PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

Wewe kweli mpumbavu unayewaza kishule shule. Umejionesha hapa. We dont style using this b tag anymore. Mods hawana hata haja ya kukufungia. Kichwa chako ni bureeeee kabisaaaaa. Mi nikajua labda utakuwa developer wa maana kumbe mzigo wa haja kubwa.
Kunywa maji ,
Maisha mbona rahisi sana

Vipi nikikuambia mi ni self-taught
 
Yanini ,
sihitaji ndio yako ili nitoboe
Wewe ni mpiga kelele tu kama wapiga kelele wengine. Share your vcs profile tukaangalie then you can earn a right to question what JF are doing. Otherwise hamna kitu. Mkishapita youtube huko mkaangalia vitutorial vyenu vya html basi mnajiona na nyie ni programmers kumbe wapuuzi tu
 
Kunywa maji nusu lita na sukari kidogo. Itakusadia kwenye tatizo lako la presha
 
Blackhatworld ina watembeleaji 3M kwa mwezi - hapa ndipo utakuta wajanja wote(website developers)/ SEO

Jamiiforums ina watembeleji 1.5M kwa mwezi , hapa utakuta nyuzi zote za kipuuzi : mbususu , chadema vs ccm ,

Hapo nani wakumuiga mwingine
BlackHatWorld (BHW) the global forum and marketplace for cutting edge digital marketing techniques and methods to help you make money in digital marketing today.

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania. Also has many other subforumns yo accord various user needs.

Kuwaringanisha hawa wawili utakua haujafanya good balance.
BHW imejipambanua tayari kwamba ni global forumn ya business issues and digital marketing. Wakati Jamiiforumns kwanza ina adopt Jamii ya kitanzania and East Afrika kwa kiasi fulani, pia ni kama Korokoro linalobeba yote yapatikanayo ndani ya jamii na ndiyo maana watu wanamegana kimasihara na kuja ku publish
 
Acheni kuangalia programmer ,mara template, check platform ndio kitu cha muhimu hapa period
 
ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India

View attachment 2585011

View attachment 2585012

View attachment 2585013
View attachment 2585015

View attachment 2585016
View attachment 2585018
Maluweluwe sijaelewa kitu
 
BlackHatWorld (BHW) the global forum and marketplace for cutting edge digital marketing techniques and methods to help you make money in digital marketing today.

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania. Also has many other subforumns yo accord various user needs.

Kuwaringanisha hawa wawili utakua haujafanya good balance.
BHW imejipambanua tayari kwamba ni global forumn ya business issues and digital marketing. Wakati Jamiiforumns kwanza ina adopt Jamii ya kitanzania and East Afrika kwa kiasi fulani, pia ni kama Korokoro linalobeba yote yapatikanayo ndani ya jamii na ndiyo maana watu wanamegana kimasihara na kuja ku publish
Je hauoni JF angeweza kuwa na idadi kubwa ya visitors , Kutokana na idadi ya watumiaji wa intaneti wa TZ , UG ,KE sio ndogo
Hii ingewezekana kama mtu wa Kenya anaona content za Kenya , UG anaona content za UG
Pia kutumia videos , coz watu kwa sasa wanatumia videos zaidi ya kusoma

Mi naona BHW hana uwezo wa kuwa na visitors wengi kutokana ame-base kwenye kitu kimoja
 
Back
Top Bottom