDM Mh Zitto Kabwe karudi jimboni mnataka asipokelewe? Uo umati mnaouona ni Wanachama na wapenzi wa Chadema. Mtajutaaaa!
 
Mjinga ww Tabora ya wapi ambayo Zitto ana umaarufu kuliko Slaa?

Hebu jaribu kujenga hoja mkuu,naweza nikakuelewa vizuri na mwisho wa siku nikaachana na huu 'ujinga' unaousema.

Jaribu kupunguza jazba,siku zote mtu mwerevu na mwenye akili zake timamu isipokuwa tu chizi ndiye anayeweza kukurupuka na kutoa maneno ya kejeli kwa mwenzake!

Hivi kwa nini hamtaki kusikia mtu akimtaja zitto?!
 
My comrade cjui anaelekea wapi..... hata kumtetea inakuwa ngumu xana........ anyways., if any thing has to go wrong goes wrong!

Hivi kulikuwa kuna haja ya kushindana na katibu mkuu wako wa chama? au unataka uonekane kuwa wewe ni maarufu kuliko taasisi yenu? Hivi wakimuita msaliti wanakosea? hiyo ziara ina mpango gani zaidi ya kutaka kudhoofisha juhudi za chama kukubaliwa na wananchi? Hiyo ndo demokrasia uliyokuwa unaitafuta dhidi ya unaowaita wahafidhina comarade?
I think nop, must be joking brother!
Mkuu,
ZZK hayupo kwa mashindano, bali wananchi ndio wameamua kuuthibitishia umma na Chadema jinsi wanavyomuhusudu na kuacha shughuli za maendeleo. Huo ni ujumbe wa jinsi ZZK anavyokubalika huku magharibi.
 
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.

Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
watanzania kweli mna matatizo, yaani mbunge apimane ubavu na katibu mkuu wa chama chake?
 
Ujinga unao wasumbua watu kama wewe yaani kutokujitambua ni kuwa chadema!!!! What a zero brain! Kujitambua ni kuwa ccm kwa kuwa wanasema chadema ni chama cha wakristo na cuf ni chama cha waislamu?! Kwa maana hiyo kuwa cuf au ccm ndio kujitambua!? Needless to say, kuwa chadema ndio kutokujitambua?!

Ungekuwa na kauwezo ka kufikiri kidogo huenda ungeenda mbali ya fikra mufilisi za udini ulizokuwa nazo. Draw a line when u see my comments.

We kisuka njaa zinakufanya mpaka unaisaliti imani yako. Ungekuwa mkweli ungekuwa unajitokeza kutetea au kuelimisha watu pale wanapoushambulia uislamu ila ili usionekane mdini kwakuwa unatetea dini yako unajifanya huoni. Unadhani hizo siasa zitakusaidia mbele za Mungu.
 
Mbona mapokezi ya Karamagi alipoenda Bukoba Vijijini yalikua Makubwa sana?Unajua Umati kiasi gani ulimpokea Chenge?Unajua kwa Rostam watu hadi wa Kuzimia waliandaliwa?

Siku hizi kuna kampuni zinakodisha waombolezaji wa kulia kwenye misiba na hata kuzimia


Unapoongelea pigo kwa mazingira ya picha nilizizoona pamoja na jitihada za Mwenyekiti wa CCM mkoa nashindwa kuelewa ni pigo kwa CCM,Mhusika Mkuu au kwa CHADEMA kata ya Mwandiga?Maana kata ya Mwandiga kuna wanachama wanaofuata misingi sio watu.Hata hivyo mbunge ana haki ya kutembelea jimbo lake ilimradi havunji katiba hasa pale anapokua mtuhumiwa mwenye mashtaka anayopaswa kuyajibu kwenye vikao halali kwa hiyo cha msingi ni kuchukua tahadhari tu asivunje katiba na kanuni za chama chake
bravo mkuu!
 
Watu hawakuelewa lengo la Dr. Slaa kung'ang'ani ziara ya Kigoma na Kanda ya Magharibi kwa ujumla pamoja na "kuonywa" na masalia na UV-Magamba. Ziara ilikuwa kumwahi huyu chakubimbi kwa ku-neutralize hali ya mambo. Ona sasa mambo yanavyomharibikia. Kwa ufupi imedhihirika vijana wa nchi hawajui siasa.

Mbaya saidi kapokelewa name kindi Kubwa LA VIJANA
 

Attachments

  • 1387622371896.jpg
    1387622371896.jpg
    97.3 KB · Views: 127
Very simple,ajiondoe CHADEMA ili ateuliwe na jeykey kuwa mbunge kisha apewe uwaziri na asahaulike baada ya 2015! Option hii CCM hawataifurahia sana kwani watafurahi kwa option hii;

Option nzuri na wanayoitaka CCM kama kashindwa kubaki CHADEMA na hawampeleki NCCR-MAGEUZI basi atajiunga na CCM lakini hatopewa uwaziri bali atapewa ubunge wa kuteuliwa na atachukua nafasi ya Mwigulu Nchemba ya unaibu wa CCM ili atumike kuzunguka mikoani kufanya propaganda dhidi ya CDM mpaka 2015!!

Naushangaa usomi wa huyu mtu anaesifiwa kuwa ana akili_!!!

Huyu mwigulu ncheemba mhhh.!!! Kweli haishi kusikika humu!
 
Ishara ya CDM ni vidole viwili, angalia picha vizuri utaona watu wananyosha mikono tu, hao si cdm ni wana ccm

;
 
We kisuka njaa zinakufanya mpaka unaisaliti imani yako. Ungekuwa mkweli ungekuwa unajitokeza kutetea au kuelimisha watu pale wanapoushambulia uislamu ila ili usionekane mdini kwakuwa unatetea dini yako unajifanya huoni. Unadhani hizo siasa zitakusaidia mbele za Mungu.
umejaa udini sana kaka, kwa hiyo kazi ya wafuasi wa vyama mbalimbali ni kutetea dini zao kwenye vyama? Kweli mimi kama muslim sitaunga mkono huu upuuzi wako hata kidogo. Mtoi is right than you!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom