PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

Lengo la kufuga paka ni kukamata panya. Kama anakamata panya, hayo mengine yanakubalika. Impact ya Jf kwa jamii ikoje?
 
Blackhatworld ina watembeleaji 3M kwa mwezi - hapa ndipo utakuta wajanja wote(website developers)/ SEO

Jamiiforums ina watembeleji 1.5M kwa mwezi , hapa utakuta nyuzi zote za kipuuzi : mbususu , chadema vs ccm ,

Hapo nani wakumuiga mwingine
Tuna tabia zetu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtoa mada hakuna unachokijua.

Btw, Huko BHW ndipo Digital Marketing imelala. Utakutana na aggressive Marketers wanaosponser mpaka Dollar Laki Tano, pia programmers wanaopambana ku-bypass sheria zilizowekwa na mitandao ya kijamii.
 
ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India

View attachment 2585011

View attachment 2585012

View attachment 2585013
View attachment 2585015

View attachment 2585016
View attachment 2585018
Kwa hiyo ulivyoona hiyo ukajua blackhatworld ndiyo waanzilishi?
 
Back
Top Bottom