PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
Yani zitto ni mbunge wa pekee sana. Ana upendo wa ajabu na huruma ya ajabu, uvumilivu wa ajabu.

Taifa lina hitaji viongozi wa namna hii.
 
mkuu kati ya mimi na Dr.W.Slaa nani ana hitaji gongo kwenye serikali yake?

Mkuu kwahiyo serkal ikihararisha ushoga na ww utakuwa shoga? Tatizo si serkali ila tatizo no watumiaji.
Viroba vinaruhusiwa kwenye serkali ya JK, je hapo ndo tuseme JK naye anatumia viroba?
 
Last edited by a moderator:
My comrade cjui anaelekea wapi..... hata kumtetea inakuwa ngumu xana........ anyways., if any thing has to go wrong goes wrong!

Hivi kulikuwa kuna haja ya kushindana na katibu mkuu wako wa chama? au unataka uonekane kuwa wewe ni maarufu kuliko taasisi yenu? Hivi wakimuita msaliti wanakosea? hiyo ziara ina mpango gani zaidi ya kutaka kudhoofisha juhudi za chama kukubaliwa na wananchi? Hiyo ndo demokrasia uliyokuwa unaitafuta dhidi ya unaowaita wahafidhina comarade?
I think nop, must be joking brother!
 
Propaganda nyingine bwana!, hata Abuu Sahaf yule Waziri wa ulinzi wa Irak cha mtoto, Propaganda Hizi zinazidi hata kitengo cha Propaganda cha NAZI.
Picha ziko wazi za Upokezi wa Zitto halafu unadiriki kuita Kiwango duni cha Mapokezi!
Umenikumbusha ya Al-Sahaf akipiga propaganda huku risasi zikirindima jengo la jirani na nyuma yake.
 
Mbona sioni watu wazima hapo? Naona watoto na vijana wadogo wa bodaboda ambao buku mbili mbili tu inatosha kwao kufanya chochote.
 
Tuwekee hapa hiyo taarifa ya chadema iliyomkataza asiende kigoma, kama ulivyodai. ukishindwa, basi tutakupuuza tu dada yetu
Cha kuchekesha Chadema walikuwa hawataki Zitto aende Kigoma kufanya mkutano sijui walikuwa wanahofia nini.

Hivi inaingia akilini mtu anakwenda jimboni kwako kukutangaza vibaya kwa wapiga kura wako na ndugu zako halafu akae kimya.


Mkutano wa leo ni kipimo cha Dr.Slaa na Zitto nani zaidi.
 
Naona wafuasi wa Zitto wamebeba mabango ya Kijani rangi ya Mtani,ila wanaosema ZZK ni zaidi ya CDM watasubiri sana sikubaliani nao
 
Propaganda nyingine bwana!, hata Abuu Sahaf yule Waziri wa ulinzi wa Irak cha mtoto, Propaganda Hizi zinazidi hata kitengo cha Propaganda cha NAZI.
Picha ziko wazi za Upokezi wa Zitto halafu unadiriki kuita Kiwango duni cha Mapokezi!
Kwa kweli kabisa, hakutegemea kiwango duni kama kile. hata afande Sele sasa anamzidi Zitto kwa mbali sana.
 
Kutokana na mambo kumwendia ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda CDM.

My Take: Sasa naona Zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake.


Watu hawakuelewa lengo la Dr. Slaa kung'ang'ani ziara ya Kigoma na Kanda ya Magharibi kwa ujumla pamoja na "kuonywa" na masalia na UV-Magamba. Ziara ilikuwa kumwahi huyu chakubimbi kwa ku-neutralize hali ya mambo. Ona sasa mambo yanavyomharibikia. Kwa ufupi imedhihirika vijana wa nchi hawajui siasa.
 
kutokana na mambo kumwendia ndivyo sivyo, na mapokezi yake kigoma kuwa chini ya kiwango tarajiwa. Kuna tetesi, kwamba keshakata tamaa, na anaamua kurudi katika academics na siasa basi. Sasa ni suala la kungojea kama hii itageuka kuwa breaking news. Kwa upande wa pili suala la kupoteza ubunge bado linamsumbua, na anaonekana bado kuipenda cdm.

My take: Sasa naona zitto anatumia hasira zaidi kuliko hekima.
Ushauri: Angetulia sana katika kipindi hiki kigumu kwake. Sijui kama huyu jamaa anapata usingizi sawasawa, anahitaji check-up.

nitakuwa wa mwisho kuondoka chadema labda wanifukuze wao-zitto

tanzania kuna viwanda vya kutengeneza uongo-jk
 
Mbona sioni watu wazima hapo? Naona watoto na vijana wadogo wa bodaboda ambao buku mbili mbili tu inatosha kwao kufanya chochote.
Kwahiyo ulita mpaka uwaone Baba yako na Mama yako ndio ungeamini kua wakubwa walikuwepo pale né?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom