Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 623
- 1,324
- Thread starter
- #41
Kwa mfanoUlishawahi kuandika hata a single line of code in your life?
<h1>GOI GOI</h1>
Kwa mfanoUlishawahi kuandika hata a single line of code in your life?
Kutengeneza Forum software from scratch yenye features kama hizi na kui maintain.Bilioni moja ya nini?
Kulipia host? Domain? Au nini?
Budget si juu $ 6000
Huna uwezo huoSina mpango wa kuwa na forum
Mbona unazunguka
Sema kanunua source code
Hata wewe unaweza ukanunua na uka-upload
Kuna ugumu gani kwenye ku-upload
Ni sawa na kutumia blogspot au WordPress au CodeCanyon .
Huo Ni udhaifu
Ni bora ufanye donation ya code , site uijaze vitu vya uhakika
Yani tokea miaka ya 2000 hadi leo site haina video player ,
Una-upload source code tu
AWS ina gharama kubwa kutokana na ulinziNa hakuna budget ya juu ya Hosting, Apple analipa $30M kwa mwezi hosting Aws
Njoo na fact , acha kutukanaFicha upumbavu wako
Uthibitisho upi unataka weweHakuna udhibitisho wa hilo, shida ni unakuja na assumption ambazo hauna uhakika nazo. Ni vema ukamcheki mmiliki umuele yeye mwenyewe aweze ku shed light kwenye hilo
Hii ndo hoja inayokutesa sana mkuuKwa tafsiri yako.
Nikimcheki Melo - huwa namwona kama role model wa Tech TZ.
Kwa sababu ameamua kutaka umaarufu kwa kupitia Tech -
Sasa akianza kutumia source code za mtu mwingine tena kwa 99%
Inasikitisha
Hata icons , layout vyote hajabadilisha - ka-upload source code kama ilivyo
Hapa kwenye nchi kutumia source code za mafungu,Hii ndo hoja inayokutesa sana mkuu
Maxence Melo sidhani kama anautafuta umaarufu. Anafanya kile ambacho kinapaswa kufanywa na kila mwenye akili timamu na mapenzi mema kwa nchi.
Kama angekuwa anasaka umaarufu angeshavuta mpunga na kutuuza mazima.kwa majambazi yanayotafuta Watanzania wsnaotumia uhuru wao kujadili uhalisia wa nchi yao behind pen names.
Mkuu njoo kivingine. Hapo umechemka
MkuuHapa kwenye nchi kutumia source code , Ni kama jeshi kutumia Gmail
Sawa , ila ina vitu muhimu kwa taifaMkuu
Kwani JF ni National Forums au ni private owned entity?
Impact yake ipoje. Tuelimishane
Naomba sasa tuweke sawa historia.Sawa , ila ina vitu muhimu kwa taifa
We kubali tu - tunaoga nje
Anajihusisha na serikali/siasa, unaanzaje kumuweka kama private owned
Kwa Leo sipo kisiasa , tutakuja kuongea zaidi katika uzi mwingineNaomba sasa tuweke sawa historia.
Niambie usafi wa serikali hadi inamshtaki Melo kwa kugoma kutoa identity ya mpiga mbinja aliyribua wizi wa mafuta bandarini......
Niambie ushiriki wa Melo ndani ya serikali.
Niambie kwa nini mimi na wewe tunatumia FAKE names tuwapo JF. Kwa nini tunajificha